Utafiti: Wasiwasi kutokana na kushuka kwa mbegu za kiume Ulaya na Marekani

Utafiti: Wasiwasi kutokana na kushuka kwa mbegu za kiume Ulaya na Marekani

1
900
0
Monday, 08 October 2018
Global News

 

Wataalamu wametahadharisha kwamba ubora wa mbegu za kiume miongoni mwa wanadamu umekuwa ushuka pakubwa, na kuathiri uzazi.

Hili linasababishwa sana na kula vyakula vya kisasa vyenye mafuta mengi na wanga pamoja na kutofanya mazoezi ya kutosha.

Athari zimejitokeza kwenye kiasi cha mbegu za uzazi anazotoa mwanamume na pia ubora wa mbegu zinazotolewa na uwezo wake kuogelea katika majimaji ya ukeni.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *