Local News

WANANCHI WAMETAKIWA KUTUMIA VYEMA MIUNDOMBINU YA NCHI IKIWEMO BARABARA
Local News

Wito huo umetolewa Jijini Dar es salaam na Rais JAKAYA KIKWETE wakati akifungua rasmi barabara ya Mwenge –Tegeta. Naye Balozi wa Japani nchini MASAKI OKADA amezungumzia juu ya ushirikiano uliopo kati ya Serikali yake na Tanzania   Barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 12.9 imegharimu kiasi cha Sh. bilioni 77.85, fedha ambazo zimetolewa na Serikali ya Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo ya Kimataifa la JICA. Serikali ya Tanzania imechangia asilimia 7.64 katika gharama za ujenzi wa Barabara hiyo. Katika ufunguzi...

Like
442
0
Thursday, 02 October 2014
MKUTANO WA KIMATAIFA WA TEKNOLOJIA YA MAWASILIANO WAANZA RASMI JIJINI DAR
Local News

Mkurugenzi wa Kampuni ya Tekinologia ya Huawei Tanzania, Vincent

Wen(kushoto) akizungumza na washiriki katika mkutano huo. baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kimataifa

wa Tekinolojia ya Mawasiliano wakifatilia kwa makini mkutano huo ulioanza rasmi siku ya jana katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam kwa 

udhamini wa...

Like
427
0
Tuesday, 30 September 2014
Wananchi Wasema Sauti Zao Hazisikiki
Local News

Asilimia 70 ya wananchi sehemu mbalimbali nchini wameripoti kuwa sauti zao hazisikiki katika maamuzi ya serikali huku asilimia 71 wakiamini njia pekee ya kuleta ushawishi kwa serikali ni kupiga kula. Hayo yamebainishwajana jijini Dar es salaam kufuatia utafiti uliofanywa na Taasisi ya TWAWEZA uliohusisha mazungumzo ya wananchi juu ya hali zao na kupitia simu za mkononi uliopewa jina la Sauti za Wananchi....

Like
323
0
Wednesday, 03 September 2014
Kamati Yapendekeza Mipaka Uhuru Wa Habari
Local News

Bunge maalumu la Katiba linaloendelea mjini Dodoma limependekeza kuwe na mipaka ya Uhuru wa Vyombo vya Habari badala ya kuwa na Uhuru usiokuwa na Mipaka. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Kamati Namba Kumi ya Bunge maalumu la Katiba Mheshimiwa ANNA ABDALLAH wakati akiwasilisha maoni ya Wajumbe walio wengi katika Kamati hiyo ambapo Kamati hiyo imevitaka vyombo vya Habari kulinda na kuheshimu Utu,Heshima,Uhuru na Staha ya Mtu...

Like
492
0
Wednesday, 03 September 2014
Tumieni Vizuri Tabiri Za Hali Ya Hewa
Local News

Jamii imetakiwa kufuata na kutumia vema utabiri wa Hali ya Hewa unaotolewa kwa muda muafaka na mamlaka ya hali ya hewaTanzania -TMA ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi pamoja na kuepuka madhara ikiwemo mafuriko. Wito huo umetolewa leo na Mkuu wa wa Mkoa Morogoro JOEL BENDERA wakati akifungua Warsha juu ya umuhimu wa huduma za ushirikishwaji na usambazaji wa taarifa za hali ya hewa kwa Umma. Wakati huo huo Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo Dokta AGNES KIJAZI amewasisitiza wananchi kutopuuza...

Like
622
0
Wednesday, 03 September 2014
Ponda Aiomba Mahakama Morogoro Isimamishe Kesi Yake
Local News

  Wakili Nassoro Juma anayemtetea Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda ameiomba Mahakama Kuu itumie busara kusimamisha kesi ya jinai inayomkabili mteja wake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro. Ponda kupitia wakili huyo, aliwasilisha maombi akitaka mahakama iamuru kesi hiyo inayomkabili mkoani Morogoro isimame ili kusubiri kwanza uamuzi wa rufaa yake aliyokata mahakamani hapo. Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro, Ponda anakabiliwa na mashtaka ya uchochezi katika maeneo mbalimbali mkoani humo, likiwamo...

Like
413
0
Tuesday, 02 September 2014
Ikulu Yakana Rais Kikwete Kuwaomba Ukawa
Local News

  Ikulu imesema Rais Jakaya Kikwete hakuwaomba wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba ambao ni wanachama wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), warejee kuendelea na vikao vya Bunge hilo. Ukawa ni umoja unaoundwa na wajumbe ambao ni wanachama wa vyama vya siasa vya Chadema, NCCR Mageuzi na CUF waliosusia Bunge la Katiba tangu Aprili 16, mwaka huu kwa madai ya kutoridhishwa na mwenendo wa Bunge hilo. Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Ikulu, Salva Rweyemamu alisema suala la Ukawa kurejea bungeni...

Like
457
0
Tuesday, 02 September 2014
Wafanyabiashara Kariakoo Wafunga Maduka Kukwepa Ukaguzi Wa Mashine Za EFD
Local News

Wafanyabiashara mbali mbali wenye maduka eneo la kariakoo wamefanya mgomo usio rasmi wa kufunga maduka yao ili kutokaguliwa na watendaji wa TRA ambao wanaendesha msako wa kuwakamata wale wote ambao wanatumia mashine za EFD kinyume na matumizi yake halisi. Kwa mujibu wa hali halisi ambayo imeonekana leo katika eneo hilo  maduka mengi yamefungwa katika kile kinachoonekana kukwepa kufanyiwa tathmini ya matumizi ya mashine za ki Electroniki za EFD zinazofanya kazi ya kutoa risiti na kutunza kumbukumbu za mahesabu za mwenye...

Like
518
0
Monday, 01 September 2014
Christiano Ronaldo Mchezaji Bora Ulaya
Local News

Mchezaji wa kimataifa wa Portugal anayechezea timu ya Real Madrid Christiano Ronaldo Jana usiku alitwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Ulaya kwa mwaka 2014/2015. Ronaldo alitwaa tuzo hiyo akiwashinda wachezaji Arjen Robben wa Bayern Munich Emmanuel Neur wa Bayern Munich katika sherehew iliyofanyika jijini Monaco nchini...

Like
426
0
Friday, 29 August 2014
Okwi Arudi Simba Asaini Mkataba Kama Mchezaji Huru Kulinda Kipaji Chake
Local News

Aliyekuwa msambuliaji wa Yanga Emmanuel Okwi jana jioni amesaini Simba SC kwa mkataba huru wa muda, baada ya Yanga SC kumpa barua ya kusitisha mkataba naye jana pamoja na kumshitaki Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Okwi amesema ameamua kuomba kuichezea Simba SC kipindi hiki ambacho ana matatizo na Yanga SC ili kulinda kipaji chake, kwa kuwa hata FIFA haitaki mchezaji akae bila kucheza. Sasa wakati Yanga wanaendelea na kesi yao, mimi ninaomba nichezee Simba SC ili kulinda kipaji changu. Nimewaandikia...

Like
998
0
Friday, 29 August 2014
Mbowe Akabidhiwa Fomu Ataka Ushindani Na Anayeona Anaweza Kummudu
Local News

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe jana alikabidhiwa fomu na makada wa chama hicho na kumtaka awanie tena kiti hicho, ombi ambalo alilikubali na kufungua milango kwa wanachama wengine ‘kupimana naye kifua’. “Nafasi bado ipo, anayetaka kupima kifua na mimi ajitokeze. Tena nawaomba viongozi wangu msizuie fomu kwa anayetaka,” alisema Mbowe ambaye ameongoza chama hicho kwa vipindi viwili vya miaka mitano mitano. Makada wa chama hicho kutoka maeneo mbalimbali nchini wakiongozwa na kada maarufu, Athuman...

Like
535
0
Friday, 29 August 2014