Local News

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MUSEVENI MAREKANI
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni mjini New York, ambapo wamezungumzia masuala mbali mbali yanayohusu uhusiano kati ya Tanzania na Uganda, yanayohusu Jumuia ya Afrika Mashariki ambako Tanzania na Uganda ni wanachama .   Miongoni mwa mambo ambayo viongozi hao wamezungumzia ni maendeleo ya uchimbaji mafuta katika Uganda na faida za mafuta hayo kwa Tanzania na kwa nchi zote wanachama wa...

Like
321
0
Friday, 25 September 2015
MWILI WA CELINA KOMBANI KUWASILI NCHINI JUMATATU
Local News

MWILI wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Ompeashi Kombani unatarajiwa kuwasili nchini siku ya Jumatatu.   Taarifa kutoka ofisi za Bunge ambazo zilithibitisha kifo hicho zimeeleza kuwa Bunge na Serikali watasimamia maandalizi yote ya maziko na kumsafirisha kwa mazishi nyumbani kwa marehemu huko Mahenge ambako alikuwa Mbunge wa jimbo la Ulanga Mashariki.   Mheshimiwa  Kombani amefariki dunia jana huko India alikokuwa akipata matibabu ya saratani. Alikuwa na umri wa miaka...

Like
261
0
Friday, 25 September 2015
BAKWATA YATHIBITISHA VIFO VYA MAHUJAJI 5 KUTOKA TANZANIA NCHINI SAUDI ARABIA
Local News

BAKWATA imethibitisha kutokea kwa vifo vya Watanzania  watano miongoni mwao mmoja ni raia wa Kenya waliofariki huko Minna Saudi Arabia wakati mahujaji wakielekea kwenye Jamaraat , ambako kulikuwa na msongamano mkubwa uliopelekea mahujaji zaidi ya 700 kufariki na mamia kadhaa kujeruhiwa.   Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Sheikh Mkuu wa Tanzania Abu Bakari Zuberi Watanzania waliotambuliwa hadi jana usiku wametajwa kuwa ni Mwanaisha Hassan Juma, Mkungwe Suleiman Hemedi na Sefu Saidi Kitimla na  Mwanamke mwingine mmoja Mtanzania...

Like
516
0
Friday, 25 September 2015
DIRA YA MADINI KUZINDULIWA JANUARI 2016
Local News

IMEELEZWA kuwa Tanzania inatarajia kuzindua Dira ya Madini mapema mwezi Januari mwaka 2016, ambayo ni sehemu ya Dira ya Madini Afrika iliyoasisiwa mwaka 2009 na wakuu wa nchi zenye madini Afrika kwa lengo la kuboresha sekta hiyo nchini. Hayo yamesemwa na Mratibu wa Mradi wa Biofueli, Wizara ya Nishati na Madini, Paul Kiwele, katika warsha kuhusu dira mpya ya madini Afrika iliyofanyika mjini Morogoro. Warsha hiyo ya siku tatu iliyoandaliwa na Wizara ya Nishati na Madini imewakutanisha wataalam kutoka taasisi...

Like
315
0
Wednesday, 23 September 2015
RAIS KIKWETE AKABIDHI MISAADA KAMA ZAWADI KUSHEREHEKEA IDD ALHAJI
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo amekabidhi misaada yenye thamani ya shilingi milioni 9 na laki 7 kwa vituo mbalimbali vya makundi maalum Tanzania bara na Visiwani ikiwa kama zawadi ya kusherekea sikukuu ya Idd Alhaji inayotarajiwa kuwa kesho Septemba 24 mwaka huu. Misaada hiyo iliyojumuisha mchele , mafuta ya kupikia na mbuzi vimegaiwa kwa vituo hivyo ili na wao waweze kusherekea na kufanikisha sikukuu za Idd kama watu wengine kwa kuwa sikukuu hiyo husherekewa kila mwaka na...

Like
376
0
Wednesday, 23 September 2015
MSAMA PROMOTIONS KUFANYA TAMASHA LA AMANI OCTOBER
Local News

MSAMA promotions wanatarajia kufanya tamasha la amani October mwaka huu lenye lengo la kuhamasisha na kudumisha  amani kwa watanzania hususani katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi na baada ya uchaguzi. Mratibu wa Msama Promotion HUDSON KAMOGA ameiambia EFM  kuwa tamasha hilo litafanyika ndani ya mikoa kumi na kumalizika kabla ya uchaguzi huku akisisitiza kuwa watanzania wanatakiwa kuilinda amani na kuhakikisha nchi haiingii kwenye machafuko kutokana na...

Like
286
0
Wednesday, 23 September 2015
SERIKALI YASHAURIWA KUBORESHA MISHAHARA YA WAALIMU
Local News

SERIKALI imeshauriwa kuboresha mishahara ya walimu ili waweze kufanya kazi kwa bidii tofauti na ilivyo sasa ambapo wamekuwa wakifanya  kazi wakiwa na mawazo yakutojua kesho yao. Rai hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam na Rais wa chama cha ngumi Tanzania MUTTA RWAKALE  wakati wa mahafali ya 12   darasa la saba  shule ya msingi UKWAMANI  ambapo amesema kuwa  kutokana na walimu kuwa na mishahara midogo   inaweza kuchangia kufeli kwa wanafunzi kutokana na kutokuwa  makini wakati wakufundisha huku wakiwaza namna ya kupata...

Like
291
0
Wednesday, 23 September 2015
WAKAZI WA JANGWANI WAMEIOMBA SERIKALI KUANGALIA UPYA MIUNDOMBINU
Local News

WANANCHI wa mtaa wa mtambani B kata ya jangwani Jijini Dar es salaam wameitaka serikali kuangalia upya miundombinu ya mabomba yaliyowekwa kwa ajili ya kutoa maji ya mvua kwenye nyumba za gorofa ambayo hutumika kutoa maji hata kipindi cha kiangazi. Wakizungumza na kituo hiki wakazi wa eneo hilo wamesema kuwa hali hiyo imekithiri huku wakazi wa nyumba hizo wakionesha kutojali hali ya mazingira ya wale wanaofanya shughuri mbalimbali chini ya gorofa hizo. Kwa upande wake mwenyekiti wa serikali ya mtaa...

Like
309
0
Tuesday, 22 September 2015
MAADHIMISHO YA KILELE CHA WIKI YA VIZIWI DUNIANI KUFANYIKA SEPTEMBA 27
Local News

WAZIRI wa Afya na ustawi wa jamii dokta Seif Rashid anatarajia kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya kilele cha wiki ya viziwi duniani itakayofanyika Septemba 27 mwaka huu kwenye viwanja vya Bwawani mjini Kibaha mkoani Pwani. Hayo yamesemwa na Afisa Jinsia na Maendeleo kutoka Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) Lupi Mwaisaka Maswanya alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam. Mwaisaka amesema kuwa lengo la maadhimisho hayo ni kujenga mwamko wa jamii kuhusu haki za viziwi hususani utambuzi...

Like
294
0
Tuesday, 22 September 2015
SERIKALI YAANZA KUTOA MAFUNZO KWA WATAALAM WATAKAOHUSIKA KUPITIA MIKATABA YA MADINI, GESI NA MAFUTA
Local News

ILI kuhakikisha kuwa wananchi wa Tanzania wananufaika na rasilimali za madini mbalimbali pamoja na gesi iliyogunduliwa, Serikali imeanza kutoa mafunzo kwa wataalam kutoka taasisi za serikali watakaohusika na upitiaji wa mikataba yote ya shughuli za utafutaji na uchimbaji wa madini, gesi na mafuta kabla ya kusainiwa. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nishati na Madini mheshimiwa George Simbachawene katika uzinduzi wa warsha kuhusu dira mpya ya madini Afrika iliyofanyika mjini Morogoro. Warsha hiyo ya siku tatu iliyoandaliwa na Wizara ya Nishati...

Like
205
0
Tuesday, 22 September 2015
DK SHEIN AAHIDI KUJENGA HOSPITALI YA KISASA BINGUNI ZANZIBAR
Local News

MGOMBEA wa nafasi ya urais wa zanzibar kupitia chama cha mapinduzi –CCM- dokta Ali Mohamed Shein ameahidi kujengwa kwa hospitali mpya ya kisasa eneo la binguni wilaya ya kati mkoa wa kusini Unguja. Dokta Shein ameyasema hayo katika mkutano wa kampeni ya uchaguzi wa chama hicho uliofanyika bungi miembe mingi wilaya ya kati, mkoa wa kusini unguja na kuhudhuriwa na maelfu ya wananchi. Katika mkutano huo amesema kuwa hospitali hiyo itakuwa kubwa na ya kisasa, ambayo itakuwa na idara mbalimbali...

Like
407
0
Tuesday, 22 September 2015