YAMETIMIA NEYMAR KUKOSA KOMBE LA DUNIA 2018

YAMETIMIA NEYMAR KUKOSA KOMBE LA DUNIA 2018

Like
776
0
Tuesday, 20 March 2018
Sports

 

 

Mtabiri mwenye asili ya Brazili Carlinhos Vidente, Alitabiri mwaka jana mwezi wa kumi na mbili kwamba Neymar Jr atakosa kombe la dunia mwaka huu linalofanyika nchini Urusi kutokana na majeraha. Carlinhos mwenye kipindi cha TV huko Amerika kusini alitabiri kuwa Neymar atashindwa kushiriki kombe la dunia kwa kuwa majeruhi.

“Atakaa nje kwa miezi mitano mpaka saba lakini brazili itaingia  nusu fainali na safari yao kuishia hapo.” alisema Carlinhos

Baada ya utabiri huo Neymar akaumia mwezi uliopita  na imeripotiwa kuwa atachukuwa miezi miwili na nusu mpaka mitatu kupona na kwa mahesabu hayo basi hatoweza kuitumikia Brazili kombe la dunia urusi June 14.

Comments are closed.