Local News

HALI YA MIFUMO YA VYOO DAR NI HATARI
Local News

IMEELEZWA kuwa licha ya kuwa na mazingira duni ya vyoo jijini karibia  asilimia 99 ya wakazi wa Dar es salaam  wana vyoo lakini ni asilimia 10 tu ya wakazi hao ambao vyoo vyao vimeunganishwa na mfumo wa kupitisha au kutoa maji taka. Hayo yameelezwa leo jijini Dar es salaam kwenye mkutano uliokutanisha serikali, wadau, Taasisi na Asasi za kiraia kujadili hali halisi ya masuala ya usafi wa mazingira ya vyoo na kuangalia hali ya mtandao wa maji taka na njia...

Like
204
0
Thursday, 19 March 2015
SERIKALI YASHAURIWA KUDHIBITI MATUMIZI YA SILAHA
Local News

KAMBI rasmi ya Upinzani Bungeni imeishauri serikali kusimamia ipasavyo sheria ya kudhibiti matumizi ya silaha nchini ili kuimarisha usalama wa wananchi pamoja na kukomesha matukio hatarishi yanayoleta taswira mbaya kwa Taifa. Akitoa taarifa rasmi ya kambi hiyo leo Bungeni mjini Dodoma mbunge wa Arusha Mjini mheshimiwa GODBLESS LEMA amesema kuwa ili wananchi wanufaike na sheria mbalimbali zinazopitishwa ni vyema kwa serikali kuzisimamia kwa haki na usawa pasipo kupendelea upande wowote. Awali akiwasilisha muswada wa sheria ya kudhibiti matumizi...

Like
214
0
Thursday, 19 March 2015
BUNGE LAPITISHA MUSWADA WA SHERIA YA UDHIBITI WA AJIRA ZA WAGENI
Local News

BUNGE limepitisha Muswada wa Sheria ya udhibiti wa ajira za wageni wa mwaka 2014 ,ambapo pamoja na mambo mengine umeainisha vipengele muhimu vya ajira kwa wageni na wazawa. Hata hivyo Bunge hilo limesisitiza Serikali kupitia taarifa za waomba ajira wageni ili kubaini uwezo kuhusu ajira wanazoomba na mienendo yao kijamii. Sheria hiyo pia inawataka Wananchi kuwepo katika ajira zote kutokana na sifa...

Like
180
0
Thursday, 19 March 2015
SUMAYE: ELIMU INAYOHITAJIKA INATOA MAJIBU KWA MATATIZO KATIKA JAMII
Local News

WAZIRI Mkuu Mstaafu,FREDERICK SUMAYE,amesema Elimu inayohitajika Kipindi hiki, inatoa majibu kwa matatizo katika jamii. SUMAYE ameeleza hayo mjini Dodoma alipokuwa akifungua Mkutano wa Mwaka wa Chama Cha Wenye Shule na Vyuo Binafsi Tanzania-TAMONGSCO. Amebnainisha kuwa Elimu lazima impe mhusika uwezo wa kumudu Mazingira ya sasa ambayo yanabadilika kwa kasi na inayomza mwanafunzi maarifa yaliyovumbuliwa na...

Like
275
0
Thursday, 19 March 2015
WANAFUNZI WATAKIWA KUEPUKA VITENDO VITAKAVYOSABABISHA KUPATA MAAMBUKIZI YA VVU
Local News

WANAFUNZI wametakiwa kujiepusha na Vitendo vitakavyosababisha kupata Maambukizi ya Virus vya UKIMWI-VVU na Mimba za Utotoni,hivyo kuwafanya wakatize masomo na kutotimiza ndoto za maisha yao. Rai hiyo imetolewa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa-NEC ya CCM,Mama SALMA KIKWETE, alipokuwa akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mkonge mkoani Lindi. Mama SALMA KIKWETE,amesema kuna baadhi ya Wanafunzi wanajiingiza katika Mapenzi kabla ya wakati na kufanya hivyo wanakumbana na Mimba za Utotoni na UKIMWI....

Like
607
0
Thursday, 19 March 2015
KIONGOZI WA UPINZANI ISRAEL AMPONGEZA NETANYAHU KWA USHINDI WAKE
Local News

KIONGOZI wa upinzani nchini Israeli Yitzhak Hertzog amempongeza Benjamin Netanyahu kwa ushindi wake katika uchaguzi wa ubunge nchini humo na kumtakia kila la kheri. Netanyahu anelekekea kushinda nafasi ya kuhudumu kwa mara ya tatu kama waziri mkuu wa Israeli na hatamu yake ya nne kwa jumla. Chama chake cha Likud kimepata ushindi wa asilimia 24 ya kura zilizopigwa dhidi ya asilimia 19 ya chama cha mrengo wa kushoto – Zionist Union....

Like
239
0
Wednesday, 18 March 2015
SERIKALI IMEOMBWA KUTOA USHIRIKIANO KATIKA JUHUDI ZA KIMAENDELEO ZINAZOFANYWA NA MTANDAO WA WASANII
Local News

SERIKALI  imeombwa kutoa ushirikiano katika juhudi mbalimbali za kimaendeleo zinazofanywa na Mtandao wa wasanii Tanzania kwa lengo la kuimarisha maisha ya wasanii,wanamichezo na wanahabari kote nchini. Rai hiyo imetolewa leo jijini Dar es salaam na Mwenyekiti wa Mtandao wa wasanii Tanzania Casim Taalib alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio yaliyopatikana  katika mtandao huo tangu uanzishwe miaka 10 iliyopita. Taalib amesema kuwa hadi sasa wamefanikiwa kujenga nyumba 104 za wanachama wake  katika eneo la Ekari 800...

Like
258
0
Wednesday, 18 March 2015
SERIKALI YASHAURIWA KUWEKA MIKAKATI KUSAIDIA KUTOA MAFUNZO IMARA KWA WANANCHI
Local News

SERIKALI imeshauriwa kuweka mikakati imara itakayosaidia utoaji wa mafunzo maalumu kwa wananchi hususani katika sekta ya gesi ili kuondokana na uhaba wa wataalam wa gesi nchini. Ushauri huo umetolewa leo Bungeni mjini Dodoma na mbunge wa jimbo la Lushoto mheshimiwa HENRY SHEKIFU wakati akichangia muswada wa sheria ya udhibiti wa ajira za wageni ya mwaka 2014 uliowasilishwa na waziri wa kazi na Ajira mheshimiwa GAUDENCIA KABAKA. Mheshimiwa SHEKIFU amesena kuwa utoaji wa mafunzo hayo kwa watanzania utasaidia kwa kiasi kikubwa...

Like
242
0
Wednesday, 18 March 2015
MKUU WA MKOA KATAVI AAGIZA WANAFUNZI WALIFAULU ELIMU YA MSINGI KUJIUNGA NA SEKONDARI
Local News

MKUU wa Mkoa wa Katavi Dokta IBRAHIMU MSENGI ameagiza Wanafunzi waliohitimu Elimu ya Msingi mwaka 2014 na kufaulu kwa kuchaguliwa kujiunga na Elimu ya Sekondari, waripoti katika  shule walizopangiwa. Dokta MSENGI ametoa kauli hiyo katika Hotuba yake iliyosomwa kwa Niaba yake na Mkuu wa Wilaya ya Mlele Kanali Mstaafu ISSA SELEMAN NJIKU,  wakati akifungua kikao kazi cha Viongozi,Wataalamu wa Elimu Mkoani Katavi. Mkuu huyo wa Mkoa amehimiza kukomeshwa kwa  Watoro   Mashuleni  Wanafunzi walioacha shule wasakwe, na kurudishwa shuleni ili...

Like
320
0
Wednesday, 18 March 2015
MAMA SALMA AMEWAOMBA WANANCHI KUIPIGIA KURA YA NDIO KATIBA PENDEKEZI
Local News

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa -NEC ya Chama Cha Mapinduzi –CCM kupitia Wilaya ya Lindi mjini Mama SALMA KIKWETE, amewaomba wananchi kuipigia kura ya ndiyo Katiba Inayopendekezwa kwa kuwa ni bora na imezingatia mahitaji ya makundi yote ya jamii. Mama KIKWETE ametoa ombi hilo wakati akiongea na Wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara uliofanyika  katika Tawi la Mikumbi Magharibi  Kata ya Wailes Wilayani humo. Amesema Katiba inayopendekezwa ni ya Watanzania wote,na imegusa maeneo yote muhimu kwa Ustawi wa Wananchi, inazungumzia...

Like
247
0
Wednesday, 18 March 2015
SERIKALI YAKAMILISHA MIPANGO YA KUVUTA MAJI SAFI NA SALAMA KUTOKA ZIWA VICTORIA
Local News

SERIKALI imekamilisha Mipango ya kuvuta Maji Safi na Salama kutoka Ziwa Victoria, kwa ajili ya wakazi wa Miji ya Tabora,Nzega, na Igunga mkoani Tabora. Pia,Serikali ya India imekubali kuipatia Tanzania Dola za Marekani Milioni 100 kwa ajili ya kuongeza Maji katika jiji la Dar es salaam na baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Pwani,ambako kwa sasa unakamilishwa mradi mkubwa. Katika awamu nyingine uvutaji wa Maji kutoka Ziwa Victoria,Serikali inakusudia kuanza mazungumzo na India kwa ajili ya kupatiwa mkopo ambao utapeleka...

Like
337
0
Wednesday, 18 March 2015