– EFM imetimiza miaka 4 tangu kuanzishwa kwake. Nitumie nafasi hii kuishukuru Serikali kuu,TCRA kwakuendelea kutulea na kutuamini hadi sasa tumeongeza wigo wa Matangazo yetu. Niwashukuru MaKampuni na wadau ambao wameendelea kushirikiana nasi kwa namna moja au nyingine. Mwisho niwashukuru sana wasikilizaji na watendaji wote wa Efm. DODOMA,MORO,TABORA,KIGOMA na ARUSHA tunawafikia Mwezi huu.. HAPPY BIRTHDAY...
MJADALA: JE NINI KIMEBADILIKA WAKATI HUU HADI WASANI KUFUNGIWA NYIMBO ZAO? INSPECTA HAROUN: aa labda niseme kitu kimoja, dunia siku hizi ni kama kijiji, Haikwepeki kulinda Utamaduni wetu INSPECTA HAROUN: Kwenye nyimbo ambazo zimefungiwa zingine kiukweli hazikustaili na zingine zina staili NIKI WA PILI: Nakumbuka Mziki wa enzi zile ulikuwa na kama uhuni hivi NIKI WA PILI: namkumbuka professor mmoja alisema mziki wetu ni sehemu ya kuvumbua maovu. NIKI WA PILI: Kufungiwa kwa hizi nyimbo kuna vitu vingi tunatakiwa tuvijadili...
Tukirudi miaka 5 nyuma na kuendelea hakukua na kufungiwa sana kwa nyimbo za Bongofleva. Je nini hasa kimebadilika wakati huu.. Ladhani leo tutakuwa na Inspector Haroin Babu na Nikki wa Pili kuliangalia hili na mengineyo Saa 9 kamili hadi saa 10 jioni...
“My Baby” from Ladha by Chin Bees. Released: 2018. Track 4. Genre: Africa. DOWNLOAD “Killer” from Ladha by Chin Bees. Released: 2018. Track 2. Genre: Africa. DOWNLOAD “Nitulize” from Ladha by Chin Bees. Released: 2018. Track 3. Genre: Africa. DOWNLOAD “My Baby” from Ladha by Chin Bees. Released: 2018. Track 4. Genre: Africa. DOWNLOAD “Check It” from Ladha by Chin Bees. Released: 2018. Track 5. Genre: Africa. DOWNLOAD “Cynthia” from...
Wafanyakazi wengi kusini mwa India leo wamepewa likizo kwa sababu ya filamu ya mwigizaji filamu inayoanza kuonyeshwa kwenye kumbi za sinema leo.Filamu hiyo ni ya mwigizaji nyota wa asili ya Tamil, Rajinikanth. Hatua hiyo imechukuliwa kuzuia watu kutumia visingizio kama vile kwamba wanaugua ili wasifike kazini. Inahofiwa wengine huenda hata wangezima simu zao au kutofika kazini bila kueleza sababu. Filamu hiyo kwa jina Kabali inaonyeshwa katika kumbi 12,000 za sinema leo. Rajinikanth, ni mmoja wa waigizaji wanaolipwa pesa nyingi sana...
Christiano Ronaldo ndiye mwanamichezo anayelipwa pesa nyingi zaidi duniani kwa mujibu wa jarida la Forbes. Ronaldo ameorodheshwa katika nafasi ya 4 akiwa na jumla ya mapao ya dola milioni 88.($88m (£67m) Licha ya kuzoa taji la mchezaji bora duniani na hatimaye kuhukumiwa kifungo cha miezi 21 kwa kukwepa kulipa kodi, mshambulizi wa Argentina na Barcelona ya Uhispania Lionel Messindiye mwanamichezo wa pili katika orodha hiyo. Messi ameorodheshwa katika nafasi ya 8 akiwa na mapato ya takriban dola milioni themanini na...
Kampuni ya Apple inadaiwa kutaka kuchukua umiliki wa huduma ya kusikiliza muziki ya moja kwa moja ya mwanamuziki Jay Z Tidal. Kampuni hiyo imeripotiwa kwamba inaangazia wazo la kuinunua huduma hiyo kutokana na ushirikiano wake na wanamuzika bingwa kama vile Kanye West na Madonna. Duru zimearifu jarida la Wall Street kwamba mazungumzo yameanza na huenda yakasababisha kupatikana kwa makubaliano. Msemaji wa Tidal amekana kwamba imefanya mazungumzo na Apple. Jay Z alizindua huduma hiyo mnamo mwezi Machi mwaka uliopita kama mpinzani...
Waandalizi wa tuzo za Oscar wametangaza kuwa wamewaalika wanachama wapya zaidi kupiga kura ya maamuzi ya washindi wa mwaka huu, baada ya malalamishi makubwa ya mwaka uliopita ambapo walilaumiwa kwa kuyabagua makundi mengine ya watu. Waandalizi hao wa The Academy of Motion Picture Arts and Sciences wanasema wamewaalika karibu watu 700, wakiwalenga hasa wanawake na watu kutoka jamii za watu wachache. Miongoni mwa wale ambao wamealikwa kushiriki katika uteuzi wa washindi wa tuzo hizo ni wacheza filamu weusi, na vilevile...
Suge Knight anamshtaki mwanamuzki mwenza wa R& B Chris Brown mahakamani pamoja na mmiliki wa kilabu moja ya usiku nchini Marekani kufuatia ufyatulianaji wa risasi uliotokea katika kilabu hiyo mwaka 2014. Mwanamuziki huyo wa zamani alipigwa risasi mara saba katika hafla ya Chris Brown. Kesi hiyo iliowasilishwa katika mahakama ya Los Angeles inamshtaki Chris Brown na kilabu ya West Hollywood Ckub 1 Oak kwa kushindwa kuweka usalama wa kutosha na kumruhusu mtu mmoja aliyejihami kuingia katika kilabu hiyo. Suge Knight...
Kutoka Viwanja Vya Posta Kijitonyama wakazi wa jiji la Daresalaam waliungana kwa pamoja kwenye tukio la kihistoria lililowakutanisha madereva wa bodaboda na bajajiji kutoka karibu kila kona ya jiji. Wanafamilia wa E-fm wakiwa kwenye foleni ya kuingia uwanjani Shangwe la kutosha kutoka kwa Wakzi wa Dsm Mtangazaji wa kipindi cha Genge Kicheko akiwarusha mashabiki wa E-Fm Kala Jeremiah Akiwasha moto kwenye jukwaa Viongozi kutoka jeshi la Polisi pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa E-fm wakizungumza na wana E-fm kwa lengo la...
Kwa mujibu wa taarifa zilizotoka hivi karibuni inadaiwa kuwa producer Pharell Williams na mwenzie walitengeneza beat ya ngoma ya Kendrick Lamar ilioshinda Award kibao na kisha kutiwa vokali na rappa mwengine mkubwa mwaka moja kabla ya rappa lamar kupewa na kufanya alichofanya. Mwaka 2014 katika party moja baada ya grammy ilidaiwa kuchezwa clip moja ambayo ilisikika kama wimbo huo alisema shahidi mmoja, akasema aidha ilikua ni sauti ya pusha T au fabolous ndie alirap katika biti hiyo. je kwako unadhani...