Local News

MAELEZO YA PICHA TEGETA
Entertanment

SHANGWE za muziki mnene wa 93.7 EFM  bado zinaendele.Ijumaa iliyopita ilikuwa zamu ya wakazi wa Tegeta . Burudani ya aina yake  ikiongozwa na timu nzima ya EFM ilishushwa ndani ya kimori high way park Tegeta , huku wakazi wa Tegeta wakikutana ana kwa ana na watangazaji na RDJ’s wa 93.7EFM. Burudani ilianza na kabumbu kati ya EFM na Boko beach veteran katika uwanja wa boko beach  ambapo EFM waliibuka na ushindi mabao matatu  huku Boko beach veteran wakiambulia sifuri. Muziki...

Like
333
0
Monday, 26 October 2015
UHONDO: MSHINDI WA NENO LA KHANGA AKABIDHIWA MILIONI MOJA
Local News

Mshindi wa shindano la kubuni neno la Khanga kupitia Uhondo Sekela Richard amekabidhiwa rasmi kitita cha Shilingi milioni moja ya kitanzania. Shindano hili liliwataka wanawake kushiriki kubuni neno la Khanga kwa kutumia neno Uhondo ambapo njia yake ya ushiriki ilijumuisha makusanyo ya maneno hayo kwa njia ya SMS hadi mshindi kupatikana. Neon lililotangazwa kuibuka na kura nyingi ni MAMA ANA UHONDO WAKE MTUNZE UPATE MEMA YAKE. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Sekela amesema utunzi wake ulizingatia kushirikisha wanawake...

Like
537
0
Friday, 23 October 2015
CCM KUHITIMISHA KAMPENI JANGWANI LEO
Local News

CHAMA cha Mapinduzi CCM  leo kitafanya mkutano wake Mkubwa wa kuhitimisha kampeni zake kwa upande wa Mkoa wa Dar es salaam katika Viwanja vya Jangwani ambapo Mgombea wa kiti cha Urais kupitia chama hicho ataongea na wananchi wa mkoa huo kwa mara ya mwisho kuomba ridhaa yao ya kumpa kura siku ya Uchaguzi.   Kampeni za CCM zitafungwa Kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa saba  ambayo ni Mwanza, Tanga, Mbeya, Kigoma, Mtwara, Kilimanjaro na Mara ambapo Mikutano hiyo...

Like
181
0
Friday, 23 October 2015
HATMA YA KESI YA UMBALI KWA WAPIGA KURA KUFAHAMIKA LEO
Local News

KESI ya Kikatiba kuhusu tafsiri ya Umbali wanaotakiwa kusimama wapiga kura baada ya Kupiga kura Wakati wa Uchaguzi mkuu inatolewa hukumu yake leo ikiwa ni maelekezo maalumu. Hukumu hiyo inasomwa baada ya kusikiliza maelezo ya pande zote mbili kuhusiana na kesi hiyo yaliyotolewa hapo jana ambapo mahakama imesema itatoa maelekezo maalum kuhusu umbali wanaotakiwa kusimama wapiga kura baada ya kupiga kura siku ya chaguzi mkuu. Kesi hiyo ilifunguliwa October16 mwaka ikiiomba mahakama kuu kutoa tafsiri ya sheria ya chaguzi namba...

Like
144
0
Friday, 23 October 2015
AUAWA KWA KUDAI MTOTO WAKE KWA MKE WA MTU
Local News

KATIKA tukio la kusikitisha, mkazi wa kitongoji cha Songambele Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, ameuawa kwa kukatwa katwa mapanga, baada ya kudai mtoto wake kwa mke wa mtu.   Wakizungumza kuhusiana na tukio hilo baadhi ya mashuhuda wamedai kuwa marehemu huyo alikuwa na uhusiano wa kimapenzi wa muda mrefu na mwanamke huyo ambaye ni mke wa mtu.   Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, kamanda wa polisi wa mkoa wa Manyara, kamishna msaidizi (ACP) Christopher Fuime amesema tukio...

Like
205
0
Thursday, 22 October 2015
VYOMBO VYA HABARI VIMEPONGEZWA KWA KUTOA HABARI ZA KUZUIA UHALIFU  KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
Local News

MKUU wa jeshi la polisi Nchini ERNEST MANGU amevipongeza vyombo vya habari nchini kwa kazi kubwa wanayofanya kuelimisha jamii hususani katika habari zinazosaidia kuzuia uhalifu na kuhamasisha wananchi kudumisha amani kipindi hiki cha uchaguzi mkuu. IGP Mangu amewaambia wandishi wa habari kuwa katika kipindi hiki cha kuelekea kumalizika kwa kampeni za uchaguzi mkuu hali ya nchi kwa ujumla imeendelea kuwa shwari na jeshi la polisi limeweza kudhibiti kwa kukemea na kuwafikisha mahakani watu wachache waliofanya vitendo vyenye uvunjifu wa...

Like
135
0
Thursday, 22 October 2015
TANESCO YAONYA UFUNGAJI WA BENDERA ZA VYAMA KATIKA NGUZO
Local News

VITENDO vinavyofanywa na baadhi ya vijana  nchini vyakuweka bendera za vyama  mbalimbali vya siasa katika nguzo   na nyaya za umeme vimeelezwa kuwa vinahatarisha maisha yao.   Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) mhandisi FELCHESMI MRAMBA  ameimbia EFM kuwa ni wakati wa vijana kujithamini na kuthamini uhai wao badala ya kufanya vitu bila kufikiria athari zake...

Like
350
0
Thursday, 22 October 2015
HATMA YA KESI YA UMBALI KWA WAPIGA KURA KUFAHAMIKA LEO
Local News

KESI ya Kikatiba kuhusu tafsiri ya Umbali wanaotakiwa kusimama wapiga kura baada ya Kupiga kura Wakati wa Uchaguzi mkuu inasomwa leo na kutolewa maelekezo maalum baada ya hapo jana kuahirishwa. Akizungumza jana wakati anatoa maamuzi hayo mwenyekiti wa jopo la majaji wanaosikiliza  kesi hiyo JAJI SAKIETI KIHIYO  ameleza kuwa  baada ya kusikiliza maelezo ya pande zote mbili kuhusiana kesi hiyo jana, mahakama  imetoa uamuzi wa kuahirisha kesi hiyo hadi leo ambapo watatoa maamuzi yenye maelekezo maalum kuhusu umbali ambao wapiga...

Like
141
0
Thursday, 22 October 2015
KITENGO CHA UPASUAJI WA MOYO MUHIMBILI KIMETANGAZA KUJITENGA KUWA TAASISI INAYOJITEGEMEA
Local News

KITENGO cha upasuaji wa moyo  Mhimbili,  kimetangaza kujitenga kutoka kwenye kitengo na kuwa Taasisi inayojitegemea  kwa lengo la kuboresha huduma zake na kuwa taasisi ya kisasa kwa Afrika Mashariki   ikitatambulika kama Taasisi ya moyo ya JAKAYA KIKWETE. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam, wakati wa kutangaza mabadiliko hayo Kaimu mkuu  wa taasisi hiyo Profesa MOHAMEDI JANABI amesema kuwa mbali na kujitenga huko pia taasisi hiyo imekuwa na mafaniko makubwa ambapo mwaka huu  pekee 2015 wameweza kufanya upasuaji kwa...

Like
316
0
Wednesday, 21 October 2015
DOKTA BILAL AZINDUA RASMI MKONGO WA MAWASILIANO
Local News

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Mohamed Gharib Bilal leo amezindua rasmi Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano pamoja na kufungua Kituo cha kisasa cha kimataifa cha mawasiliano ya Intaneti  kitakachojulikana kwa jina la IP-POP ikiwa ni jitihada za Serikali kuboresha na kuimarisha sekta ya TEHAMA nchini kwa kuboresha na kuongeza miundombinu itakayosaidia kutoa huduma bora katika Sekta ya mawasiliano.   Akizungumza katika hafla hiyo Dokta Bilal amesema kuwa miundombinu hiyo ya mawasiliano ni muhimu  kwa maendeleo...

Like
281
0
Wednesday, 21 October 2015
WANANCHI WAMETAKIWA KUTII SHERIA ZA NCHI NA TUME YA UCHAGUZI
Local News

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya nchi MATHIAS CHIKAWE  amewataka  wananchi kutii sheria za nchi na zile za tume ya uchaguzi zinazoongoza uchaguzi mkuu sambamba na kufuata maelekezo yatakayotolewa na tume kabla na baada ya kupiga kura kwani kila mtanzania ana wajibu wa kuilinda amani kwa kufuata sheria za nchi bila kushurutishwa.   Akizungumza na Efm Radio,  leo jijini dar es salaam, waziri CHIKAWE amesema kuwa watanzania watambue baada ya uchaguzi mkuu maisha yanapaswa kuendelea kama kawaida hivyo itikadi za...

Like
179
0
Wednesday, 21 October 2015