Slider

SERIKALI NA WAHISANI WATAKIWA KUWEKEZA NGUVU KWENYE MARADHI YASIYOAMBUKIZA
Local News

MUUNGANO wa Taasisi zinazoshughulikia   maradhi yasiyoambukiza Zanzibar –ZNCDA- umeishauri Serikali na Mashirika wahisani kuelekeza nguvu zao katika mapambano  dhidi ya  maradhi hayo  kwani yamekuwa tishio kwa maisha ya wananchi  kuliko maradhi mengine Zanzibar.   Mratibu wa –ZNCDA– Omar Abdalla Ali ametoa ushauri huo wakati wa zoezi la  kuwapima  afya wananchi wa shehia za Karakana, Chimbuni na Muembemakumbi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.   Omary amesema maradhi ya Shinikizo la damu, Kisukari na Saratani ...

Like
288
0
Monday, 27 July 2015
UNESCO YAAHIDI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA
Local News

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni –UNESCO- limeahidi kuendelea kushirikiana na serikali ya Tanzania kwa kuhakikisha kwamba taifa linakuwa na wananchi wenye uwezo mkubwa wa uvumbuzi kupitia elimu bora.   Kauli hiyo imetolewa na Ofisa wa Unesco nchini Al Amin Yusuph wakati akizungumza na washiriki wa kongamano maalumu wa kupitia waraka wa mafunzo ya Tehama kwa wakufunzi wa vyuo vya ualimu.   Kongamano hilo ni moja ya mradi wa CFIT unaoendeshwa na shirika hilo na serikali...

Like
345
0
Monday, 27 July 2015
OBAMA ATARAJIWA KUTUA KENYA LEO
Global News

RAIS Barack Obama wa Marekani yuko njiani kuelekea Kenya hii leo, ikiwa ni ziara yake ya kwanza akiwa rais kwenye taifa hilo la Afrika Mashariki, alikozaliwa baba yake mzazi. Obama, ambaye ni rais wa kwanza mweusi nchini Marekani, ni mtoto wa Barack Hussein Obama Mkubwa, Mkenya aliyekutana na mama yake Obama, wakati wawili hao wakisoma nchini Marekani. Anatazamiwa pia kukutana na baadhi ya jamaa zake wa ubabani akiwa Nairobi, ingawa hategemewi kutembelea kijiji cha Kogelo inakotokea familia...

Like
227
0
Friday, 24 July 2015
EU YATANGAZA AZMA KUIWEKEA VIKWAZO BURUNDI
Global News

HUKU raia nchini Burundi wakisubiri kutangazwa rasmi kwa matokeo ya uchaguzi wa rais na pia kufanyika uchaguzi wa baraza la Seneti leo, Umoja wa Ulaya umetangaza azma ya kuiwekea vikwazo nchi hiyo ndogo ya Afrika Mashariki. Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya, Federica Mogherini, amesema Umoja huo uko tayari kuwawekea vikwazo wale ambao vitendo vyao vilisababisha kutokea kwa ghasia, ukandamizaji, na uvunjwaji wa haki za binaadamu na pia kukwamisha upatikanaji wa suluhisho la kisiasa. Miongoni mwa wanaotazamiwa...

Like
177
0
Friday, 24 July 2015
SERIKALI YASHAURIWA KUTOA ELIMU YA UHIFADHI WA MAZINGIRA KWA KUZINGATIA SERA YA MAZINGIRA
Local News

SERIKALI imeshauriwa kutoa elimu ya uhifadhi mazingira kwa kuzingatia sera ya mazingira kwa wananchi wanaoishi katika mkoa wa Lindi na Mtwara ambayo itasaidia kuongeza uwekezaji katika mikoa hiyo. Akizungumza na Kituo hiki leo Afisa msimamizi kutoka baraza la taifa la hifadhi na Usimamizi wa Mazingira-NEMC Muhandisi JAMES NGELEJA amesema kuwa kutokana na kugundulika kwa gesi katika mikoa hiyo hali hiyo  itachangia kuongeza kiwango cha uwekezaji kwenye sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya utalii. Amebainisha kuwa mbali na kutoa elimu ya utunzaji...

Like
345
0
Friday, 24 July 2015
WAMILIKI WA VIWANDA WAONGEZEWA MUDA KUTOA TAARIFA KWA WADADISI
Local News

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaa Muheshimiwa SAID MECK SADIKI amewataka Wamiliki wa Viwanda ambao bado hawajatoa Taarifa za viwanda vyao kwa wadadisi na wasimamizi wa zoezi hilo kufanya hivyo mara moja kwani muda wa kukamilisha zoezi hilo umeongezwa hadi mwisho mwa mwezi wa nane mwaka huu. Ametoa agizo hilo leo Jijini Dar es salaam ambapo amesema kuwa lengo kuu la sensa ya viwanda ni kukusanya  takwimu  sahihi zinazohusu sekta hiyo hapa nchi pamoja na mkoa kwa...

Like
251
0
Friday, 24 July 2015
BIRDMAN AKANA KUHUSIKA NA JARIBIO LA KUTAKA KUMUUA LIL WAYNE
Entertanment

Birdman amevunja ukimya kufuatia tuhuma zinazo muhusisha yeye na Young Thug kuhusika na jaribio la kutaka kumuua Lil Wayne. Birdman amekana kuhusika kwa aina yoyote kupanga njama za mauaji licha ya maelezo ya polisi kumtuhumu yeye na Young Thug. Chanzo cha karibu na Wayne na Birdman kilizungumza na mtandao wa Tmz juu ya taarifa zinazosambazwa na zinazodaiwa kutolewa na polisi kuwa Birdman alipokea simu April 26, ikiwa ni muda mfupi baada ya basi maalum la show la Lil Wayne kutupiwa...

Like
290
0
Friday, 24 July 2015
UBAGUZI WA RANGI: SOULEYMANE SYLLA ADAI FIDIA
Slider

Mfaransa mweusi, mwenye asili ya Mauritania, ambaye alitukanwa kutokana na rangi yake ya mwili na mashabiki wa timu ya Chelsea kwenye kituo cha treni mjini Paris mwezi February, amesema kuwa anataka waliomtusi waletwe kutoka Uingereza ili washtakiwe kwenye mahakama ya Ufaransa. Mkanda wa video ulioonyesha kundi la mashabiki wakimzuia Bwana Souleymane Sylla kupanda treni huku wakipiga mayowe wakisema “sisi ni wabaguzi wa rangi na hivyo ndivyo tunavyopenda”. Katika mahojiano na BBC, Souleymane Sylla alisema: “nataka fidia...

Like
403
0
Friday, 24 July 2015
MAREKANI: MTU MWENYE SILAHA AFANYA SHAMBULIO KATIKA UKUMBI WA SINEMA
Global News

POLISI katika jimbo la Louisiana nchini Marekani wamesema kuwa mtu mmoja aliyejihami kwa bunduki amewafyatulia risasi raia katika ukumbi wa sinema na kumuua mtu mmoja na wengine sita wamejeruhiwa , na mshambuliaji mwenyewe pia amejiua. Walioshuhudia wanasema kuwa walimuona mtu mmoja, mzungu wa umri wa miaka 50 au zaidi, amejitokeza kunako dakika ishirini baada ya filamu kuanza , na kisha kuanza kufyatua risasi kiholela. Tukio hilo limetokea saa chache tu baada ya Rais Barack Obama kuzungumzia tatizo la udhibiti wa...

Like
242
0
Friday, 24 July 2015
EU YAJADILI KUKATA MSAADA BURUNDI
Global News

MUUNGANO wa Ulaya EU umeanza kikao maalum kujadili uwezekano wa kukata msaada wake nchini Burundi na inakisiwa kuwa fedha kutoka muungano huo unafikia zaidi ya nusu ya bajeti nzima ya Burundi ya kila mwaka.   Mkuu wa masuala ya mambo ya nje wa Muungano wa EU Federica Mogherini, ameelezea wasiwasi wake juu ya ghasia zilizototokea nchini humo kabla ya kufanyika  kwa uchaguzi wa rais, na ametilia shaka iwapo serikali itakayoundwa baada ya uchagzi huo itakuwa wakilishi ya taifa nzima. Uamuzi...

Like
183
0
Friday, 24 July 2015
WAKUFUNZI WA VYUO VYA UALIMU NCHINI WATAKIWA KUKUZA VIWANGO VYA UMAHIRI VYA TEHAMA
Local News

KAMISHINA wa Elimu, Profesa Eustella Bhalalusesa amesisitiza haja ya kuhakikisha kwamba viwango vya umahiri vya Tehama kwa wakufunzi wa vyuo vya ualimu nchini vinakua vya juu kukidhi haja ya matumizi ya kufundishia na kujifunza nchini.   Ametoa kauli hiyo mjini Bagamoyo wakati akifungua  kongamano linalohusu upitiaji waraka wa mafunzo ya Tehama kwa wakufunzi wa vyuo vya ualimu.   Katika hotuba yake iliyosomwa na Kaimu Kamishina wa Elimu, Benjamin  Kulwa amesema kwamba changamoto ya Tehama inaonekana wazi katika matumizi yake na...

Like
405
0
Friday, 24 July 2015