Global News

Reli mpya ya SGR nchini Kenya iliofadhiliwa na China yasababisha hasara ya $100m
Global News

Mradi wa reli mpya ya kisasa nchini Kenya SGR umesababisha hasara ya $100m (£76m) katika kipindi cha mwaka wa kwanza wa operesheni zake , kulingana na wizara ya uchukuzi nchini humo. Mradi huo uliofadhiliwa na serikali ya China ambao unaunganisha mji wa pwani wa Mombasa na Nairobi ulifadhiliwa kwa mkopo wa kima cha $3bn kutoka kwa benki ya China ya Exim katika kipindi cha miaka 15. Serikali ya Kenya ilipinga madai kwamba bei ya ujenzi wa mradi huo wa reli...

Like
687
0
Thursday, 19 July 2018
Watu 40 wauawa kwenye mafuriko Nigeria
Global News

Takriban watu 40 wamefariki dunia kufuatia mafuriko yaliyosababishwa na mvua nyingi katika jimbo la Katsina, kaskazini mwa Nigeria. Maafisa nchini humo wamesema mafuriko hayo yametokea katika eneo lililompakani na Niger. Miili 22 tayari imezikwa na mingine 18 imerejeshwa kutoka Niger, ambako miili hiyo ilisombwa na maji. Mvua iliyonyesha siku ya Jumapili usiku na kunyesha mfululizo kwa saa nne, ilisababisha mafuriko makubwa katika mji wa Jibia. Mafuriko hayo pia yalisababisha mto ulioko jirani na eneo hilo kuvunja kingo zake na maji...

Like
446
0
Tuesday, 17 July 2018
Rais Magufuli Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Nyerere
Global News

Rais Dkt. Magufuli ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Mwl. Julius Nyerere kilichopo Kibaha, Pwani. Chuo hicho kinajengwa kwa gharama ya Sh. Bil 100, kwa ufadhili kutoka chama cha CPC cha China kwa ajili ya vyama 6 vya ukombozi Africa (CCM, ANC, ZANU-PF, Frelimo, MPLA na SWAPO na kitachukuwa miaka miwili mpaka kukamilika kwa ujenzi. Katika hotuba yake rais Magufuli amesema Chuo hicho kitasaidia kuzalisha akina Nyerere, Mandela, Mugabe na wengine wengi, kuanzishwa kwa chuo...

Like
712
0
Monday, 16 July 2018
Donald Trump na Vladmir Putin Kukutana Leo
Global News

Rais wa Marekani Donald Trump na wa Urusi Vladmir Putin muda mchache ujao watakutana kwa mazungumzo, katika makazi ya Rais wa nchi hiyo mjini Helsinki, ambao ni mkutano wao wa kwanza kabisa kuwakutanisha pamoja. Mpaka sasa hakuna ajenda yoyote ya mkutano huo, ambao utahudhuriwa tu na watafsiri wao. Aidha licha ya mkutano huo kutotegemewa sana, lakini wanaweza kuonesha dalili mpya za kuanza kwa awamu mpya ya mahusiano kati ya Washngton na Moscow, baada ya kufarakana kufuatia Urusi kuitwaa kwa nguvu...

Like
569
0
Monday, 16 July 2018
Mwanamume achapwa viboko 80 kwa makosa aliyoyatenda akiwa miaka 14 Iran
Global News

Amnesty International imelaani mamlaka nchini Iran kwa kumchapa viboko hadharania mwanamume ambaye alipatikana na hatia ya kunywa pombe wakati alikuwa na umri wa miaka 14. Vyombo vya habari vilichapisha picha za mwanamume ambaye alitambuliwa kama “M R” akichapwa viboko 80 kwenye mji ulio mashariki wa Kashmir siku ya Jumanne. Waendesha mashtaka wanasema alikamatwa wakati wa maadhimisho ya mwaka wa Iran wa 1385 wa kati ya (Machi 2006 na Machi 2007) na alihukumiwa mwaka uliopita. Haijulikani sababu iliyochangia adhabu hiyo kuchukua...

Like
492
0
Thursday, 12 July 2018
Serikali – Uganda kupitia upya kodi ya mitandao ya kijamii
Global News

Serikali ya Uganda imechukuwa hatua yakurekebisha sheria ambayo hivi karibuni ilianzisha kodi ya miamala ya kwenye simu na matumizi ya mitandao mingine ya kijamii. Hatua hii inachukuliwa Jumatano wakati wananchi wakiandamana kupinga utozaji kodi huo na wakisema kuwa kodi hizo ni kadamizi na ni ghali mno. Vyanzo vya habari nchini Uganda vimeripoti kuwa marekebisho ya muswada huo wa kodi wa 2018 ulipitishwa na Bunge na baadae ukapitishwa na rais na kuwa sheria iliyotungwa na bunge. Sheria hiyo imeweka kodi ya...

Like
530
0
Thursday, 12 July 2018
Trump ayataka mataifa ya NATO kuongeza bajeti ya ulinzi
Global News

Katika hatua nyingine Trump ameilaumu Ujerumani kwa madai kwamba inatumia kiasi kidogo, katika bajeti ya ulinzi wakati ambapo inatumia fedha nyingi katika ununuzi wa bidhaa za nishati, kutoka nchini Urusi,taifa ambalo walipa kodi wa Marekani wanachangia kodi zao kukabiliana na vitisho vyake. Kansela wa Ujeruman Bi Angela Merkel,amejibu shutuma hizo za Trump na kudai idadikubwa ya wanajeshi wake wapo katika vikosi vya NATO Bi Merkel Anasema “sisi ni taifa la pili kuwa na kikosi kikubwa cha wanajeshi wetu,tunanatoa mchango mkubwa...

Like
641
0
Thursday, 12 July 2018
Wavulana 4 zaidi waliokwama pangoni Thailand 'waokolewa'
Global News

  Wapigaji mbizi kaskazini mwa Thailand wamewaokoa wavulana wanne zaidi kutoka pango lililofurika maji. Hii inaashiria kuwa kwa jumla, wavulana 8 wameokolewa salama huku watu watano wakiwa bado wamesalia ndani ya pango. Vijana hao 12 na kocha wao wa soka walikwama ndani ya pango tangu Juni 23 baada ya mvua kubwa kusababihsa mafuriko. Wanajeshi wa majini wa Thailand wanaoongoza operesheni hiyo wamethibitisha kuwa jumla ya wavulana 8 wameokoloewa salama. Wavulana 4 waliokolewa salama kutoka pangoni siku ya Jumapili. Lakini operasheni...

Like
658
0
Tuesday, 10 July 2018
Mganga aliyedai kuwa na nguvu za kuzuia risasi apigwa risasi na kufariki Nigeria
Global News

Mganga mmoja nchini Nigeria amefariki baada ya mteja wake kujaribu iwapo ana nguvu za kuzuia risasi kuingia mwilini mwake kama alivyodai. Chinaka Adoezuwe , 26, aliuawa baada ya kumuagiza mteja wake kumpiga risasi alipokuwa akivaa nguvu hizo za kuzuia risasi katika shingo yake. Maafisa wa polisi katika jimbo lililopo kusini mashariki la Imo wanasema kuwa mteja huyo sasa amekamatwa kwa madai ya mauaji Nguvu za uganga ni maarufu nchini Nigeria , ambapo waganga huombwa kuwatibu raia magonjwa tofauti. Lakini kumekuwa...

1
718
0
Friday, 06 July 2018
Dola 250,00 Kulala Gereza Alimofungwa Mandela
Global News

Mnada unafanyika nchini Afrika Kusini wa kutoa fursa kwa watu kuweza kulala kwa siku moja kwenye jela alimofungwa rais wa kwanza mweusi nchini humo Nelson Mandela huko Robben Island. Shirika moja linafanya mnada huo wa kuanzia dola 250,000 kuruhusu watu 67 kulala kwa siku moja ndani ya gereza la ulinzi mkali ambapo Mandela alifungwa kwa miaka 18 kati ya miaka 27 ya kifungo chake. Warsha hiyo inaandaliwa na kundi linalofahamika kama CEO Sleepout, kuadhimisha siku ambayo Mandela ambaye alifariki mwaka...

1
556
0
Thursday, 05 July 2018
Vijana 12 waliokwama pangoni kwa siku 9 Thailand wapatikana hai
Global News

Video fupi imetolewa ikiwaonesha wajumbe wajumbe wa kikosi cha timu ya soka ya Thailand waliokutwa wakiwa hai ndani ya pango lililotandaa na pia lililo fura maji . Kugunduliwa na kuokolewa kwa wavulana kumi na wawili na kocha wao mmoja wakiwa hai baada ya siku tisa za kunaswa katika pango upande wa Kaskazini mwa nchi hiyo ya Thailand kumesababisha kuwa gumzo katika vyombo mbali mbali vya habari ulimwenguni. Sauti ya kwanza kuisikia baada ya siku tisa ni ya bwana Briton John...

Like
493
0
Tuesday, 03 July 2018