Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

KENYA YAASWA KUTOFUNGA KAMBI ZA WAKIMBIZI

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa linalosimamia wakimbizi UNHCR limeitaka serikali ya Kenya kubatilisha msimamo wake wa kutaka kuzifunga kambi mbili za wakimbizi ikiwemo ya Dadaab nchini humo. Awali…

RODRIGO DUTERTE ASHINDA UCHAGUZI UFILIPINO

MEYA wa jimbo aliyeongoza kampeni kali ya urais nchini Ufilipino, Rodrigo “Digong” Duterte ameshinda uchaguzi huo kufuatia kujitoa kwa wapinzani wake. Licha ya kwamba matokeo rasmi hayajatangazwa, mpinani…

ASHTAKIWA KWA ULANGUZI WA PEMBE ZA NDOVU

Kesi dhidi ya mwanamke mfanyabiashara raia wa China anayetuhumiwa na mashtaka ya kuendeleza mtandaoa wa kihalifu wa ulanguzi wa pembe barani Asia imeahirishwa kwa wiki mbili nchini Tanzania….

JUMBA LA GHOROFA LAPOROMOKA MOMBASA

Sehemu ya jumba kubwa la kibiashara mjini Mombasa imeporomoka siku chache baada ya jumba la makazi kuporomoka jijini Nairobi na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 40. Sehemu…

SPIKA PAUL RYAN AMPINGA DONALD TRUMP

SPIKA wa Republican katika Baraza la Wawakilishi la Marekani Paul Ryan amesema hayupo tayari kumuunga mkono Donald Trump kuwa mgombea wa Urais kupitia chama hicho. Mfanyabiashara huyo bilionea…

IDLIB: 30 WAHOFIWA KUFA KWA MASHAMBULIZI YA NDEGE KATIKA KAMBI YA WAKIMBIZI

AFISA mwandamizi wa Umoja wa Mataifa amesema mashambulizi ya ndege za angani katika kambi ya wakimbizi,yanahofiwa kuwaua zaidi ya watu 30. Mkuu wa kitengo cha haki za binaadamu…

UGANDA YAPIGA MARUFUKU MATANGAZO YA MOJA KWA MOJA

SERIKALI ya Uganda imepiga marufuku urushwaji wa matangazo ya moja kwa moja yanayopinga uchaguzi wa rais Yoweri Museveni. Usalama katika mji mkuu wa Uganda- Kampala umeimarishwa kabla ya maandamano…

MWANAMKE ATOLEWA AKIWA HAI KWENYE KIFUSI NAIROBI

IMEBAINIKA kwamba Mwanamke amepatikana akiwa hai kwenye vifusi ikiwa ni siku sita baada ya jengo kuporomoka katika mtaa wa Huruma jijini Nairobi. Kwa mujibu wa Pius Masai, mkuu wa…

KATUMBI ATANGAZA KUWANIA URAIS CONGO

MWANASIASA mashuhuri wa Jamhuri ya Demokrasi ya Congo Moise Katumbi amethibitisha kuwa atagombea urais kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Novemba. Mfanyabiashara huyo na gavana wa zamani wa jimbo…

AFRIKA KUSINI: WABUNGE WATWANGANA BUNGENI

WABUNGE wa Bunge la Afrika Kusini wamepigana bungeni baada ya spika kuamuru maafisa wa usalama kuwaondoa kwa lazima wabunge wa upinzani ambao walimbeza rais Jacob Zuma alipoingia bungeni kwaajili…