Yanga Kuikabili Rayon Sport ya Rwanda, Kesho Taifa

Yanga Kuikabili Rayon Sport ya Rwanda, Kesho Taifa

Like
636
0
Tuesday, 15 May 2018
Sports

Kikosi cha Rayon Sort ya Rwanda

 

Kubwa kwenye #SportsHQ Leo Ni Rayon Sport  ya Rwanda yaja na mastaa wao kibao kuja kuikabili Yanga SC kesho. Je, Kwa matokeo yaliyopita Unaipa nafasi gani Yanga kuelekea mchezo huu.
Azam FC kujipanga upya msimu ujao baada ya kufanya vibaya msimu huu na kushindwa kutwaa ubingwa #SportsHQ

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *