Entertanment

Tanzia; Mtayarishaji maarufu  wa Muziki afariki dunia
Entertanment

Mtayarishaji wa muziki Pancho Latino amefariki dunia. Taarifa za awali zinaeleza kuwa Pancho amefikwa  na umauti kwa ajali ya maji katika kisiwa cha Mbudya jijini  Dar es Salaam leo Octoba 9/2018. Tunatoa pole kwa ndugu na jamaa na marafiki pamoja na wadau wa muziki kufuatia msiba huu. Mungu ampuzishe ndugu yetu mahali pema...

Like
737
0
Tuesday, 09 October 2018
mziki mnene 2018 morogoro
Entertanment

Matukio kwa...

3
2054
0
Saturday, 06 October 2018
Picha: Singeli Michano Morogoro 2018
Entertanment

Hii ndio njia pekee inayotumika kwenye kusaka vipaji vya wasanii wa Singeli Pale ambapo Team ya Efm Radio inapofika Mkoani iki kuhamasisha vijana na kukuza vipaji walivyo navyo badala ya kujihisisha na makundi ya uhalifu Leo baaaya ya Jogging ya Asubuhi sana kwenye viwanja vya Jamhuri vipaji vya vijana kutoka sehemu mbali mbali za Mji wa Mororgoro walijitokeza kwa wingi na kuonyesha uwezo...

1
3097
0
Saturday, 06 October 2018
BASATA LAKANUSHA KUUFUNGIA WIMBOA WA PARAPANDA YA ROSTAM
Entertanment

Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), limesema halijaufungia wimbo wa Parapanda ulioimbwa na wasanii wa kundi la Rostam, Roma Mkatoliki na Stamina na kusema kuwa labda wameamua kujifungia wenyewe kwa lengo la kutafuta ‘kiki’. Kauli hiyo inakuja ikiwa ni siku moja baada ya Roma kupitia ukurasa wake wa Instagram kuandika maneno ya kuilaumu Basata kwamba inaua vipaji na ubunifu wa wasanii na kuhoji wimbo wao huo una tatizo gani. Mbali na kuandika hayo pia alizungumza na baadhi ya vyombo vya...

Like
678
0
Tuesday, 07 August 2018
Ndoa ya Mjukuu wa Malkia wa Uingereza, Henry Charles Albert David ‘Prince Harry’ Hatari
Entertanment

Prince Harry na mchumba wake Meghan Markle. MAMILIONI ya watu duniani leo wanatarajiwa kushuhudia ndoa ya kifahari ya mjukuu wa Malkia wa Uingereza, Henry Charles Albert David ‘Prince Harry’ na mwigizaji maarufu wa Marekani, Meghan Markle. Harry akiwasalimia mamia ya watu waliofika kushuhudia ndoa yake.   Harry ni mtoto wa Prince Charles wa Uingereza ambaye ni mtoto wa kwanza wa Malkia Elizabeth wa Pili. Prince Charles ambaye ndiye mfalme-mtarajiwa, anajulikana pia kama Prince of Wales. Ndoa hiyo inatarajiwa kufungwa katika Kasri...

Like
2223
0
Saturday, 19 May 2018
MATUKIO KWA PICHA, SHIKA NDINGA PWANI 93.7
Entertanment

  Team ya Efm imewasili salama kwenye viwanja hivi vya Bwawani, Kibaha, na Maandalizi yanaanza Washiriki wanaanza kupewa semina kuwa tayari kuingia kwenye mpambano wa kushika ndinga. Kiwanja ambacho cha kushindanisha washiriki kipo tayari na sasa muda wowote kuto muda huu zoezi la kushika ndinga linakwenda kuanza # tunapindua meza kibabe Burudani ikiendelea katika viwanja hivi vya Bwawani, Kibaha, Mpambano wa kushindanisha washindi umeshaanza na washiliki wamenza na zoezi la kujaza maji, hivyo tunasubiri matokeo kutoka kwa majaji, nani...

1
1414
0
Saturday, 12 May 2018
MATUKIO KWA PICHA ; SHIKA NDINGA MTWARA
Entertanment

...

1
2500
0
Monday, 07 May 2018
MATUKIO KWA PICHA, SHIKA NDINGA 103.3 MBEYA 2018
Entertanment

...

1
1107
0
Saturday, 28 April 2018
SHIKA NDINGA MBEYA 2018
Entertanment

Hatua za awali za ukaguzi wa uwanja ambao utatumika kubadilisha maisha ya wamiliki wa namba kubwa 103.3 Mbeya na kuwaongezea thamani kwa mtaji wa sikio tu. #ShikaNdinga2018Mbeya...

Like
1303
0
Friday, 27 April 2018
SHIKA NDINGA 2018 TANGA
Entertanment

Kutoka kaskazini mwa Tanzania kwenye mji wenye mahaba tele tumekuja kuongeza thamani ya maisha kwa wakazi wa 88.9 #ShikaNdinga2018Tanga#TunapinduaMezaKibabe #Hatupoi Tukiwa nyumbani 88.9 Tanga waja leo wabaki milele. Huu ndio muonekano wa leo kwenye uwanja wa Lamore mahali ambapo akili nyingi itatumika na nguvu kiasi kuweza kuwachuja washiriki watakaokwenda kushika ndinga jukwaani. #ShikaNdinga2018Tanga#TunapinduaMezaKibabe Tukiwa karibu nawe kwa namba 88.9 Tanga ndugu zetu wa @ttcl_corporation wanatupa uthubutu zaidi na habari njema ni...

Like
2136
0
Saturday, 14 April 2018
SHIKA NDINGA; 88.9 TANGA HODI HAPOOOH.
Entertanment

...

1
995
0
Friday, 13 April 2018