ZIMAMOTO KUANZISHA OPARESHENI YA UKAGUZI WA VIFAA

ZIMAMOTO KUANZISHA OPARESHENI YA UKAGUZI WA VIFAA

Like
507
0
Wednesday, 26 November 2014
Local News

JESHI la Zimamoto na Uokoaji mkoani Pwani linatarajia kuanza Oparation maalum kwa ajili ukaguzi wa Vifaa vya kung’amua na kuzima moto kwenye shule za Kawaida zenye Mabweni na Vyuo mkoani humo.

Kamanda wa Jeshi hilo mkoani Pwani GOODLUCK ZELOTE ameeleza hayo alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari Ofisini kwake.

Amebainisha kuwa Oparation hiyo inatokana na matukio ya moto kutokea mfululizo mkoani humo ambapo hivi karibuni shule ya Sekondary ya Filbert Bay iliungua moto na kuteketeteza baadhi majengo na maduka sita.

 

 

Comments are closed.