Local News

MABAHARIA NCHINI WASIKITISWA NA SERIKALI KUSHINDWA KUWAPA AJIRA
Local News

  Umoja wa Mabaharia nchini wamesikitishwa na kitendo cha serikali kushindwa kuwasimamia kupata ajira ya ubaharia ambapo ushirikiano baina ya serikali na mabaharia ni changamoto kubwa, wamesema tangu jumuiya ya mabaharia iwepo, hakuna baharia mzawa aliyepata nafasi yeyote katika tenda mbalimbali zinazotoka serikalini Kupitia kwenye kipindi cha Joto la Asubuhi kinachoruka kila siku kuanzia Jumatatu mpaka ijumaaa saa kumi na mbili asubuhi hadi saa tatu Asubuhi Mabaharia hao ambao wameomba kukutana na rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...

Like
611
0
Wednesday, 30 May 2018
VIJANA 966 WAHITIMU MAFUNZO YA KIJESHI MLALE JKT
Local News

 Mwakilishi wa mkuu wa Jeshi la kujenga Taifa(Jkt)Kanal Hassan Mabena kulia akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme katika kikosi cha 842 Kj Mlale jana wakati mkuu wa mkoa alipkwenda kwa ajili ya kufunga mafunzo ya kijeshi na ujasiriamali kwa vijana 966 Operesheni Mererani.  Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme akiangalia Tikiti maji katika Bustani ya kikosi cha 842 Kj Mlale JKT mkoani Ruvuma alipokwenda kwa ajili ya kufunga mafunzo   ya vijana Operesheni Mererani jana.  Mkuu wa...

Like
1231
0
Tuesday, 29 May 2018
EFM REDIO: Tumefika Makao Makuu ya Nchi Dodoma City kwa Namba ya Bahati 92.5
Local News

  Makao Makuu 92.5 Dodoma unalipokea ukiwa eneo gani?...

1
763
0
Tuesday, 29 May 2018
DKT. BASHIRU ALLY APITISHWA NA NEC KUWA KATIBU MKUU WA CCM
Local News

Dkt. Bashiru Ally amepitishwa kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi(CCM) akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Abdulrahman Kinana. Dkt. Bashiru amepitishwa leo Mei 29, 2018 katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama(NEC) Dkt. Bashiru ni Mwalimu Mwandamizi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, pia alikuwa Mwenyekiti wa Tume maalum ya kuchunguza mali za CCM iliyoundwa na Rais Magufuli PICHA NA...

Like
658
0
Tuesday, 29 May 2018
Tanzania itaendelea kushiriki katika ulinzi wa amani duniani, Balozi Mahiga
Local News

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akihutubia katika maadhimisho ya miaka 70 ya Siku ya Walinda Amani Duniani yaliyofanyika katika viwanja vya Mashujaa vya Mnanzi Mmoja Jijini Dar es Salaam tarehe 29 Mei 2018.    Siku ya Walinda Amani Duniani huadhimishwa tarehe 29 Mei ya kila mwaka ambapo kaulimbiu ya maadhimisho hayo kwa mwaka huu ni “Ulinzi wa Amani wa Umoja wa Mataifa: Miaka 70 ya huduma na kujitoa (UN Peacekeeping:...

Like
717
0
Tuesday, 29 May 2018
Bado Tunakukumbuka Albert Mangweir
Local News

Leo wanamuziki na wadau wa burudani nchini Tanzania wanakumbuka miaka mitano ya kifo cha msanii wa miondoko ya kufokafoka Albert Mangwair. Mangwair ambaye alikuwa mmoja ya wasanii nguli nchini alizaliwa Novemba 16 1982 mkoani Mbeya na kufariki Mei 28 2013 nchini Afrika Kusini. Efm bado tunaendelea kumkumbuka kwa mchango wake katika kuinua...

Like
991
0
Monday, 28 May 2018
RC DKT. KEBWE AAGIZA WAHUJUMU MIUNDOMBINU YA MAJI GAIRO WAKAMATWE
Local News

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe akipokea maelezo ya wizi wa pampu ya maji kutoka kwa mkuu wa Wilaya ya Gairo Mhe. Siriel Mchembe katika Kijiji cha Italagwe Kata ya Italagwe ili kuweza kuwalejeshea wanachi maji. Picha zote na Cathbert Kajuna – Kajunason/MMG-GAIRO.  Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe amesema nashangaa kuona pamoja na changamoto mliyonayo ya maji ila kuna watu bado wanahujumu miundo mbinu yenu jambo linakosesha majibu sahihi, walioiba Pampu hiyo ya...

Like
997
0
Friday, 25 May 2018
Mwanamgambo aliyejaribu kumpindua Fidel Castro afariki
Local News

Luis Posada Carriles, mzaliwa wa Cuba na ajenti za zamani wa CIA ambaye alitumia miaka yake mingi akijaribu kuipindua serikali ya kikomunisti ya Cuba amefarikia huko Florida akiwa na miaka 90. Bw Posada Carriles alikuwa mmoja wa maadui wakubwa wa rais wa zamani wa Cuba Fidel Casto. Alishiriki katika uvamizi ulioungwa mkono na Marekani mwaka 1961 na analaumiwa kwa kuiangusha ndege ya abiria. Huku akitajwa kuwa gaidi nchini Cuba alionekana kama shujaa miongoni mwa raia wengi wa Cuba waliokuwa uhamishoni....

Like
556
0
Thursday, 24 May 2018
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani amethibitisha
Local News

MAOFISA watatu wa Kituo cha Uwekezaji cha nchini  (Tanzania Investment Center (TIC) wamefariki dunia katika  ajali ya gari usiku wa kuamkia leo maeneo ya Chalinze wakiwa njiani kuelekea jijini Dodoma. Waliofariki ni Saidi Amiri Moshi (Kaimu Mkurugenzi wa Research zamani Corporate Affairs), Zacharia Kingu (Kaimu Mkurugenzi wa Corporate Affairs zamani Investment Promotion) na Martin Masalu (Meneja Research). Waliopata majeraha ni wawili yaani Godfrey Kilolo (Meneja wa Sheria) na dereva wa gari hilo aliyejulikana kwa jina moja tu la Priscus....

Like
801
0
Tuesday, 22 May 2018
Mstahiki Meya Wa Manispaa Ya Ubungo, Mhe Boniface Jacob, Aelezea Mipango wa Kuwawezesha, Wananchi wa Manispaa Ya Ubungo
Local News

Meya wa Manispaa ya Ubungo, Mhe Boniface Jacob kwenye kipindi cha Joto la Asubuhi kinachorushwa kila siku kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia Saaa 12 hadi saa 3 Asubuhi leo tarehe 22,Mei, 2018 amefafanua kwa kina Miradi ya maendelea iliyoanzishwa, katika Manispaa yake. Miongoni mwa miradi hiyo ni pamoja na mradi wa maendeleo kwa Wanawake na Vijana ambapo alisema mradi huo unaendelea vizuri hivyo amewataka vijana ambao ni wakazi wa Manispaa hiyo wajitokeze kuomba mikopo kwa sababu hadi sasa idadi ya...

Like
771
0
Tuesday, 22 May 2018
Rais Magufuli Atoa Wito kwa Majeshi Yote Nchini
Local News

Rais Magufuli Atoa Wito kwa Majeshi Yote Nchini Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 17 Mei, 2018 amezindua kituo cha uwekezaji cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kilichopo katika kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Mgulani (831KJ) Jijini Dar es Salaam. Kituo hicho kina viwanda vya kushona nguo, kutengeneza maji, kukereza vyuma na pia kina chuo cha ufundi stadi (VETA), shule ya sekondari Jitegemee na kumbi mbili za...

Like
826
0
Thursday, 17 May 2018