ZE COMEDY WAKABIDHIWA NYUMBA ZENYE THAMANI YA SH MILIONI 840

ZE COMEDY WAKABIDHIWA NYUMBA ZENYE THAMANI YA SH MILIONI 840

Like
409
0
Thursday, 16 October 2014
Entertanment

Kundi la ze Comedy linaloundwa na wasanii kutoka hapahapa Tanzania lenye kujihusisha na uchekeshaji limekabidhiwa nyumba 7 walizonunua kutoka NSSF.

nyumba hizo kila moja imenunuliwa kwa thamani ya shilingi milioni mia moja na ishirini za kitanzania (120)  ambazo ni jumla ya shilingi milioni 840.

 

 

 

Comments are closed.