Matonya: Tunda ni mdogo wangu nimemfundisha muziki
Matonya: Mimi ni mlevi ila sio wa kutupwa na kwa sasa nimeacha baada ya kusemwa sana na mama yangu pamoja na watu wangu wa karibu.
Matonya: Mungu ni mwema Ghorofa moja gari tano maneno ya mtaani acha yapite
Matonya: anaenilea ni mama yangu mzazi hao wa mjini hawana nafasi kwangu
Ndio sembe napeleka nje ila sio huo unga wa dawa za kulevya kazi zinaenda