Sports

Loris Karius: Kipa wa Liverpool atishiwa maisha baada ya makosa dhidi ya Real Madrid fainali ya ubingwa Ulaya
Sports

Polisi wa eneo la Merseyside, Uingereza wamesema wanafahamu kuhusu vitisho vya maisha ambavyo vimetolewa dhidi ya mlinda lango wa Liverpool Loris Karius baada ya kuchezwa kwa fainali ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya Jumamosi. Maafisa wamesema vitisho vyovyote vinavyotolewa kupitia mitandao ya kijamii vinafaa kuchunguzwa. Karius, 24, na familia yake wamekuwa wakipokea vitisho baada ya makosa mawili kutoka kwake kuwasaidia Real Madrid kupata ushindi wa 3-1. “Tunachukulia ujumbe huu wa vitisho kwenye mitandao ya kijamii kwa uzito sana. Visa...

Like
582
0
Monday, 28 May 2018
ARSENAL WAPATA UDHAMINI RWANDA
Sports

RWANDA imeingia mkataba wa miaka mitatu na Arsenal ambapo kwenye mabega ya jezi zao kutakuwa na ujumbe wa ‘Visit Rwanda’. Ujumbe huo ambao unamaanisha tembelea Rwanda, utakuwa kwenye jezi za kikosi cha kwanza pamoja na timu ya vijana na ile ya wanawake ya klabu hiyo. Vinal Venkatesham, ambaye ni Ofisa Mkuu wa Biashara wa Arsenal amesema kwamba ; “Huu ni ubia mzuri ambao utasapoti Rwanda kutangaza utalii wake.” Mkataba huo pia utahusisha kikosi cha Arsenal kutembelea Rwanda na kuweka kambi...

Like
519
0
Wednesday, 23 May 2018
“DEAL DONE”  MZEE WENGER AMKABIDHI RASMI MIKOBA UNAI EMERY
Sports

Unai Emery ametangazwa kuwa meneja mpya wa Arsenal na afisa mkuu mtendaji wa klabu hiyo Ivan Gazidis. Bw Gazidis amesema Emery amepewa fursa ya kipekee ya kuongoza “sura mpya” yaklabu hiyo ya England. Emery, 46, amejiunga na Gunners baada ya kuondoka PSG ambapo aliwaongoza kushinda ligi kuu ya Ufaransa, Ligue 1. Mhispania huyo pia alishinda vikombe vya ligi mara nne akiwa na miamba hao wa Ufaransa. Awali alikuwa meneja wa Sevilla ambapo aliwasaidia kushinda Europa League mara tatu mtawalia. Atamrithi...

Like
521
0
Wednesday, 23 May 2018
Unai Emery Kumrithi  Mzee Wenger , Arsenal
Sports

Mtandao rasmi wa Unai Emery umeweka picha iliyo na ujumbe: “Nasikia fahari kuwa katika familia ya Arsenal.” Meneja huyo wa zamani wa Paris St-Germain manager anatarajiwa kuzinduliwa rasmi kama mrithi wa Arsene Wenger wiki hii. Klabu hiyo ya London bado haijathibitisha kuwa Emery ndiye kocha mpya. Lakini picha ya Emery iliyoambatana na ujumbe huo na nembo ya Arsenal iliwekwa kabla ya muda mfupi badaye kuondolewa. Haijulikani kama picha hiyo iliwekwa kimakosa au ni kazi ya wadukuzi. Mtandao huo www.unai-emery.com –...

Like
589
0
Wednesday, 23 May 2018
Andres Iniesta Atandika Daluga Barcelona
Sports

Andres Iniesta amekamilisha huduma yake ya kuichezea Barcelona katika mechi ambayo Barcelona imewaadhibu Real Sociedad wakati wa mechi za mwisho za La Liga. Iniesta ameagwa kishujaa kwani mashabiki waliunda maandishi ya kumuaga, uwanja ukawashwa taa maalumu kwa ajili yake na akajitokeza machozi yakimtoka akasema, nilifika hapa nikiwa mtoto sasa ninaondoka nikiwa mwanaume, nitawaweka katika moyo wangu milele. Sherehe za kumuaga zimefana na kuwaacha hata wachezaji wenzake akiwemo Messi wakibubujikwa na machozi huku mashabiki wakiwasha taa za...

1
576
0
Monday, 21 May 2018
Habari Picha Efm Jogging Final Shika Ndinga 2018
Shika Ndinga
Efm  FC Yaendeleza  ubabe kwa Bongo Fleva FC, Yaitandika bao 1-0
Shika Ndinga

Efm imeendeleza ubabe kwa Bongofleva kwa kuwatandika bao 1-0, mchezo huo uliopigwa kwenye viwanja vya Tanganyika Peckers ambapo kulikuwa na final ya Shika ndinga 2018....

Like
1021
0
Sunday, 20 May 2018
Uwanja wa Taifa DSM, Umechafuka kwa Rangi Nyekundu,Simba Wafurika
Sports

MAMBO ni fire katika Uwanja wa Taifa ambapo tayari mashabiki, wapenzi wa soka wameshaanza kuingia uwanjani kushuhudia mtanange kati ya Timu ya Simba na Kagera Sugar huku wafanyabiashara wadogo wadogo nao wanaendelea kuuza jezi za Simba nje ya uwanja huo kama kawaida. Askari wa kutuliza ghasia wamejaa wakilinda amani eneo la nje na ndani ya uwanja ili kuhakikisha mambo yote yanakwenda kama yalivyopangwa katika zoezi la Kihistoria ambapo Simba watakabidhiwa Kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara (VPL) kwa...

Like
952
0
Saturday, 19 May 2018
LIPULI WACHOMOA KUWAAZIMA MCHEZAJI WAO ADAM SALAMBA YANGA
Sports
Hawa ndio Atletico Madrid, Wabeba Kombe la Europa League kwa kishindo, baada ya kuwafunga Marseille 3-0
Sports

Antoine Griezmann alifunga mabao mawili na kuwawezesha Atletico Madrid kuwachapa Marseille 3-0 mjini Lyon, Ufaransa na kushinda Kombe la Europa League mara yao ya tatu katika kipindi cha miaka tisa. Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa alianza kwa kufunga dakika ya 21 na kisha akafunga la pili dakika ya 49. Nahodha wao Gabi alifunga bao la tatu dakika ya 89 na kuwawezesha vijana hao wa Madrid kushinda kombe hilo ambalo pia walilitwaa miaka 2010 na 2012. Matokeo yangelikuwa tofauti iwapo...

Like
501
0
Thursday, 17 May 2018
YANGA YASHINDWA KUTAMBA NYUMBANI, YATOKA SARE NA RAYON SPORTS
Sports

Timu ya Yanga imeshinwa kuutumia vema uwanja wake wa nyumbani kwenye michuano ya Kombe la shirikisho barani Afrika,  baada ya kutoka sare tasa ya bila kufungana na Rayon Sports ya Rwanda Katika mchezo huo ambao ulipigwa kwenye dimba la Taifa, Yanga watajiraumu wenyewe baada ya kukosa nafasi nyingi za wazi. Kwa upande wa Rayon Sports wamepoteza nafasi mbili ambazo walifunga mabao mawili lakini yote yalikataliwa na muamuzi kutokana wachezaji waliofunga  walikuwa offside. Matokeo ya Mechi nyingine katika kundi hilo ni...

1
547
0
Wednesday, 16 May 2018