Local News

MAJIMAREFU KUAGWA KESHO DAR, NA KUZIKWA ALHAMISI YA TAREHE 5/07/2018, KOROGWE, TANGA
Local News

Aliyekuwa Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Stephen Ngonyani maarufu kama Profesa Maji Marefu enzi za Uhai wake. Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Stephen Ngonyani maarufu kama Profesa Maji Marefu, utaagwa kesho Julai 4, 2018 na baadaye mwili kusafirishwa kuelekea jimboni kwake Korogwe kwa ajili ya maziko Julai 5,2018. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Korogwe mkoani Tanga Hillary Ngonyani ambaye ni Msemaji wa Familia (kaka wa marehemu) kesho Julai 4,2018 mwili utaagwa kwenye viwanja vya Bunge la kwanza la...

Like
574
0
Tuesday, 03 July 2018
RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA BAADHI YA VIONGOZI WAKUU NA VIONGOZI WASTAAFU IKULU DAR ES SALAAM LEO
Local News

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa na Katibu Mkuu Kiiongozi Balozi John Kijazi akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam ili kukutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya viongozi wakuu na viongozi wastaafu ambao anakutana nao kwa mara ya kwanza wote kwa pamoja. Viongozi Wakuu wastaafu wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam tayari kukutana na...

Like
861
0
Tuesday, 03 July 2018
no-cover
Local News

Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Steven Ngonyani maarufu Profesa Majimarefu amefariki dunia leo usiku Jumatatu July 2, 2018 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Taarifa ya kifo cha mbunge huyo imethibitishwa na ofisa uhusiano wa Muhimbili, Aminiel Eligaeshi. June 6, 2018 mbunge huyo alifiwa na mkewe, Mariam aliyekuwa akipatiwa matibabu...

Like
1030
0
Tuesday, 03 July 2018
Waziri Mkuu Awasilisha Hoja ya Kuahirishwa Bunge la Bajeti
Local News

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa hoja ya kuahirishwa kwa mkutano wa 11 wa Bunge la Bajeti ulioanza Aprili 3 na kumalizika leo Ijumaa Juni 29, 2018. Akiwasilisha hoja hiyo leo bungeni, Majaliwa amesema maswali 530 ya msingi na 1705 ya nyongeza yameulizwa na wabunge. Pamoja na mambo mengine, Majaliwa amezungumzia masuala mbalimbali, zikiwemo halmashauri zote nchini kutenga asilimia 10 ya mikopo kwa ajili ya vijana, wanawake na wenye ulemavu na zisaidie uundaji wa Saccos shirikishi za makundi. Kuhusu uchangiaji damu,...

Like
777
0
Friday, 29 June 2018
SERIKALI KUMALIZA TATIZO LA MAFUTA YA KULA
Local News

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kumaliza tatizo la upatikanaji wa mafuta ya kula nchini kwa kufanya mageuzi makubwa katika zao la michikichi, alizeti na ufuta.   Ameyasema hayo leo (Jumatano, Juni 27, 2018) wakati akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Malaysia, Balozi Dkt. Ramadhan Dau ofisini kwake Mlimwa jijini Dodoma.   ’’Tunataka kufanya mageuzi makubwa ya zao la michikichi, tunataka kuondoa miti ya zamani na kupanda miche mipya. Tutafanya kampeni ya kuhamasisha upandaji wa miche mipya ya...

Like
530
0
Wednesday, 27 June 2018
RC Wangabo ashauri gereza kutumia ekari elfu 11 kwa kilimo cha alizeti na kahawa
Local News

Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ameshauri jeshi la magereza kuhakikisha wanazitumia ekari 11,000 zinazomilikiwa na jeshi hilo kwaajili ya mazao ya alizeti pamoja na kahawa ili jeshi hilo liweze kujipatia fedha za kutatua changamoto mbalimbali walizonazo na kuongeza uzalishaji wa mazao hayo katika taifa. Amesema kuwa nchi ya Tanzania huagiza asilimia 60 ya mafuta ya kupikia kutoka nje ya nchi wakati jeshi la magereza lina ardhi nzuri na ya kutosha kwaajili ya kuzalisha zao la alizeti kwa...

Like
997
0
Wednesday, 27 June 2018
Mwenyekiti CHADEMA Ashambuliwa kwa Mapanga na Mishale
Local News

MWENYEKITI wa Serikali ya Kijiji cha Mwikatsi wilayani Babati mkoani Manyara, Simon Lala (CHADEMA) ameshambuliwa na kujeruhiwa kwa mishale na mapanga na watu wasiojulikana kwa kile kilichodaiwa kuwa ni mgogoro wa ardhi.     Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, Agustino Senga amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa shambulio hilo limetokea jana Juni 18, 2018 katika Kitongoji cha Waloa wakati mwenyekiti huyo akiwa kazini pamoja na wajumbe wa Serikali ya Kijiji.   Kamanda Senga amesema kuwa Lala ameshambuliwa...

Like
487
0
Tuesday, 19 June 2018
Tanzia: Profesa wa Upasuaji Chuo Kikuu Muhimbili Afariki Dunia
Local News

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Prof. Adrea Pembe anasikitika kutangaza kifo cha Prof. Leonard Lema kilichotokea leo asubuhi tarehe 18 Juni 2018 katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Prof. Lema alikuwa ni Profesa katika Idara ya Upasuaji katika Skuli ya Tiba MUHAS. Wakati wa uhai wake, Prof. Lema ametumikia Chuo katika nyadhifa mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwa Mkuu wa Idara ya Upasuaji mwaka 2003 mpaka 2006. Profesa Lema pia aliwahi kuwa...

Like
1014
0
Monday, 18 June 2018
BAJETI YA UPINZANI YAZUIWA BUNGENI, WENYEWE WASUSA
Local News

Hotuba ya Bajeti mbadala ya Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni imekataliwa bungeni kutokana na kuwasilishwa nje ya utaratibu. Wabunge wa upinzani (isipokuwa wanaomuunga mkono Prof Lipumba ) wameondoka kwenye ukumbi wa...

Like
528
0
Monday, 18 June 2018
ZANZIBAR VIJANA WAHAMASISHWA KUOA WAJANE
Local News

Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Asha Suleiman Iddi amesema wajane wengi wanaweza kuondokana na changamoto zinazowakabili iwapo vijana wataamua kuwaoa. Iddi alisema hayo katika utoaji wa zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri katika mashindano ya kaswida yaliyoshirikisha madrasa 13 za Mkoa wa Mjini Magharibi. Alisema wakati umefika kwa wanaume kuona umuhimu wa kuoa kutokana na kuongezeka matukio ya ubakaji ambayo yanaitia aibu nchi. Iddi alisema jambo baya zaidi ni kuwa vitendo hivyo sasa vimehamia katika maeneo ya kusimamia...

Like
656
0
Monday, 18 June 2018
TTCL Corporation yaendeleza utaratibu wake wakusaidia wahitaji
Local News

Add caption   Meneja Uhusiano wa TTCL Tanzania, Ndugu Nicodemus Thom Mushi (kulia), akikabidhi msaada wa vyakula na mahitaji mengine kwa niaba ya Mkugenzi Mkuu wa TTCL Corporation, Bw. Waziri Kindamba kwa watoto waishio katika mazingira magumu ili kuwawezesha kufurahia Sikukuu ya Eid. Anayepokea kushoto ni Mamamlezi wa Kituo cha watoto yatima cha Mwana, Saada Omar Ally kilichopo Vingunguti jijini Dar es Salaam.   Meneja Uhusiano wa TTCL Tanzania, Ndugu Nicodemus Thom Mushi (kulia), akikabidhi msaada wa vyakula na mahitaji mengine...

Like
586
0
Sunday, 17 June 2018