WIZ KHALIFA APANGA KUTUMIA USHAHIDI WA PICHA KUMSHITAKI AMBER ROSE

WIZ KHALIFA APANGA KUTUMIA USHAHIDI WA PICHA KUMSHITAKI AMBER ROSE

Like
432
0
Thursday, 19 February 2015
Entertanment

Wiz Khalifa  ametangaza kuitumia picha kama ushahidi atakaposimama mahakamani kudai kupewa mamlaka ya kukabidhiwa mwanae ili aweze kuishi nae, picha hiyo inaonyesha sehemu ya nyumba ya Amber rose ambae ni mama wa motto huyo mwenye mwaka mmoja anaishi na mototo.

Wiz na Amber wamekuwa katika vita ya maneno kwa muda sasa toka watangaze kuachana huku kila mmoja akimtupia lawama mwenzake wakati Amber rose anadai wamefikia maamuzi hayo kutokana na kile alichodai Wiz amekuwa akimsaliti wakati anapotoka kwenda kwenye safari za kikazi kwa kutembea na wanawake wengine huku akiwa amemuacha na motto mdogo nyumbani

Wiz kwa sasa anahitaji kupatiwa mamlaka ya kumtunza mototo huyo kwa madai ya kwamba Amber rose hampatii malezi bora mototo huyo kwani anamuweka kwenye mazingira machafu yasiyorafiki kwa afya ya mtoto.

Moja kati ya vitu vitakavyotumika kuthibitisha hili ni picha inayoonyesha nyumba hiyo ikiwa na kinyesi cha mbwa na kuongeza kuwa mbwa huyo hula kinyesi chake na kumpaka motto

Huku picha nyingine ikionyesha kisu na mtaro wa maji machafu

amber hom

Comments are closed.