Global News

Kimbunga Michael kuyakumba majimbo matatu Marekani
Global News

Kimbunga Michael: Majimbo matatu kusini mashariki mwa Marekani kuathirika Takriban watu nusu milioni wanatakiwa kuondoka haraka katika makazi yao eneo la kusini mashariki mwa Marekani ili kukupisha kimbunga Michael ambacho kinakaribia kulikumba eneo hilo. Taarifa za watabiri wa hali ya hewa zinasema kimbuka hicho kwa sasa kimekwisha ingia katika hatua ya tatu na kuongezeka kasi yake kwa kadri kinavyopitia ghuba ya Mexico kuelekea Jimbo la Florida,Alabama na Georgia. Kimbunga hicho kinasababisha upepo mkali ambao unakwenda kwa kasi ya kilomita...

Like
515
0
Wednesday, 10 October 2018
Kim Jong-un kukutana na papa Francis
Global News

Ofisi ya rais wa Korea kusini imetangaza kuwa kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un amemualika papa Francis kutembelea nchi hiyo. Mualiko huo wa Pyongyang utawasilishwa na rais wa Korea kusini Moon Jae-in ambaye anatarajiwa kuwa Vatican wiki ijayo akiwa katika ziara zake barani ulaya. Inaelezwa kuwa Papa Francis sio papa wa kwanza kualikwa kutembelea Korea kaskazini ,ingawa papa John Paul wa pili aliwahi kualikwa...

Like
490
0
Tuesday, 09 October 2018
IMF yasema uchumi wa dunia umeshuka
Global News

Shirika la fedha la kimataifa IMF limesema vita vya kibiashara vilivyosababishwa na hatua ya Marekani kutangaza viwango vya ushuru pamoja na madeni makubwa vimeshusha uchumi wa dunia. Ikitangaza utafiti wake wa hivi karibuni hii leo  kuhusiana na hali ya uchumi duniani  katika kuelekea mkutano wa kilele utakaofanyika Bali Indonesia,  IMF imesema kukua kwa uchumi duniani kwa mwaka huu kutasalia katika kiwango cha asilimia 3.7 na kusalia katika kiwango hicho hapo mwakani.  Utafiti huo unaonesha kuwa kiwango hicho ni cha chini...

Like
548
0
Tuesday, 09 October 2018
Mwandishi mashuhuri kushtakiwa kwa mauaji
Global News

Jackie Maribe: Mwandishi mashuhuri na mchumba wake kushtakiwa kwa mauaji ya Monica Kimani Mwandishi wa habari wa runinga ya Citizen ya Kenya Jackie Maribe na mchumba wake Joseph Irungu sasa watapandishwa mahakamani kwa tuhuma za mauaji. Wawili hao wamekuwa kizuizini toka mwezi uliopita kupisha polisi kufanya uchunguzi wa kifo cha mfanyabiashara Monica Kimani, aliyeuawa kwa kukatwa shingo Septemba 19 katika nyumba yake jijini Nairobi. Baada ya uchunguzi wa wiki tatu, Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Kenya Noordin Haji ameagiza wawili hao...

Like
559
0
Tuesday, 09 October 2018
Upinzani wajitangazia ushindi huku chama tawala kikipinga madai hayo
Global News

Mgombea wa upinzani katika uchaguzi mkuu wa Cameroon Maurice Kamto anadai kuwa ameshinda uchaguzi wa uraisi wa siku ya jumapili licha ya onyo la serikali dhidi ya hatua. Kamto ambaye ni kiongozi wa chama cha Rebirth of Cameroon (MRC), ametoa wito kwa rais Paul Biya kuachia madaraka kwa amani. Akizungumza na waandishi wa habari mji mkuu wa Yaounde amesema ”Namuomba rais anayeondoka kupanga namna ya kumpokeza madaraka mpizani wake kwa...

Like
399
0
Tuesday, 09 October 2018
Raisi Donald Trump asema Jaji Kavanaugha alilengwa kisiasa
Global News

Rais wa Marekani Donald amemuomba radhi kwa niaba ya raia wa Marekani Jaji mpya wa mahakama ya upeo Brett Kavanaugh kwa kile alichokiita kwamba ni kampeni chafu za kisiasa zilizolenga kuharibu sifa binafsi ya Brett kutokana na mambo ya uzushi na uongo. Trump ameyasema hayo katika sherehe za kuapishwa kwa jaji huyo mkuu wa mahakama ya juu ya Marekani shughuli ambazo zimefanyika katika Ikulu ya white House. Hatua ya kumthibitisha bwana Kavanaugh katika uteuzi wake huo iligubikwa na kashfa za...

Like
433
0
Tuesday, 09 October 2018
Erdogan: Tunasubiri matokeo ya uchunguzi kuhusu Khashoggi
Global News

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema atasubiri matokeo ya uchunguzi kuhusu kutoweka kwa mwandishi wa habari Khashoggi kabla kufanya maamuzi. Polisi wanaamini Khashoggi aliuawa na maafisa waliotumwa Istanbul Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema kuwa anasubiri matokeo ya uchunguzi kuhusu kutoweka kwa mwandishi habari wa Saudi Arabia Jamal Khashoggi, ambaye chanzo cha habari serikalini kilisema aliuawa ndani ya ubalozi mdogo wa Saudi Arabia ulioko Istanbul. Jamal Khashoggi mwenye umri wa miaka 59 na ambaye ni mwandishi wa habari...

Like
424
0
Tuesday, 09 October 2018
JE WAZAZI HUKWAMISHA VIPAJI VYA WATOTO?
Global News

Nafasi ya mzazi katika kukwamisha au kuendeleza kipaji cha mtoto Mzazi ni mtu wa kwanza anayeweza kutambua uwezo ama kipaji cha mtoto wake. Hata hivyo ana fursa ya kuendeleza au kutokukiendeleza kipaji cha mtoto. Baadhi ya wazazi hutambua vipaji vya watoto mapema na kuanza kuviendeleza kwa kuwapatia nyenzo mbali mbali ambazo huwasaidia katika kuboresha uwezo walio nao. Lakini pia wapo wazazi ambao wanamalengo yao juu ya ni kitu gani wanapenda watoto wao wafanye. Ama yamkini hawana ufahamu wa nini cha...

1
793
0
Tuesday, 09 October 2018
Utafiti: Wasiwasi kutokana na kushuka kwa mbegu za kiume Ulaya na Marekani
Global News

  Wataalamu wametahadharisha kwamba ubora wa mbegu za kiume miongoni mwa wanadamu umekuwa ushuka pakubwa, na kuathiri uzazi. Hili linasababishwa sana na kula vyakula vya kisasa vyenye mafuta mengi na wanga pamoja na kutofanya mazoezi ya kutosha. Athari zimejitokeza kwenye kiasi cha mbegu za uzazi anazotoa mwanamume na pia ubora wa mbegu zinazotolewa na uwezo wake kuogelea katika majimaji ya...

1
894
0
Monday, 08 October 2018
Kwa nini huwa vigumu kwa Waafrika kuzuru mataifa ya Afrika wakilinganishwa na Wazungu na raia wa nchi za nje
Global News

Mfanyibiashara tajiri zaidi barani Afrika Aliko Dangote, amesema kuwa anahitaji hati 38 za kusafiria mataifa tofauti barani akitumia pasipoti yake ya Nigeria. Licha ya hayo raia wengi wa mataifa ya bara Ulaya wanaruhusiwa kuzuru mataifa ya Afrika bila hati ya usafiri, yaani visa. Mataifa ya Kiafrika yalitakiwa kufutilia mbali masharti ya visa kwa wananchi wote wa Afrika kufikia mwaka...

1
587
0
Monday, 08 October 2018
Viongozi watofautiana kuhusu kura ya maoni ya katiba Kenya
Global News

Wanasiasa kutoka nchini Kenya wameendelea kushinikiza hoja ya mabadiliko ya katiba ila kwa lengo kupunguza gharama ya serikali. Aliyekuwa waziri mkuu nchini humo Raila Odinga amekuwa akitoa wito wa kura ya maoni kuhusu katika ili kuongeza nafasi za uongozi na kuwa na serikali yeney uwakilishi zaidi. Ni mjadala wa kitaifa ambao umeibua maoni mseto miongoni mwa viongozi na wanasiasa. Wanaounga mkono kura ya maoni ya kubadilisha katiba ya mwaka 2010, wanasema watafanya hivyo kwa masharti kwamba itapunguza gharama ya oparesheni...

Like
1345
0
Monday, 08 October 2018