Local News

NEC YAWATAKA WANANCHI KUHAKIKI TAARIFA SIKU 8 KABLA YA UCHAGUZI
Local News

TUME ya Taifa ya Uchaguzi nchini-NEC– imewaasa  wapiga kura kote nchini kuhakiki taarifa zao katika vituo vya kupigia kura siku nane kabla ya uchaguzi.   Hayo yamesema jana  na Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji mstaafu Damian Lubuva alipokuwa akizungumza katika mkutano na viongozi wa vyama vya siasa jijini Dar es Salaam.   Katika mkutano huo Jaji Mstaafu Lubuva amewasihi viongozi hao kunadi sera zao majukwaani na sio kuilalamikia Tume katika majukwaa  wakati wa kampeni  pia amewataka wanasiasa hao  kupeleka malalamiko yao...

Like
245
0
Tuesday, 13 October 2015
NEC YAWATAKA VIONGOZI WA SIASA KUEPUKA TAARIFA ZISIZO SAHIHI KUHUSU TUME HIYO
Local News

TUME ya Taifa ya Uchaguzi-NEC, imewataka viongozi wa vyama vya siasa kuepuka kutoa taarifa na shutuma sisizo sahihi kuhusu Tume hiyo na badala yake wajikite katika kufikisha taarifa zilizo sahihi na zilizokusudiwa kwa Wafuasi wao na kuwahamasisha wananchi kujitokeza kushiriki katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 25 Oktoba 2015.   Akizungumza leo katika  Mkutano wa Tume na viongozi  wa vyama vya siasa jijini Dar es salaam, Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu Damian Lubuva, amesema Tume imeaandaa vituo vya kupigia kura elfu...

Like
201
0
Monday, 12 October 2015
TANZANIA NA NAMIBIA KUSIMAMIA USALAMA AFRIKA
Local News

RAIS wa jamhuri ya muungano wa Tanzania dokta Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Rais wa Namibia Dokta Hage Gottfried Geingob, wameahidi kuwa watasimamia kwa juhudi nchi za bara la Africa ili kuhakikisha zinakuwa na usalama wa kisiasa na  kiuchumi hata watakapo maliza muda wao wa uongozi ili wananchi wake waweze kuishi kwa amani. Akizungumza Ikulu Jijini Dar es Salaam  wakati akijibu maswali kutoka kwa waandishi wa habari Dokta Kikwete amesema kuwa  endapo viongozi  wakubwa wa Africa wakiweza kuwakomboa wananchi wao...

Like
197
0
Monday, 12 October 2015
UNESCO YAENDESHA WARSHA KWA WAKUU WA HIFADHI NA VITUO VYA UTALII
Local News

Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) kwa kushirikiana na Idara ya mambo ya kale imeendesha warsha ya siku moja kwa wakuu wa hifadhi na vivutio vya utalii nchini kwa lengo la kushirikishana masuala muhimu yanayohusu utalii.   Warsha hiyo iliyohudhuriwa na Wakuu wa hifadhi mbalimbali nchini imehusisha uwasilishaji wa mafanikio na changamoto wanazokutana nazo wakuu wa hifadhi hizo huku matatizo makubwa yakiwa ni Ukosefu wa fedha kwaajili ya Kujiendesha.   Akizungumza katika warsha hiyo Mkuu wa Hifadhi ya...

Like
299
0
Monday, 12 October 2015
SERIKALI IJAYO KUENDELEZA USHIRIKIANO NA UDUGU NA NAMIBIA
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema ushirikiano na udugu baina ya Tanzania na Namibia utaendelea kuwepo hata kwa Serikali ya Awamu ya Tano itakayokuwepo madarakani. Rais Kikwete aliyasema hayo jana Ikulu jijini Dar es Salaam wakati akimkaribisha Rais wa Namibia Dokta Hage Geingob kwenye mkutano wa pamoja na waandishi wa habari. Kwa upande wake Rais wa Namibia amesema kuwa amefurahishwa na hali ya Amani iliyopo nchini hususani kwa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu...

Like
235
0
Monday, 12 October 2015
MUZIKI MNENE KIGAMBONI 2015
Local News

MUZIKI mnene bar kwa bar wiki iliyopita ulivuka kivuko na kuhamia kigamboni.Wakazi wa eneo hilo ambao ni wasikilizaji wa 93.7 EFM walipata burudani ya aina yake kutoka kwa timu nzima ya EFM redio. Burudani ilianza na kabumbu katika uwanja wa shule ya msingi Ufukoni kati ya EFM na magogoni veteran.Timu ya magogoni veterani ilitetea ushindi nyumbani kwa kuifunga EFM magoli manne huku EFM ikiambulia mawili 2. Kwa kuwa kigamboni kumezungukwa na fukwe kibao, muziki mnene uliendelea katika fukwe ya Navy...

Like
567
0
Monday, 12 October 2015
DARESALAAM YAONGOZA KUWA NA IDADI KUBWA YA WAGONJWA WA AKILI
Local News

WAKATI kesho ni siku ya Kimataifa ya afya ya Akili duniani Takwimu zinaonyesha kuwa Tanzania ina idadi ya watu takriban milioni 45 na kutokana na taarifa ya afya ya akili kwa mwaka 2014/15ambayo  inaonyesha kuwa idadi ya watu 817,532 wanaugua magonjwa mbalimbali ya akili nchini, hii ni karibu asilimia 2 ya watanzania wote.   Mkoa wa Dar-Es-Salaam unaongoza kwa kuwa n awagonjwa wengi nchini ukifuatiwa na mkoa wa Dodoma na mkoa wa mwisho ni Lindi.   Taarifa iliyotolewa leo na...

Like
483
0
Friday, 09 October 2015
RAIS KIKWETE AWAASA WABUNGE MSUMBIJI KUMALIZA TOFAUTI ZAO
Local News

RAIS Jakaya Mrisho Kikwete amewaasa wabunge wa Bunge la Msumbiji kufanya mazungumzo ili kumaliza tofauti zao.   Rais Kikwete ametoa ushauri huo wakati wa mazungumzo na Spika wa Bunge la Msumbiji Bibi Veronica Macamo ofisini kwake.   Rais Kikwete amewaasa wabunge wasikubali nchi yao kuingia katika vita na badala yake wakae pamoja na kuweka  makubaliano ambayo yatakubalika kwa vyama vyote na hatimaye kuwaepushia wananchi wa Msumbiji kuingia kwenye vita kwa mara...

Like
217
0
Friday, 09 October 2015
MCHAKA MCHAKA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
Local News

ZIKIWA zimesalia siku chache kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, wagombea mbalimbali wemeendelea kutoa ahadi zao kwa wananchi huku wengi wakisisitiza kufanyia mabadiliko mambo mbalimbali ikiwemo, elimu, viwanda na suala zima la kukuza uchumi. Mgombea ubunge wilaya ya kilolo  kupitia chama cha mapinduzi -CCM ameahidi kufanya mabadiliko katika tarafa tatu  wilayani humo na  kuleta maendeleo ya kasi. Kwa uapnde wake, Mgombea wa nafasi ya ubunge jimbo la Iringa mjini kupitia tiketi ya chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA,...

Like
232
0
Friday, 09 October 2015
JK ATEULIWA KUWA MJUMBE WA KIMATAIFA KUCHUNGUZA JINSI YA KUGHARIMIA ELIMU DUNIANI
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta Jakaya Mrisho Kikwete ameteuliwa kuwa Mjumbe wa Tume ya Kimataifa ya Kuchunguza Jinsi ya Kugharimia Elimu Duniani. Tume hiyo, inayoongozwa na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Gordon Brown ambaye pia ni Mjumbe Maalum wa Umoja wa Mataifa wa Elimu Duniani ina jumla ya wajumbe 30, wakiwemo marais na mawaziri wakuu wa zamani, wataalum wa elimu, wafanyabiashara kutoka sekta binafsi na wawakilishi wa mashirika yasiyokuwa ya kiserikali duniani.   Tume hiyo italenga...

Like
226
0
Friday, 09 October 2015
WAZEE CHADEMA WATOA TAMKO KUFUATIA MAAMUZI YA KINGUNGE
Local News

BARAZA la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA limesema kuwa uamuzi wa Mwanasiasa nguli Nchini Kingunge Ngombale Mwiru kujitoa katika Chama cha Mapinduzi kwa madai kuwa CCM inahitaji mabadiliko ya mfumo ni ishara kuwa Taifa linahitaji mabadiliko ya ukweli na ya uhakika.   Akizungumza leo jijini Dar es salaam, Katibu wa Baraza la Wazee wa CHADEMA Roderick Rutembeka amesema kuwa Mwanasiasa mkongwe huyo ameweza kuwatoa hofu Watanzania wote kuwa mabadiliko sio jambo geni nchini na kwamba kumekuwa na...

Like
434
0
Thursday, 08 October 2015