Mwimbaji kutoka Nigeria Tiwa Savage mapema mwaka huu alichaguliwa kuwa balozi wa brand ya Forte Oil Petroleum Company mwimbaji huyo kutoka 323 Entertainment Records alipost picha kwenye akaunti yake ya Instagram akiwa kwenye kituo cha mafuta akitoa huduma kwa wateja kama wahudumu wengine aina hii ya promotion imekuwa ikifanyika sehemu mbalimbali duniani ambapo watu maarufu yani mastar hutumika na makampuni waliyoingia nayo mikataba kushiriki kwenye shughuri tofauti ikiwemo za kijamii Wakati umefika pia kwa hapa nyumbani makampuni...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Steve r&b ameuaga ubachela baada ya kufunga ndoa na Naimana Kuyangana juzi Jumamosi, Oktoba 11 Steve ambae hivi karibuni ameachia ngoma yake mpya aliyoipa jina la polepole ni miongoni mwa wasanii wachache wanaotumia muda mrefu kuachia kazi zao kwa kuzipa nafasi ziendelee kufanya vizuri kwa niaba ya timu nzima ya Efm 93.7 tunawatakia maisha mema yenye furaha na amani...
Msanii kutoka Nigeria D’banj amesaini mkataba wa kuwa balozi wa brand ya apple/beat by Dre D’banj ameweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza barani Afrika kuwa balozi wa bidhaa hiyo...
Ernest Napoleon ni Mtanzania MUIGIZAJI amefanya movie inayoitwa Going Bongo. Anahitaji Kura yako ili kushirikishwa katika filamu ya kampuni ya Forest Whitaker (Idi Amin, Last King of Scotland) inayoitwa “The Driver”. Unaombwa msaada wa ku SHARE habari hii pamoja na maelekezo ya jinsi ya kumpigia kura: 1) TUMIA kompyuta badala ya simu kama inawezekana 2) Bonyeza link hiyo hapo Bit.ly/castErnest kisha una log in kwa kutumia Facebook account. 3) Unabonyeza “newest” Unasukuma kidogo. 4) Unaibeba picha (drag) hadi kwenye kibox...
Mkali kutoka Nigeria Wiz kid Ayo amezungumzia collabo yake na Criss Brown kupitia Capital Extra ya Uingereza jumamosi iliyopita Wiz kid amesema kuwa anatarajia kuiweka ngoma hiyo ambayo amemshirikisha Criss Brown aliyoipa jina la African bad girl kwenye Albam yake...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Rich mavoko jana kupitia mtandao wa instagram alipost picha zinazoonyesha uandaaji wa video yake mpya ikiwa ni siku chache baada ya kutoka South Afrika ambapo alifanya video ya wimbo wake wa Pacha wangu chini ya director Adam Juma mara kadhaa rich amekuwa akiulizwa kuhusu gharama za video hiyo inayoonekana kugharimu kiasi kikubwa cha pesa hata hivyo Rich mavoko hakuwahi kuweka wazi kwa kusema Adam Juma ndie anaefahamu gharama zake itazame teaser hapa...
Efm imekuwa ikiendesha kampeni yake iliyopewa jina la muziki mnene katika jiji la Daresalaam na maeneo ya jirani kampeni hiyo imekuwa ikiwakutanisha wafanyakazi wa redio hii pamoja na wadau yani wasikilizaji toka kuanzishwa kwake ambapo imeshapitia maeneo tofauti ikiwemo Ukonga magereza yenyewe kampeni ya muziki mnene wiki hii inaendelea na itafanyika Navy beach...
Kwa mujibu wa Grazia Magazine Kanye west na mkewe Kim Kardashian wameandaa mwanamitindo ambae kazi yake kubwa itakuwa ni kutengeneza mavazi ya mtoto wao ambayo yatafanana na mavazi ya mama yake Kim kardashian. mwanamitindo huyo ambae atakuwa analipwa kwa kazi hiyo pia yupo kwenye timu ya wabunifu wa mavazi ya Kim...
Nick Cannon ameondoa utata wa tatoo aliyochora yenye jina la aliekuwa mpenzi wake Mariah Carey Nick amefunika tatoo hiyo na tatoo nyingine iliyochorwa kwa juu ya ile ya mwanzo yenye jina la Mariah Carey tatoo ambayo ilizua maswali mengi mara baada ya wawili hao kutengana. mkali huyo ameendelea kumake headlines mara baada ya kumsainisha mikataba Amber rose na kuwa chini ya kampuni...
Rapa kutoka nchini Marekani Soulja boy ambae wiki kadhaa nyuma alitupiana matusi na mwimbaji K michelle kupitia mtandao wa Twitter. hivi karibuni amekutwa na hatia ya kumiliki bunduki ya kijeshi kinyume cha sheria na matumizi mabaya ya madawa ya kulevya aina ya bangi maafisa wapolisi wa huko LAPD Loss angels polis department wameeleza kuwa vitu hivyo alikutwa navyo rapa huyo chini ya kiti cha gari lake aina ya Porsche Panamera ambapo rapa huyo alikamatwa eneo la...
Mtayarishaji wa kazi za muziki wa Bongo fleva hapa nchini amezungumzia jinsi Diamond alivymuunganisha na Wasanii wa kimataifa na kuweza kufanya kazi nao. miongoni mwa wasanii hao ni Tiwa savage pamoja na K cee wote kutoka Nigeria na mataifa mengine ya Africa, Shedy aliyasema hayo siku ya jana kwenye birthday ya...