Entertanment

AKON AFUNGUA CHUO CHA MAFUNZO YA UZALISHAJI WA UMEME WA JUA
Entertanment

Nyota ya Afrika kutoka Senegal inayong’aa ughaibuni  Akon  amefungua  chuo kitakachotoa mafunzo ya uzalishaji wa umeme wa Solar/ nguvu ya nishati ya jua  kupitia mradi wake wa Akon Lighting Africa. Katika mradi huo akon amelenga kufikisha umeme kwa waafrika wapatao milioni mia sita. Akon amezindua taasisi hiyo siku ya jumanne na kwa mujibu wa maelezo mafunzo yataanza msimu wa kiangazi huko Bamako katika mji mkuu wa Mali ambapo maengeneer na wajasilia mali wa afrika watapata ujuzi wa kuzalisha umeme wa...

Like
374
0
Friday, 29 May 2015
POPCAAN KUSHIRIKI KWENYE COLLABO NA YOUNG THUG
Entertanment

Star wa muziki wa Dancehall Popcaan amepata nafasi ya kushiriki kwenye wimbo wa I Know There’s Gonna Be (Good Times) katika project inayoaandaliwa na producer wa Uingereza Jamie xx, wimbo huo pia utamhusisha rapa Young Thug. kutokea Marekani. Hii si mara ya kwanza kwa msanii huyu kushiriki kwenye collabo za kimataifa kwani aliwahi pia kushirikiana na msanii wa Uingereza Melissa Steele kwenye ngoma ya single Kisses for Breakfast.Iliyofanya vizuri kwenye UK Top 10 chart. Mbali na hiyo pia sauti yake...

Like
280
0
Friday, 29 May 2015
JUMA NATURE ATOA MISAADA KATIKA HOSPITALI YA MBAGALA RANGI TATU
Entertanment

MSANII wa Muziki wa Bongo flaver nchini,  Juma Kassim Ally, maarufu Juma Nature leo ameto misaada ya vitu mbalimbali katika Hospitali ya Serikali ya  Mbagala Rangi tatu iliyopo eneo la Zakhiem, mbagala jijini Dar es salaam. Akizungumza mara baada ya kukabidhi msaada huo , Juma nature amesema lengo, ni kumshukuru Mungu kwa kutimiza miaka kumi na sita tangu aanze kazi hiyo ya Muziki. Amesema kuwa ameichagua Hospitali hiyo kwakuwa mbali nakuwa ni hospitali iliyopo eneo analoishi lakini pia yeye  amekuwa...

Like
449
0
Thursday, 28 May 2015
JUMA NATURE KUMWAGA MISAADA LEO
Entertanment

MSANII wa Muziki wa Bongo flaver nchini,  Juma Kassim Ally, maarufu Juma Nature leo anatarajiwa kutoa misaada ya vitu mbalimbali katika Hospitali ya Serikali ya Zakhiem, mbagala jijini Dar es salaam. Akizungumza na EFM Juma nature amesema lengo la kutoa msaada huo, ni sehemu yake ya kumshukuru Mungu wakati anatimiza miaka kumi na sita tangu aanze kazi hiyo ya Muziki. Kilele cha maadhimisho hayo ya miaka kumi na sita ya Juma Nature katika Muziki kitakwenda sambamba na hitimisho la maadhimisho...

Like
288
0
Thursday, 28 May 2015
RAPA KEKO HUENDA AKAJITOA CHINI YA USIMAMIZI WA SONY
Entertanment

Keko rapa kutokea Uganada ametangaza mpango wake wa kujiondoa kwenye kampuni katika kampuni inayomsimamia ya Sony Music Entertainment Africa and ROCKSTAR4000. Rapa huyu amekuwa msanii wa kwanza kutokea nchini Uganda kupata deal ya kufanya albam mbalimbali pamoja na usimamizi wa moja kwa moja chini ya kampuni hiyo ya sony. Kupitia mtandao wa twitter rapa huyu ameelezea maumivu yake kwakusema kwamba hakuweza kuapata nafasi ya kufanya mziki mzuri toka ajiunge na kampuni hiyo mwaka 2012. Maamuzi yake yakutaka kujitoa yanakuja kutokana...

Like
326
0
Wednesday, 27 May 2015
KAKA SUNGURA AVAMIWA NA MAJAMBAZI
Entertanment

Mastar wengi na watu maarufu barani Afrika hivi karibuni wamekuwa wakizionyesha silaha zao kwenye mitandao ya kijamii ambazo wengi wao haifahamiki kama wanamili kisheria au la. Lakini pia inawezekana wanafanya hivyo kama njia ya kujihami kufuatia kuongezeka kwa matukio ya uharifu wa kutumia silaha. Star wa muziki kutokea Kenya kaka sungura mwishoni mwa wiki iliyopita alivamiwa na watu aliodai kuwa ni majambazi waliokuwa na silaha na kumuibia laptop yake aina HP Envy 17 pamoja na simu yake mpya aliyonunua wiki...

Like
214
0
Tuesday, 26 May 2015
KOMAA CONCERT KUFANYIKA JUMAMOSI TAREHE 30 WIKI HII
Entertanment

Tamasha kubwa la kuadhimisha miaka kumi na sita ya msanii JUMA NATURE  maarufu kama kiroboto pamoja na hitimisho la sherehe za mwaka mmoja za 93.7 EFM linalofahamika kama KOMAA CONCERT kwa mara ya kwanza litafanyika rasmi  jumamosi hii ya  tarehe 30 mwezi mei katika ukumbi wa Dar Alive –Mbagala,  kuanzia saa kumi na mbili jioni.   Tamasha hili limeandaliwa na Juma nature akishirikiana na EFM kwa lengo la kuwaburudisha Mashabiki wa juma nature na wasikiliazaji wa 93.7 EFM ikiwa ni...

Like
529
0
Monday, 25 May 2015
MAWAZIRI WASHIRIKI KUPANDA BANGI YA KIHISTORIA JAMAICA
Entertanment

Kwa mara ya kwanza katika historia huko Jamaica chuo kimoja cha utafiti wa mambo ya sayansi na tiba (UWI) University of the West Indies nchini humo kimepanda bangi katika ardhi ya chuo. Siku ya tarehe 20 mwezi huu april kwenye kampasi moja ya chuo hicho bangi ilipandwa na waziri wa sayansi, teknolojia, nishati na madini mh. Phillip Paulwell lakini pia waziri wa sheria bwana Mark Golding pamoja na maofisa wa chuo hicho warishiki katika sherehe hizo zilizofanywa kwenye kitivo cha...

Like
488
0
Wednesday, 22 April 2015
VIDEO: JE? JUSTIN BIEBER NI CHANZO CHA KUVUNJIKA KWA MAHUSIANO KATI YA BIG SEAN NA ARIANA GRANDE
Entertanment

Big Sean na Ariana Grande wamwagana baada ya miezi nane ya kuwa kwenye mahusiano na chanzo cha karibu na wasanii hawa kimeeleza kuwa kuachana kwao hakuhusiki kabisa na tukio lilitokea wiki chache nyuma.   Katika moja ya show za Ariana Grande wiki kadhaa nyuma alionekena akicheza na Justine Bieber huku akiwa ameshikwa kimahaba na msanii huyo hali iliyozua minong’ono ya hapa na pale huku wengine wakisema wawili hao wapo mbioni kuingia kwenye mahusiano.   Tunaelezwa kuwa kuachana kwao ni katika...

Like
297
0
Tuesday, 21 April 2015
ZARI AMKEJELI IVAN NA KUNDI LA RICH GANG KUFUATIA VURUGU ZA KIBAGUZI SA
Entertanment

Zari the boss amkejeli alikewahi kuwa mpenzi wake Ivan Ssemwanga pamoja na kundi lake la Rich Gang kupitia akaunti yake ya twitter kwakupost kibonzo chenye caption ya maneno yanayoonekana kuwalenga matajiri hao. Kibonzo hicho kinaonyesha member wa kundi hilo wakikimbia kurejea Uganda wakitokea nchini afrika kusini ambako hivi sasa kuna machafuko makubwa kufuatia vurugu na unyama unaofanywa na wazawa dhidi ya wahamiaji nchini humo Kibonzo hicho chenye utani pia alikindikia caption kwakuwataka waganda kutazama matajiri wakirudi huku wakiwa...

Like
324
0
Monday, 20 April 2015
CRIS BROWN NI ZAIDI YA MAPENZI KWA MTOTO WAKE
Entertanment

Mwimbaji Chris Brown kwa sasa huenda asisike tena kwenye vyombo vya habari kwa mabaya ikiwemo kuhusishwa na fujo katika club anazotembelea ama kufanya show kama ilivyozoeleka nah ii inatokana na msanii huyo kutambua thamani yake kama mzazi. Cb kwa sasa amekuwa karibu zaidi na motto wake Royalty mwenye umri wa miezi kumi, kupitia akaunti yake ya instagram cris amepost picha yake yake akiwa na mtoto huyo huku wakiwa wenyefuraha zaidi Wataalamu wa mambo wanasema kwamba ukaribu huo wa Cris kwa...

Like
490
0
Friday, 17 April 2015