Sports

ROONEY AVUNJA REKODI YA MAGOLI ENGLAND
Slider

Wayne Rooney ameivunja rekodi ya upachikaji mabao ya muda wote katika timu ya taifa ya England, iliyokuwa ikishikiliwa na Sir Bobby Charlton katika mchezo dhidi ya Switzerland,uliopigwa uwanjani Wembley wa kufuzu kwa michuano ya ulaya mwaka 2016. Nahodha huyo wa England aliifikia rekodi ya Charlton ya magoli 49,wakati alipofunga dhidi ya San Marino siku ya Jumamosi. Alikua pia katika mchezo dhidi ya Switzerland siku ya Jumanne ambapo alifikisha goli la 50 na kufuta historia hiyo iliyodumu kwa miaka...

Like
164
0
Wednesday, 09 September 2015
US OPEN: ANDY MURRAY ATOLEWA
Slider

Mcheza Tenisi Andy Murray ameyaaga mashindano ya US Open baada ya kuchapwa na Kevin Anderson wa Afrika ya kusini. Mwingereza huyo ameondolewa katika michezo hiyo baada ya kubugizwa seti 7-6 (7-5) 6-3 6-7 (2-7) 7-6 (7-0). Katika upande wa wanawake mwingereza mwingine Johanna Konta akapokea kichapo cha 7-5 6-3 kutoka kwa Petra Kvitova wa Czech. Sasa Kelvin Anderson anatakutana na Wawrinka ambaye amempiga mmarekani Donald Young. Ukiacha mchuano huo, nadhani pambano linalosubiriwa na wengi sasa ni linalowakutanisha mabinti wa Mzee...

Like
133
0
Tuesday, 08 September 2015
WASIKILIZAJI WA EFM WALIOJISHINDIA JEZI ZA TAIFA STARS
Slider

Picha kutoka kulia ni bwana Wilfred Makalanga kutoka Yombo alieshinda kwenye kipindi cha E sports Picha kutoka kulia ni bwana Hamisi Ndunda mkazi wa Kiwalani alijipatia jezi yake kutoka kwenye kipindi cha Mezani kinaruka kila jumamosi kuanzia saa mbili...

Like
500
0
Monday, 07 September 2015
WATANZANIA WAMEAMUA KUWEKA SILAHA CHINI NA KUIUNGA MKONO TAIFA STARS
Slider

Kikosi imara kabisa cha timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars siku ya jumamosi kilishuka dimbani katika uwanja wa taifa wa Daresalaam kukipiga na timu ya taifa ya Nigeria maarufu kama Super Eagle Mchezo huo ulimalizika kwa sare ya bila kufungana huku stars ikionyesha kiwango cha juu kabisa cha uchezaji MATUKIO KATIKA PICHA Mashabiki wa Stars Supporters wakisherehekea timu yetu kuipa...

Like
263
0
Monday, 07 September 2015
MUZIKI MNENE BAR KWA BAR MKURANGA
Entertanment

Muziki mnene Mkuranga sherehe zilianza na ufunguzi wa mechi ya mpira wa miguu kati kikosi bora kabisa cha E-fm na Mkuranga Veteran ambapo mchezo huo ulimalizika kwa E-fm kuichabanga Mkuranga Veteran bao moja kwa sifuri, huku goli hilo la efm likiwekwa nyavuni na Rdj X five baada ya kupata pasi nzuri kabisa kutoka kwa John Makundi. Baadae moto wa burudani uliwaka pale High Way bar kwa kuwakutanisha wafanyakazi wa efm na mashabiki wake pamoja na wadau wa redio yetu Mkuranga...

Like
674
0
Monday, 07 September 2015
IOC KUFADHILI MICHEZO KWA WAKIMBIZI
Slider

Shirikisho la michezo ya Olimpiki, IOC, leo limetangaza hazina ya dola millioni mbili, ambazo zitatolewa kwa Kamati ya Kitaifa ya olimpiki ya nchi wanachama kufadhili miradi itakayowasaidia wakimbizi katika mataifa yao. Rais wa IOC, Thomas Bach, amesema kuwa kama shirikisho la michezo ya olimpiki, imehuzunishwa na habari zainazowahusu wakimbizi, katika siku za hivi karibuni. Amesema IOC imekuwa ikifuatilia matukio yanayojiri katika eneo la Mashariki ya Kati, Afrika na Ulaya na wao wanataka kutumia michezo kuwaleta wanainchi pamoja, hasa...

Like
219
0
Saturday, 05 September 2015
JONJO SHELVEY AITWA KIKOSINI UINGEREZA
Slider

Jonjo Shelvey ana kila sababu ya kuikumbuka siku ya Jumapili, kwani baada ya kusaidia Swansea City kulaza Manchester United 2-1 Ligi ya Premia, alitajwa kwenye kikosi cha Uingereza kitakachocheza mechi za kufuzu kwa Euro 2016 dhidi ya San Marino na Uswizi. Kiungo huyo wa kati alichezea taifa mechi yake ya pekee dhidi ya San Marino miaka miwili iliyopita. Beki wa kushoto wa Manchester United Luke Shaw, aliyechezea taifa mara ya mwisho ushindi wa 3-1 dhidi ya Scotland Novemba 2014, pia...

Like
208
0
Tuesday, 01 September 2015
MICHUANO YA AFRIKA CONGO BRAZAVILE ,TANZANIA NI NDOTO KUPATA MEDALI KWENYE MASUMBWI
Slider

Na Omary Katanga Michuano ya afrika maarufu kama All African Games,inafunguliwa rasmi septemba 4 mwaka huu katika uwanja wa New Kintele nchini Congo Brazavile ,kwa mataifa yote 54 ya afrika kushiriki katika mashindano hayo. Tanzania ni miongoni mwa mataifa hayo ambayo itapeleka timu za michezo mbalimbali ikiwemo mpira wa miguu,Riadha,Judo,Masumbwi na mingine mingi,lakini kwa hali jinsi ilivyo hakuna uhakika hata kidogo wa kuambulia medali ya aina yeyote kutokana na idadi ndogo ya wachezaji waliopangwa kushiriki mashindano hayo mwaka huu. Hebu...

Like
227
0
Monday, 31 August 2015
SHIRIKISHO LA RIADHA KENYA YALAUMIWA
Slider

Wakili aliyeongoza jopo lililochunguza sakata ya utumizi wa dawa zilizoharamishwa michezo nchini Kenya, Moni Wekesa, amesema kuwa shirikisho la mchezo wa riadha nchini Kenya, AK limeshindwa kukabiliana na janga hilo. Wekesa amesema kwamba tukio la kukamatwa na hatimaye kupigwa marufuku kwa wanariadha wawili wa Kenya mjini Beijing ni tukio la aibu na linaiharibia Kenya sifa. Hata hivyo amesema tangu matokeo ya jopo lake kutolewa, Kenya imepiga hatua kukabiliana na janga hilo ila wakuu wa michezo nchini humo wamezembea. Ameitaka serikali...

Like
185
0
Friday, 28 August 2015
STARS YAFA KIUME UTURUKI
Slider

Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania taifa stars charles boniface mkwasa amesifia kuimarika kwa safu ya ushambuliaji ya timu hiyo baada ya kuonesha makali katika mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya libya. Mkwasa amesema kuwa kuna matumaini makubwa ya kupata matokeo mazuri katika mchezo wa kuwania AFCON 2017 dhidi ya Nigeria baada ya washambuliaji hao kufanya vyema katika mchezo huo wa kirafiki pamoja na kupoteza kwa goli mbili kwa moja. Aidha mkwasa amewatoa hofu watanzania kuelekea...

Like
170
0
Friday, 28 August 2015
HATMA YA PISTORIUS KUFAHAMIKA MWEZI UJAO
Slider

Kamati itakayoamua ikiwa mwanariadha wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius, anapaswa kuachiliwa kutoka gerezani, inatarajiwa kukutana tarehe 18 mwezi ujao. Waziri wa haki nchini humo, alizuia mwanariadha huyo kuachiliwa siku ya Ijumaa wiki iliyopita kama ilivyokuwa imetarajiwa. Waziri huyo amesema kuwa uamuzi wa kamati hiyo ya kutoa msamaha wa kumuachilia mwanariadha huyo, baada ya kutumikia kifungo cha miezi kumi ya kifungo chake cha miaka mitano ulitolewa mapema na haina msingi wowote. Mahakama nchini humo ilimpata Pistorius na hatia ya kuua...

Like
175
0
Thursday, 27 August 2015