Sports

MAPATO NA MATUMIZI TFF HADHARANI
Sports

  Rais wa shirikisho la miguu tanzania(TFF), WALLACE KARIA ameongea na waandishi wa habari za michezo, Leo hii jiji dar es salaam na kuwaeleza mambo yanayo endelea kwenye shirikisho hilo MAPATO Katika kipindi cha miezi Saba(7),Shirikisho limefanikiwa kukusanya kiasi cha Tzs 3,670,397,199.00 kutoka katika vyanzo vyake mbalimbali  ambavyo ni pamoja na mapato kutoka kwa wadhamini Tzs 2,295,472,151sawa na 62.5% ya mapato yote, makusanyo ya viingilio uwanjani Tzs 378,139,866 sawa na 10.3%. 27.2% ilitokana na Fedha kutoka CAF na FIFA....

Like
608
0
Monday, 19 March 2018
JUAN MARTIN  DEL POTRO ATHIBITISHA UFALME WAKE INDIA
Sports

JUAN POTRO ameshinda mashindano INDIAN WELLS MASTERS 2018 hayo dhidi mpizani wake Roger Federer. Margentiana huyo ameshinda mara 17 mfulizo bila kupoteza. Juan martin ni mchezaji wa wakimataifa wa argentina, Pia anashikilia nafasi ya sita (6) kwa ubora kwenye ranki ya dunia kwa wanamichezo wa tenesi wa kiume. Mafanikio makubwa ya kwanza kupata ni mwaka 2009 kwenye mashindano ya US open, akimtoa Mhispania Rael Nadal kwenye mchezo wa nusu fainali....

Like
429
0
Monday, 19 March 2018
Chelsea yaifuata Manchester United Nusu fainali -FA CUP
Sports

Michuano ya FA Cup kuelekea hatua ya nusu fainali imepigwa hapo jana kwa michezo miwili ,Wigan Athletic waliondoshwa na Southampton katika michuano hiyo kwa kichapo cha bao 2-0 , huku Chelsea wakichomoza na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Leceister city kwa magoli ya Alvaro Morata na Pedro Eliezer Rodríguez akifunga katika muda wa nyongeza baada ya dakika 90 za mchezo kumalizika Kwa matokeo hayo Southampton na Chelsea zinaungana na Manchester United na Tottenham katika hatua ya nusu fainali,ambapo Chelsea...

Like
543
0
Monday, 19 March 2018
WENGER AWATULIZA MASHABIKI WA ARSENAL, AIBABUA AC MILLAN 3-1
Sports

Baada ya Arsenal jana kuitandika AC Millan, kwa mabao 3-, uwenda mashabiki wa Arsenal wanaweza kutuliza mzuka wa kumlazimisha Mzee wenga kung’atuka kwenye timu ya Arsenal. Mabao ya Arsenal yalifungwa na Danny Welbeck ambaye alifunga magoli mawili na goli la tatu lilifungwa na Danny Welbeck huku goli la AC Millan lilifungwa na Hakan Calhanoglu Kwa matokeo hayo inaifanya Arsenal ivuke kwenye hatua nyingine kwa jumla ya magoli 5-1  Ukijumuisha na yale magoli mawili waliyoyapata ugenini. Licha ya Arsenal kutulizwa hasira...

Like
412
0
Friday, 16 March 2018
CONTE ANG’AKA CHELSEA KUPIGWA 3-0 NA BARCELONA
Sports

Meneja wa Chelsea Antonio Conte amesema alihisi kwamba kichapo cha 3-0 ambacho klabu yake ilipokezwa katika Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya Jumatano “hakikuwa cha haki”. Lionel Messi alifunga mabao mawili naye Ousmane Dembele akafunga moja – bao lake la kwanza akichezea Barca – na kuwasaidia miamba hao wa Uhispania kuondoka na ushindi wa jumla wa 4-1. Mechi ya kwanza uwanjani Old Trafford ilikuwa imemalizika 1-1. Matokeo hayo yaliwaondoa Chelsea kutoka kwa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya msimu huu na msimu...

Like
393
0
Thursday, 15 March 2018
BALCELONA YAIDHIBU  CHELSEA NA KUITOA NJEE YA MASHINDANO YA UEFA CHAMPIONI LIGI
Slider

  Baada ya Manchester United Jana kutupwa nje na Sevilla kutoka Hispain kwa kufungwa mabao 2-1, jana usiku ilikuwa ni zamu ya Chelsea Kutupwa Nje ya Mshindano ya Kombe la UEFA Championi Ligi na kufungwa Na Barcelona Mabao 3-0, magoli ya Barcelona yaliwekwa kimyani na Messi ambaye alifunga mabao 2, goli la kwanza alifunga dakika ya 2 na goli lake la pili alifunga kwenye dakika ya 63, na goli la tatu lilifungwa na Ousmane Dembele dakika ya 20. Kwa matokeo...

Like
680
0
Thursday, 15 March 2018
MANCHESTER UNITED YAPINGWA NYUMBANI NA KUTUPWA NJEE YA MASHINDANO YA UEFA CHAMPION LIGI
Sports

Manchester United imetupwa njee ya Mashindano UEFA Champions League baada ya kukubali kulala kwa jumla ya mabao 2-1 ikiwa Uwanja wake wa nyumbani, Old Trafford, dhidi ya Sevilla kutoka Spain. Mabao ya Sevilla yamefungwa na Ben Yedder katika ya 74 na 78 kipindi cha pili, huku bao la United likifungwa na Lukaku kwenye dakika ya 84. Katika mchezo wa kwanza uliopigwa Spain, timu hizo zilenda sare ya 0-0. Matokeo hayo sasa yanaiondosha rasmi Manchester United kwenye michuano hii na inakuwa...

Like
542
0
Wednesday, 14 March 2018
HATUA YA ROBO FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO “AZAM SPORTS ”KUANZA IJUMAA IJAYO
Sports

Hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho ‘Azam Sports Federation Cup’ inatarajia kuendelea Ijumaa ya Machi 30 2018 kwa mchezo mmoja kupigwa. Stand United itakuwa nyumbani kupambana na Njombe Mji katika Uwanja wake wa nyumbani, CCM Kambarage, mchezo utakaoanza saa 10 kamili jioni. Baada ya mchezo huo siku ya Ijumaa, michezo hiyo itaendelea tena Jumamosi ya Machi 31 2018 kwa mechi mbili, Tanzania Prisons itacheza na JKT Tanzania kwenye Uwanja wa Sokoine Mbeya majira ya saa 8 mchana. Na...

Like
436
0
Tuesday, 13 March 2018
TSHITSHIMBI AIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI FEBRUARI
Sports

Tshitshimbi ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Februari na kuwashinda Emanuel Okwi wa Simba na Buswita. Ametwwa Tuzo hiyo baada ya kutupia mabao matatu na kukisaidia kikosi chake cha Yanga kuibuka na alama 12. Katika kinyang’anyiro hicho Tshitshimbi ameshindana na Pius Buswita wa Yanga SC na Emmanuel Okwi wa Simba SC. Kawaida mshindi wa tuzo hiyo huzawadiwa kitita cha milioni moja pamoja na king’amuzi cha Azam...

Like
441
0
Tuesday, 13 March 2018
PHILIPPE COUNTINHO AUSHAWISHI UONGOZI WA BARCELONA KUMRUDISHA NEYMAR
Sports

Mchezaji wa zamani wa Liverpool, Philippe Coutinho anasema kuwa angependelea mshambuliaji wa Brazil mwenye umri wa miaka 26 Neymar kurudi Barcelona. Neymar alijiunga na PSG kutokea Barca kwa dau lililovunja rekodi la £198m mwisho wa msimu uliopita na kupelekea Barcelona kumsajili Coutinho, amabapo kwa sasa ameweza kufiti katika timu hiyo ya Nou Camp....

Like
490
0
Tuesday, 13 March 2018
BARCELONA YARIPOTIWA KUFIKIA MAKUBALIANO NA JAVIER MASCHERANO
Slider

Klabu ya Fc Barcelona imerepotiwa kufikia makubaliano na mlinzi wake ‪Javier Mascherano‬ juu ya kuongeza mkataba wa kuendelea kusalia klabuni hapo kwa miaka mitatu zaidi kutoka kwenye mkataba wake wa awali. Taarifa hizi huenda zikazima ndoto ya mambingwa wa Serie A ‪ Juventus‬ ambayo ilikuwa ikimnyatia baada ya kumsajili ‪Dani Alves‬ kutoka klabu ya...

Like
345
0
Wednesday, 27 July 2016