Slider

SHEPOLOPOLO KUTUA DAR LEO TAYARI KUMENYANA NA TWIGA STARS
Slider

Timu ya soka ya taifa ya wanawake ya Zambia (Shepolopolo) inatarajiwa kuwasili Dar es Salaam leo tayari kwa ajili ya mchezo wa marudiano kati yake na kikosi cha Twiga stars katika mchezo wa kugombania nafasi ya kushiriki michuano ya Afrika mwaka huu inayotarajiwa kufanyika Congo Brazzaville kuanzia Septemba 4-9. Kwenye mchezo huo kikosi cha Twiga stars chini ya kocha Rogasian Kaijage iwapo kitashinda kitakuwa kimefuzu kwenda kwenye fainali hizo kufuatia matokeo ya awali ambapo waliibuka na ushindi wa magoli  4-2...

Like
319
0
Wednesday, 08 April 2015
WIGAN ATHLETIC YAMTANGAZA GARY CALDWELL KAMA MENEJA MPYA WA TIMU HIYO
Slider

Timu ya Wigan Athletic imemtangaza Gary Caldwell kuwa meneja wao mpya akirithi mikoba ya Malky Mackay aliyetimuliwa mapema jumatatu. Mackay kibarua cha kuinoa klabu hiyo kiliota nyasi kufuatia kichapo cha 2-0 dhidi ya Derby katika uwanja wa nyumbani Caldwell aliyekuwa mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Scotland mwenye umri wa miaka 32, ameichezea Wigan michezo 111 lakini pia alikuwa miongoni mwa wachezaji wa kikosi cha timu hiyo kilichotwaa kombe la FA mwaka 2013. Caldwell alitangaza kustaafu mapema kwenye msimu huu...

Like
277
0
Wednesday, 08 April 2015
KENYA: WANANCHI WAANDAMANA KUDAI USALAMA ZAIDI
Global News

WAKENYA  wameandamana kudai usalama  zaidi  wa  taifa  hilo kufuatia  mauaji  ya  wiki  iliyopita yaliyofanywa  na  wapiganaji kutoka  Somalia  wa  kundi  la  Al-Shabaab , kabla  ya  kuwasha mishumaa  usiku katika  siku  ya  mwisho  ya  Maombolezi kutokana na  kuuwawa  kwa  watu  148 mjini Garissa. Ndege  za  kivita  za  Kenya  zimeshambulia  maeneo yanayodhibitiwa  na  kundi  hilo  lenye  mafungamano  na  Al-Qaeda Kusini  mwa  Somalia  , lakini  hasira  imekuwa ikiongezeka  kuhusiana  na ...

Like
237
0
Tuesday, 07 April 2015
TONY BLAIR AINGIA KWENYE KAMPENI KWA KUMSHAMBULIA DAVID CAMEROON
Global News

WAZIRI Mkuu wa zamani wa Uingereza,TONY BLAIR ameingia katika kampeni za uchaguzi kwa kumshambulia Waziri Mkuu DAVID CAMERON, kwa ahadi yake ya kufanyika kwa kura ya maoni kuhusu uanachama wa Uingereza katika Umoja wa Ulaya, EU. Bwana BLAIR amesema Bwana CAMERON ametoka nje ya agenda kwa kuahidi kufanyika kura ya maoni na kwamba kujiondoa katika Umoja wa Ulaya kunatishia nafasi ya Uingereza kama taifa kubwa duniani Bwana BLAIR anatarajiwa kusema kuwa kiongozi wa Chama chake cha LABOUR ED MILIBAND ameonyesha...

Like
231
0
Tuesday, 07 April 2015
YEMEN: ZAIDI YA WATU 500 WARIPOTIWA KUUAWA KWENYE MAPIGANO YA HIVI KARIBUNI
Global News

SHIRIKA la Afya Duniani limetoa takwimu zinazosaidia kuelewa wa mgogoro uliopo nchini Yemen. Shirika la WHO limesema Zaidi 500 wameuawa katika mapigano ya wiki za hivi karibuni, na kwamba watu wapatao elfu moja na mia saba wamejeruhiwa katika mapigano hayo. Waasi kama “Houthi” na washirika wao wanapambana na majeshi ya Rais ABD RABBU MANSOUR HADI ambaye anaungwa mkono na jeshi la linaloongozwa na Saudi...

Like
347
0
Tuesday, 07 April 2015
SERIKALI YATAKIWA KUREJESHA MAZUNGUMZO YA MAHAKAMA YA KADHI
Local News

Kutokana na Sesrikali kushindwa  kutoa tamko dhidi ya Muswada wa Mahakama ya Kadhi, Jumuiya ya Waislam na Taasisi 11 za Waislam, wameitaka Serikali kuonesha dhamira ya dhati kwa kurejesha mchakato wa mazungumzo baina yake na Waislam  juu ya suala hilo. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Sheikh MUSSA KUNDECHA,  amesema kuwa ,Serikali imeshindwa kutoa tamko kamili na badala yake Makanisa na Viongozi wa dini ndiyo wamekuwa wakitoa tamko juu...

Like
213
0
Tuesday, 07 April 2015
WAHU ATANGAZA KUVUNJA UKIMYA
Entertanment

Mkali kutoka code ya 254 kwa Uhuru Kenyata Wahu ni miongoni mwa wasanii wachache Afrika Mashariki walioweza kudumu kwenye tasnia ya muziki kwa zaidi ya muongo mmoja. Kumekuwa na kimya kirefu kwa msanii huyu toka afanye vizuri na wimbo wake wa still a liar kwenye vituo tofauti vya redio na tv. Kufuatia ukimya huo maswali yamekuwa mengi kwenye mitandao ya kijamii kwa mashabiki wake kutaka kufahamu iwapo kama ameachana kabisa na muziki na haya ni majibu yake. ‘’j_doctor did you...

Like
219
0
Tuesday, 07 April 2015
TOM CRUISE AKANA KUMTENGA MWANAE
Entertanment

Tom Cruise amesema hakupata nafasi ya kukutana na mtoto wake kwa takribani mwezi sasa kufuatia kubanwa na ratiba kikazi ambapo kwa maelezo aliyoyatoa star huyo amedai hali hiyo imetokana na kuwa busy na kushoot filamu ya “Mission Impossible 5” huko London. Hivyo yalibaki masaa kadhaa aweze kukutana na binti yake Suri. Ila chanzo kinadai kuwa muigizaji huyo alikuwa mapumzikoni kwa takribani wiki mbili mara baada ya ratiba ya kushoot kufungwa lakini hakwenda kumtazama mwanae.   Chanzo cha karibu na Katie...

Like
226
0
Tuesday, 07 April 2015
MCHEZO WA RUGBY WAPAMBAMOTO ARUSHA
Slider

Hizi ndizo team na makundi yaliyogawanywa kwa ajili ya michuano hiyo. Kundi A. Shakaz Irie worriers Buggyz Kundi B. Wakuda Arusha Morans Bokajunior Mashindano yaha ni ya maandarizi yanayoanza 31 May pia niyakujiandaa na mashindano ya safaricom 7s ambayo inafanyika Nairobi Kenya mwezi wa Tisa na Tanzania tunatarajia kupeleka timu ya wasichana na wavulana kwa Mara ya kwanza...

Like
328
0
Tuesday, 07 April 2015
TIMBUKTU: RAIA WA UHOLANZI ALIETEKWA NYARA AKOMBOLEWA
Global News

RAIA wa Uholanzi ambaye aliyetekwa nyara miezi Minne iliyopita na mtandao wa kigaidi wa AQIM, huko  Timbuktu Kaskazini mwa Mali amekombolewa leo katika operesheni za kijeshi za Ufaransa. Wizara ya mambo ya nje ya Ufaransa imesema mateka SJAAK RIJKE, ambaye ametekwa Novemba 25,2011 amekombolewa baada ya kufanyika Operesheni ya Kikosi Maalum cha jeshi la taifa hilo. Taarifa hiyo imesema kuwa operesheni hiyo vilevile imefanikisha kutiwa mbaroni kwa watu wengine...

Like
232
0
Tuesday, 07 April 2015
MAKABURI YAFUKULIWA TIKRIT
Global News

WATAALAMU wa kuchunguza Maiti, wameanza kufukua zaidi ya Makaburi 12 ya halaiki, katika mji wa Tikrit, nchini Iraq. Hatua hiyo imekuja siku kadhaa baada ya Wapiganaji wa Islamic State, kutimuliwa nje ya mji huo. Makaburi hayo yaanaminika kuwa na zaidi ya Maiti Elfu Moja Mia Saba ya Wanajeshi Waislamu wa Kishia, waliouwawa mwezi Juni mwaka jana na Wanamgambo wa...

Like
258
0
Tuesday, 07 April 2015