WITO UMETOLEWA KWA UINGEREZA KUONGEZA MASHAMBULIZI DHIDI YA WANAMGAMBO WA IS

WITO UMETOLEWA KWA UINGEREZA KUONGEZA MASHAMBULIZI DHIDI YA WANAMGAMBO WA IS

Like
264
0
Thursday, 05 February 2015
Global News

WITO umetolewa kwa Uingereza kuongeza nguvu za kupambana na Wanamgambo wa Islamic State, ambapo Wabunge wan chi hiyo wamesema Wanamgambo hao wamejiimarisha sehemu za nchi ya Iraq na Syria .

Kamati ya kuteuliwa ya maswala ya Ulinzi ndani ya Bunge hilo imesema Uingereza imeshiriki asilimia 6 tu ya mashambulizi ya anga dhidi ya kundi hilo la Jihad na kusema kuwa wanashangazwa kwa kuwa haifanyi jitihada za hali ya juu.

IS imekuwa ikishikilia maeneo mengi na imekuwa ikijihusisha na vitendo vya kikatili ikiwemo kukata vichwa vya Mateka Raia wa Uingereza.

 

Comments are closed.