Sports

ENGLAND: ROY HODGSON AFANYA MAZUNGUMZO KUMREJESHA JOHN TERRY
Slider

Kocha wa England, Roy Hodgson akiri kuanza kufanya mazungumzo na John Terry ili arejee kwenye kikosi kuongeza nguvu. hatua ya kocha huyu kutaka kumrejesha Terry imekuja baada ya kugundua pengo kwenye safu ya ulinzi kwnye kikosi chake kwenye michuano ya Euro 2016. Terry, 35, ambae amestaafu soka la kimataifa September 2012 anatajwa kuwa tumaini la kocha Roy...

Like
274
0
Thursday, 31 March 2016
TENISI: DJOKOVIC ATAKA WANAUME WALIPWE ZAIDI
Slider

Mchezaji nambari moja duniani katika mchezo wa tenisi Novak Djokovic amekosoa kutolewa kwa kiasi cha fedha sawa miongoni mwa wanaume na wanawake katika mchezo huo,akisema wanaume wanafaa kulipwa zaidi kwa kuwa wana mashabiki wengi. Baada ya kushinda taji la BNP Paribas huko India Wells,alitetea kiwango cha mashabiki kuangazia kiwango cha fedha kinachotolewa kwa wanamichezo wa jinsia zote mbili. Awali,mkurugenzi mkuu wa mashindano ya Indian Wells Ray Moore alisema kuwa michuano ya WTA inafanikishwa kutokana na kiwango cha mashabiki...

Like
297
0
Monday, 21 March 2016
HATIMAYE ROBO FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA HADHARANI
Slider

Kwa mara ya kwanza Manchester City yafuzu katika hatua hiyo ikikutana na vigogo kutoka nchini Ufaransa Paris St-Germain, Vita nyingine kali ni kati ya mabingwa wa Hispania Fc Barcelona dhidi ya majirani zao Atletico Madrid, huku Bayern Munich na Real Madrid wakipata mchekea. Wolfsburg (Germany) v Real Madrid (Spain) Bayern Munich (Germany) v Benfica (Portugal) Barcelona (Spain) v Atletico Madrid (Spain) Paris St-Germain (France) v Manchester City (England) Michezo hiyo inapigwa Tarehe 5 – 6 April na Marudiano ni Tarehe...

Like
346
0
Friday, 18 March 2016
UEFA: MAN CITY YATINGA ROBO FAINALI
Slider

Manchester City wamefika robofainali Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya kwa mara ya kwanza licha ya kutoka sare na Dynamo Kiev mechi ya marudiano. City, waliokuwa mbele 3-1 kutokana na ushindi wa mechi ya kwanza, walidhibiti mechi ingawa waliwapoteza mabeki Vincent Kompany na Nicolas Otamendi kutokana na majeraha mapema. Kipindi cha kwanza hakuna aliyetishia mwenzake lakini kipindi cha pili Jesus Navas aligonga mlingoti kwa kombora la chini naye Yaya Toure akatoa kombora ambalo lilitua mikononi mwa kipa. Manuel Pellegrini, atakayeondoka mwisho...

Like
265
0
Wednesday, 16 March 2016
MASHABIKI WA MESSI NA RONALDO WAUWANA
Slider

  Polisi nchini India wamemfungulia mashtaka ya mauaji mtu mmoja aliyemdunga chupa rafiki yake huku chanzo cha ugomvi kikiwa ni mabishano kuhusu nani kati ya Lionel Messi na Cristiano Ronaldo ndiye mchezaji bora duniani. Michael Chukwuma, 21 ambae ni raia wa Nigeria alimdunga kisu mwezake vilevile mnigeria ambaye walikuwa wakibishana naye. Tukio hilo limetokea katika kitongoji cha Nallasopara Kwa mujibu wa shirika la habari la AFP limeeleza kuwa Michael Chukwuma ameshtakiwa kwa kuua katika mji wa Mumbai ambapo Chukwuma na...

Like
379
0
Monday, 07 March 2016
EPL: LIVERPOOL YAPETA MAN U YAKUBALI KICHAPO
Slider

Ligi kuu ya England iliendelea tena mwisho wa wiki kwa michezo miwili kuchezwa. Majogoo wa Anfield Liverpool wakicheza ugeni kwenye dimba la Selhurst Park waliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Crystal Palace. Crystal Palace ndio walianza kuandika bao la kwanza kwa bao la Joe Ledley kisha Liverpool wakachomoa bao hilo kupitia kwa mshambuliaji wake Roberto Frimino, katika dakika za lala salama Christian Benteke akawapa ushindi kwa bao la mkwaju wa penati. Nao Mashetani Wekundu wa Man United wakachapwa...

Like
338
0
Monday, 07 March 2016
VPL KUTIMUA VUMBI WEEKEND
Slider

Ligi kuu ya Tanzania itaendelea tena mwisho wa wiki hii kwa nyasi za viwanja mbalimbali kuwaka moto. Hapo kesho katika dimba la taifa Jijini Dar es Salaam kutachezwa mchezo wa wababe wawili wa soka Azam Fc watakaowakabili vinara wa ligi hiyo Yanga. Huku African Sport wakiwa nyumbani katika uwanja wa mkwakwani kukipiga na Majimaji. Toto Africans,watakua katika uwanja wa Kirumba, kupepetana na Ndanda FC. Kagera Sugar wao watakuwa na kibarua kizito dhidi ya Mgambo JKT. Kikosi cha JKT Ruvu kitawaalika...

Like
271
0
Friday, 04 March 2016
TWIGA STARS KUSHUKA DIMBANI LEO KUKIPIGA NA MIGHTY WARRIORS
Slider

Leo wanawake wa shoka ‘Twiga Stars’, wanashuka katika dimba la Azam Complex Chamazi kukipiga na timu ya Taifa ya Wanawake kutoka Zimbabwe (Mighty Warriors) katika mchezo wa kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa ya Afrika Twiga Stars inayonolewa na kocha mzawa Nasra Juma imejipanga vilivyo kuwakabili wazimbabwe katika mechi hiyo kwa mujibu wa kocha huyo. Watanzania wameombwa kujitokeza kwa wingi kutoa sapoti na hamasa kwa kikosi hiko katika mchezo wake Tunawatakia kila heri katika kuleta ushindi...

Like
288
0
Friday, 04 March 2016
CRISTIANO RONALDO NDIO MWANAMICHEZO MWENYE WAFUASI WENGI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII
Slider

Cristiano Ronaldo aweka rekodi ya kuwa mwanamichezo wa kwanza kuwa na followers wengi kwenye mitandao ya kijamii. Nyota huyu wa Real Madrid ana jumla ya watu Milioni 200 wanaoperuzi kwenye kurasa zake. Hii ndio number ya followers kwenye akaunti za mitandao ya Facebook, Twitter na Instagram Twitter 40.7M, Instagram 49.6M wakati Facebook ni 109.7M Hii ni kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa na tovuti ya...

Like
291
0
Wednesday, 24 February 2016
BARCELONA YAIFUNZA ADABU ARSENAL
Slider

Klabu ya soka ya Barcelona imefanikiwa kuchomoza na ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Arsenal katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya klabu bingwa barani ulaya (UEFA) mchezo uliopigwa uwanja wa Emirates. Mabao ya Barcelona katika mchezo huo yamefungwa na mchezaji Lionel Messi dakika ya 71 na Dakika ya 83 likiwa ni bao la pili lililofungwa kwa njia ya penati...

Like
320
0
Wednesday, 24 February 2016
RONALDO AONYESHA NIA YA KUBAKI REAL MADRID
Slider

Nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo amesema hataki kuondoka klabuni hapo kabla ya mkataba wake kumalizika mwaka 2018. Mreno huyo mwenye miaka 31 amekua akihusishwa na kurudi kujiunga na timu yake ya zamani ya Manchester United, ambayo ilimuuza mwaka 2008 au Paris St-Germain, ya Ufaransa. “Nataka kubakia hapa kwa miaka miwili zaidi, miaka miwili ninayozungumzia itanichukua mpaka mwisho wa maktaba wangu, “alinukuliwa mchezaji huyo. Ronaldo alizungumza hayo wakati ya ghafla ya uchukuaji tuzo ya Pichichi, amabpo alishinda tuzo hiyo...

Like
220
0
Tuesday, 09 February 2016