WAZIRI MKUU YEMEN ANUSURIKA KIFO

WAZIRI MKUU YEMEN ANUSURIKA KIFO

Like
261
0
Tuesday, 06 October 2015
Global News

WAZIRI mkuu nchini Yemeni Khaled Bahah amenusurika kifo baada ya hoteli aliokuwa akiishi pamoja na baraza lake la mawaziri kushambuliwa mjini Aden.

Milipuko kadhaa imeikumba hoteli ya Qasr siku ya jumanne asubuhi pamoja na makao makuu ya vikosi vya milki za kiarabu vinavyoiunga mkono serikali.

Msemaji wa serikali nchini Yemen, Rajeh Badi amekiambia chombo cha habari cha AFP kwamba roketi zilirushwa katika maeneo matatu kutoka nje ya mji huo ikiwemo eneo walilokuwepo.

151006070207_yemen_640x360_epa_nocredit

Hoteli ya Qasr ilioshambuliwa

151006074046_yemen_emrate_residence_640x360_bbc_nocredit

nyumba ilioshambuliwa

Comments are closed.