Global News

Ulimwengu waadhimisha siku ya chakula duniani 16.10.2018
Global News

Kwa mujibu wa kalenda ya Umoja wa Mataifa leo ni siku ya chakula duniani. Mwaka huu siku hii inaadhimishwa chini ya kauli mbiu  “Vitendo vyetu ndiyo mustakabali wetu ,twaweza kuitokomeza njaa ifikapo mwaka 2030”.   Wawakilishi wa shirika la chakula duniani FAO, pamoja na mabalozi wa kujitolea wanaoshughulikia masuala ya lishe mfalme Letsie wa tatu wa Lesotho na malkia Letizia wa Uhispania wamejiunga na wawakilishi wa Umoja wa Mataifa pamoja na wahusika wengine muhimu katika jitihada za kufikia lengo la...

Like
1668
0
Tuesday, 16 October 2018
Pompeo awasili Riyadh kwa mazungumzo kumhusu Khashoggi
Global News

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo amewasili mjini Riyadh huku kukiwa na ripoti katika vyombo vya habari Marekani zinazosema kwamba Saudi Arabia inajiandaa kusema Jamal Khashoggi aliuwawa wakati wa mahojiano. Rais wa Marekani Donald Trump alimuamuru Pompeo asafiri kuelekea Saudi Arabia Jumatatu baada ya kuzungumza na Mflame Salman kwa njia ya simu. Rais Trump amesema wauwaji ndio waliohusika katika kupotea kwa Khashoggi na akasema mfalme huyo amekanusha kabisa kuhusika kwa namna yoyote. Uturuki ambako Khashoggi alipotelea tarehe...

Like
419
0
Tuesday, 16 October 2018
Siku ya kimataifa ya Wanawake wa Vijijini
Global News

Kauli mbiu ya siku hii inasema “Miundombinu endelevu, huduma na ulinzi wa jamii kwa usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake na wasichana wa vijijini.   Dunia inaadhimisha siku ya wanawake na wasichana wa vijijini. Kauli mbiu ya siku hii inasema “Miundombinu endelevu, huduma na ulinzi wa jamii kwa usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake na wasichana wa vijijini. Katibu mkuu wa umoja wa Mataifa Anthonio Guterres kwenye ujumbe wake amesema uwezeshaji kwa wanawake una umuhimu mkubwa katika ujenzi...

Like
1341
0
Tuesday, 16 October 2018
Elimu: Kasoro zagunduliwa kwenye vitabu vya shule Kenya, wa kulaumiwa nani?
Global News

Utaratibu wa mitaala mipya ya elimu barani Afrika hata duniani kote ni jambo la lazima kuwepo kutokana na mabadiliko ya yanajitokeza kila siku. Wataalamu wa elimu wanasema kwamba umuhimu mkubwa wa kuithinisha kwa mitaala mipya kwa sababu tekinolojia imebadilika sana, uwezo wa watoto pia umebadilika na hata utendaji wa kazi au ajira zimebadilika hivyo hata elimu yetu inapaswa...

Like
569
0
Tuesday, 16 October 2018
Mambo 10 kuhusu eneo la maporomoko Bududa Uganda
Global News

Serikali ya Uganda imewataka watu wa wilaya ya Bududa mashariki mwa Uganda wahame kutoka kijiji cha Bukalasi na vijiji vyengine vilivyoko kwenye wilaya ya Bududa kutokana na maporomoko ya mawe. Mvua kubwa ilionyesha siku ya Alhamisi iliopita ilisababisha uharibifu wa majumba mengi na kusababisha vifo vya watu takriban 50 huku miili ikiendelea kupatikana. Kuna hofu ya kutokea maradhi ya kuambukiza kutokana na maiti zinazo patikana katika Mto Sume na mto Manafwa baada ya mvua hiyo...

Like
640
0
Tuesday, 16 October 2018
Ni nchi ngapi bado zinatekeleza adhabu za kifo?
Global News

Inadaiwa kuwa inawezekana mataifa 170 wameachana na adhabu hiyo ya kifo au wameanzisha mbadala wa adhabu hiyo. kwa mujibu wa Amnesty International mwaka 2017, nchi 142 wameacha kutoa hukumu ya kifo kisheria na kiutekelezaji Makubaliano ya kusitisha sera au utekelezaji Ripoti ya katibu mkuu wa Umoja wa mataifa kuhusu hukumu ya kifo imewasilishwa katika tume ya haki za binadamu mwezi septemba mwaka huu na kusema kuwa kuna mataifa 170 wameachana na adhabu hiyo ya kifo kisheria na utekelezaji au hajauliwa...

Like
536
0
Monday, 15 October 2018
MAGUFULI,KENYATTA NA MUSEVENI MAJONZI SIKU 25
Global News

Siku 25 za majonzi kwa Magufuli, Kenyata, Museveni. Katika kipindi cha kuanzia septemba 20 hadi oktoba 14 mwaka huu zimekuwa siku za majonzi na chungu kwa baadhi ya Marais wanaounda Jumuiya ya Afrika Mashariki akiwemo Rais wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Rais wa Kenya Uhuru Kenyata, pamoja na Rais wa Uganda Yoweri Museveni. Katika kipindi hicho cha wiki 3, tumeshuhudia majonzi yakianzia kwa Rais wa Tanzania Dkt John Magufuli ambapo kulitokea ajali ya kivuko cha Mv Nyerere iliyozama katika...

Like
653
0
Monday, 15 October 2018
Kanye West ,Kim Kardashian ndani ya ikulu ya uganda
Global News

Mapema leo hii rapa Kanye West na Mkewe Kim Kardashian walipomtembelea Ikulu ya Uganda katika jiji la Entebbe ambapo walikutana na Rais Yoweri Museveni na kufanya mazungumzo ya masuala kadhaa kuhusiana na sanaa pamoja na...

Like
1040
0
Monday, 15 October 2018
Bobi wine akataa kuitwa mwanasiasa
Global News

Mbunge Bobi Wine amesema kuwa hataki na hapendi kuitwa Mwanasiasa kwa sababu neno ‘Mwanasiasa’ katika bara la afrika huhusishwa na mambo mabaya....

Like
561
0
Monday, 15 October 2018
Aliyejioa Uganda atimiza nusu ya malengo
Global News

Lulu Jemimah: Apata nusu ya ada Oxford baada ya kujioa Uganda Lengo la Lulu Jemimah, 32, ni kuionesha jamii yake kuwa inawezekana kufikia malengo kimaisha bila ya msaada wa mume. Hata baada ya kujioa mwezi Agosti mwaka huu jijini Kampala Uganda, Bi Jemimah alikuwa anachangamoto moja ya kutafuta ada ya kumalizia masomo ya uzamili. Mwanamke huyo anasoma chuo maarufu cha Oxford, kilichopo Uingereza. Kumalizia mwaka wa pili wa masomo yake, anahitaji pauni...

Like
616
0
Monday, 15 October 2018
Watu zaidi ya 50 wamepoteza maisha kutokana na maporomoko ya ardhi na mamia kutojulikana walipo
Global News

Waziri Mkuu wa Uganda, Ruhakana Rugunda amefika katika eneo la Naposho, sehemu ambayo watu na makazi yaliangamia kutokana na maporomoko ya ardhi na kuhaidi kuwa serikali itawapatia fedha familia zilizopoteza watu wao na kutoa misaada ya vyakula kwa watu wote wa wilaya ya Bududa....

Like
405
0
Sunday, 14 October 2018