MTOTO mwenye umri wa mwaka Mmoja JAPHET MTUI mkazi wa Kijiji cha Msule Wilayani Ikungi amekufa kutokana kunyweshwa Pombe.
Kamanda wa Polisi Mkoani Singida THOBIASI SEDOYEKA amethibitisha kutokea kwa kifo hicho baada ya Mtoto huyo kupewa Pombe ya Kienyeji aina ya Mtukuru akiwa na Mama yake MAGDALENA MUNA