WIZARA YA UCHUKUZI YAZINDUA BODI YA WAKURUGENZI WA KAMPUNI HODHI YA RASILIMALI NA MIUNDOMBINU

WIZARA YA UCHUKUZI YAZINDUA BODI YA WAKURUGENZI WA KAMPUNI HODHI YA RASILIMALI NA MIUNDOMBINU

Like
278
0
Thursday, 29 October 2015
Local News

WIZARA ya uchukuzi leo imezindua bodi ya wakurugenzi wa kampuni hodhi ya rasilimali na miundombinu ya reli nchini  RAHCO.

Akizindua bodi hiyo kwa niaba ya waziri wa wizara hiyo mheshimiwa Samuel Sitta, katibu mkuu wa wizara ya Uchukuzi dokta Shabani Mwinjaka amesema lengo  kubwa la kuundwa kwa bodi hiyo ni kuhakikisha wajumbe wanasimamia taratibu, kanuni na sheria za uchukuzi.

Aidha dokta Mwinjaka amebainisha kuwa uundwaji wa bodi hiyo umeezingatia mahitaji ya Taifa ya sasa ambapo njia ya reli imekuwa ikihitajika katika kuunganisha maeneo muhimu ya ndani na nje ya nchi ili kuborsha uchumi.

Comments are closed.