Local News

TRL YASITISHA SAFARI ZA TRENI YA UBUNGO
Local News

SHIRIKA la Reli la Tanzania TRL limetoa tamko la kuwajulisha abiria wote wanaotumia treni ya mjini ubungo kuwa treni hiyo imesisitisha huduma za usafiri kuanzia jana tarehe 23-29 december mwaka huu kutokana na matatizo yaliyojitokeza kwenye moja ya injini ya treni hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Afisa uhusiano wa Shirika la Reli la Tanzania TRL MOHAMED MAPONDELA amesema wanaweza kutoa huduma ya usafiri kwa injini moja ila wameona bora wazifanyie matengenezo ili warejeshe huduma yao...

Like
336
0
Wednesday, 24 December 2014
ESCROW: SHIRIKISHO LA WANAFUNZI ELIM YA JUU LAMPONGEZA JK
Local News

SHIRIKISHO la wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini limempongeza Rais JAKAYA KIKWETE kwa hotuba nzuri maamuzi sahihi aliyoyachukuwa dhidi ya watuhumiwa wa ukwapuaji wa mabilioni ya pesa kupitia akaunti ya Tegeta Escrow. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam Katibu Mtendaji Mkuu wa Shirikisho hilo CHRISTOPHER NGUBIAGAI amesema Hotuba ya Rais pamoja na maamuzi yake vimelenga kuamsha fikra kwa vijana na wasomi kutambua maadili ya viongozi na nini kiongozi anapaswa kufanya kwa jamii. NGUBIAGAI amesema...

Like
362
0
Wednesday, 24 December 2014
PICHA: WASHINDI WENGINE WA KAPU LA SIKUKUU WAKIKABIDHIWA ZAWADI ZAO
Local News

leo ni siku ya kukabidhi zawadi kwa washiriki waliobahatika kushinda kwenye kapu la sikukuu na hawa ni baadhi ya washindi hao picha juu ni watangazaji wa kipindi cha Gurudumu Swebe, Sophia, na Asha manga akiwakilishwa na wenzake pamoja na washindi wa kapu la sikukuu picha juu ni Samira Kiango mtangazaji wa 93.7 efm akikabidhi zawadi kwa washindi akiwemo binti mdogo kabisa kuliko washindi wote baadhi ya washindi hao wakisubiri usafiri tayari kuondoka na zawadi...

Like
896
0
Wednesday, 24 December 2014
KRISMAS NJEMA KWA MASHABIKI WA EFM NA KAPU LA SIKUKUU
Local News

Mmoja ya washindi wa kapu la sikukuu,Mama Patrick na mwenzake Meneja Uhusiano wa EFM,Kanky Mwaigomole,akimsaidia mmoja wa washindi wa Kapu la sikukuu,kuingiza kwenye usafiri. Mtangazaji wa kipindi cha gurudumu,Swebe,akimsaidia mmoja wa washindi wa kapu la sikukukuu bwana Darisudi wa Bunju. Bwana Mosheni Mosheni,akiwa na nduguye,walivyokuja kuchukua kapu lao. General Manager akigawa kapu la sikukuu. Makapu ya kapu sikukuu. baadhi ya washindi wa kapu la sikukuu wakiwa studio na watangazaji wa kipindi cha gurudumu...

Like
806
0
Wednesday, 24 December 2014
MSD YAENDELEA NA MRADI WA UZALISHAJI DAWA NA VIFAA TIBA
Local News

BOHARI ya dawa ya Taifa –MSD, imesema inaendelea na mradi wa uzalishaji dawa na vifaa tiba nchini kwa ubia na Sekta binafsi ikiwa ni utekelezaji wa mpango wa mkakati wake wa pili wa miaka sita ulioanza mwezi Julai mwaka huu. Malengo makuu ya mpango huo ni kuimarisha upatikanaji wa dawa na Vifaa tiba nchini ili kuifanya MSD kuwa kituo bora cha usambazaji wa dawa Barani Afrika. Akizungumza na Wandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam,Kaimu Mkurugenzi wa MSD, Cosmas...

Like
205
0
Tuesday, 23 December 2014
JK KUMLINDA MUHONGO???
Local News

RAIS Jakaya Kikwete ameombwa kumuwajibisha kwa kumfukuza kazi Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo kutokana na uzembe kazini na kusababisha upotevu wa mabilioni ya fedha kama alivyofanya kwa Waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi profesa Anna Tibaijuka. Rai hiyo imetolewa leo jijini Dar es salaam na Mwenyekiti wa Chama cha Alliance For Democratic Change- ADC Said Miraji alipokuwa akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu mtazamo wa chama hicho juu ya hotuba ya Rais kwa wananchi kupitia...

Like
876
0
Tuesday, 23 December 2014
LUDOVICK UTOUH AKABIDHIWA TUZO YA UADILIFU
Local News

MKAGUZI MKUU Mstaafu wa Hesabu za Serikali- LUDOVICK UTOUH amekabidhiwa tuzo ya Uadilifu na kampuni ya Dream Success Enterprises ikiwa na lengo la kutambua na kuuenzi uadilifu na utedaji kazi wake aliouonyesha katika jamii na Taifa kwa ujumla. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam Afisa Mipango na Mikakati kutoka kwenye kampuni hiyo JOSHUA LAWRENCE amesema kuwa kwa miaka 8 iliyopita hadi bwana UTOUH alipostaafu, Ofisi yaT aifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali- NAOT mpaka sasa imekuwa...

Like
248
0
Tuesday, 23 December 2014
RAIS KIKWETE AFANYA UTENGUZI KUFUATIA SAKATA LA ESCROW
Local News

RAIS JAKAYA KIKWETE amesema kufunguliwa kwa Akaunti ya Tegeta ESCROW kusingebadilisha ukweli wa Mmiliki halisi wa Fedha zilizokuwa zinaingizwa kwenye Akaunti hiyo. Rais KIKWETE ametoa kauli hiyo alipokuwa akilihutubia Taifa kupitia Wazee wa Mkoa wa Dar es salaam jijini Dar es salaam. Amebainisha kuwa licha ya nia kuwa njema waliyokuwanayo Wabunge katika kujadili jambo hilo, lakini kuna baadhi ya mambo hawakuwa wameyaelewa vizuri kama ambavyo taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali ilivyoeleza sanjari na ushauri uliotolewa na...

Like
269
0
Tuesday, 23 December 2014
RAIS KIKWETE AZUNGUMZA NA WAZEE MUDA HUU
Local News

...

Like
960
0
Monday, 22 December 2014
RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS ZUMA WA AFRIKA KUSINI LEO
Local News

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete asubuhi ya leo, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Afrika Kusini, Mheshimiwa Jacob Zuma. Mazungumzo hayo yaliyofanyika Ikulu, Dar Es Salaam, yalichukua kiasi cha saa moja na dakika 45 na yalihusu uhusiano kati ya Tanzania na Afrika Kusini. Rais Zuma ambaye aliwasili nchini usiku wa jana, Jumapili, Desemba 21, 2014, ameondoka nchini mara baada ya kumalizika mazungumzo hayo.  ...

Like
213
0
Monday, 22 December 2014
WAPIGANAJI WANNE WENYE ITIKADI KALI WANYONGWA PAKISTAN
Local News

PAKISTAN imewanyonga wapiganaji Wanne wenye Itikadi Kali za Kiislamu, baada ya kuondolewa marufuku ya kutolewa adhabu ya kifo katika kesi zinazohusiana na ugaidi. Watu hao ni kundi la pili la watu walionyongwa tangu kundi la Taliban lilipofanya mashambulizi na kuwaua zaidi ya watu 140, wengi wao wakiwa watoto kwenye shule moja ya jeshi mjini...

Like
226
0
Monday, 22 December 2014