Slider

TANZANIA KUTENGENEZA HELIKOPTA
Local News

Gazeti la Daily News limeripoti kwamba ndege hiyo aina ya helikopta inakaribia kukamilika na kwamba habari hiyo imekuwa ikisambaa barani Afrika kwa kasi. Gazeti la Zambia, Observer linasema kuwa lengo la ndege hiyo itayokuwa ikibeba watu kwa bei rahisi itakabiliana na matatizo ya uchukuzi nchini humo. Huku gazeti la Cameron, Concord likisema kuwa mradi huo ni wa kihistoria linaongezea kuwa lengo lake ni kutengeza ndege 20 kwa mwaka. Ndege hiyo yenye uwezo wa kubeba watu wawili inakaribia kukamilika katika chuo...

Like
614
0
Wednesday, 22 June 2016
EURO: CROATIA YAICHAPA HISPANIA 2 – 1
Slider

Timu ya Croatia imeichapa Hispania jumla ya magoli 2 – 1 katika mchezo wa kusisimua wa kundi D wa michuano ya Kombe la mataifa ya Ulaya Euro inayochezwa huko Ufaransa. Hata hivyo timu zote Croatia na Hispania zimesonga mbele katika hatua ya 16 kutokana na kushika nafasi mbili za juu za kundi D. Katika mechi nyingine ya kundi D iliyochezwa sambamba na hiyo Uturuki imeadhibu Jamuhuri ya Czech kwa jumla ya magoli 2 – 0. Pamoja na ushindi huo timu...

Like
373
0
Wednesday, 22 June 2016
INTER MILAN YAFANYA MAWINDO KUMNASA YAYA TOURE
Slider

Inter Milan wana mipango ya kumsajili nyota wa Machester City Yaya Toure. Raia huyo wa Ivory Coast mwenye umri wa miaka 33, ana mwaka mmoja wa kuichezea Man City kabla ya kukamilisha mkataba wake. Yaya Toure aliuzwa kwa Man City ambayo ilikuwa chini ya meneja wa sasa wa Inter Milan Roberto Mancini kwa kima cha dola milioni 24 na Pep Guardiola mwaka 2010 kutoka klabu ya Barcelona. Hata hivyo taarifa zinasema kuwa huenda makubaliano yakaafikiwa au yakose...

Like
430
0
Monday, 20 June 2016
REDIO NA TV ZAFUNGA MATANGAZO DRC
Global News

Baadhi ya vituo vya redio na runinga katika mji mkuu Kinshasa, katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, zimefunga matangazo yake kuanzia leo, ikiwa ni ishara ya kuanza mgomo kufutia makampuni ya simu za mikononi kupandisha gharama za huduma za intaneti. Ni karibu majuma matatu sasa, tangu gharama ya huduma hiyo muhimu ilipoongezwa ghafla kwa asilimia mia moja. Na ili kushinikiza serikali na makampuni hayo kupunguza gharama za intaneti, raisi wa muungano wa wandishi wa habari nchini humo alitoa mwito kwa...

Like
337
0
Monday, 20 June 2016
YANGA YASHINDWA KUITAMBIA BEJAIYA
Slider

Wawakilishi wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho la Soka Afrika, Yanga ya Jangwani usiku wa kuamkia leo walikumbana na kibano cha bao moja chungu kutoka kwa Bejaiya ya Algeria. Yanga watalazimika kuzikata kilomita 6120 kurejea nyumbani Tanzania kabla ya kujipanga kukutana na Kisiki kingine TP Mazembe ya...

Like
319
0
Monday, 20 June 2016
UFARANSA YAPASUA ANGA EURO
Slider

Mechi kali ilikuwa ya piga nikupige kati ya Switzland na wenyeji wa michuano hiyo Ufaransa lakini wakaishia kutoka uwanjani pasipo kutikisa nyavu yaani sare ya 0 – 0. Milingoti ya magoli ilipata kazi ya ziada kutokana na mikwaju mikali iliyogonga mwamba mara kadhaa. Pogba akiwakosakosa waswiss mara kadhaa hivi. Kwa sasa Kundi hilo linaongozwa na Ufaransa pointi 7, Switzland pointi 5, Albania 3, Romania...

Like
289
0
Monday, 20 June 2016
PICHA: SAKASAKA WILAYA YA ILALA
Local News

Shindano la Saka saka Wilaya ya Ilala limekamilika baada ya wakazi wa Ukonga Banana na maeneo ya jirani kujitokeza kwa wingi kwenye eneo la uwanja wa mamlaka ya anga na kushiriki zoezi la sakasaka Kulia ni Chogo akisoma karatasi inayothibitisha ushindi wa mmoja kati ya washiriki waliojishindia fed Washiriki wakiwa wanasaka kitu ambacho walitajiwa kwenye dondoo kupitia 93.7 E-fm Hulu aliamua kuja na mfuko wake akiamini nadir kitu...

Like
706
0
Monday, 20 June 2016
PICHA: NJE NDANI YA JOTO LA ASUBUHI NDANI YA KARIAKOO
Local News

Kipindi cha Joto la Asubuhi cha EFM redio kinacho tangazwa na Gerald Hando, PJ na Adela Tilya kinachorushwa live kila mwisho wa wiki katika maeneo mbalimbali, leo siku ya Ijumaa ya tarehe 17/06/2016 kimewafikia wakazi wa Kariakoo huku kikiambatana na burudani kabambe kutoka kwa wasanii wa Singeli kama, Sholo Mwamba na Majid Migoma. Mashabiki wa E-fm wakishuhudia Show ya Joto la Asubuhi Live Kariakoo Sokoni Hitachi Asili yeti Gerald Hando akipata kahawa wakati kipindi kinaendelea Asubuhi na mapema Majid Migoma...

Like
890
0
Friday, 17 June 2016
SLOVAKIA YAICHAKAZA URUSI 2-1 EURO
Slider

Wakicheza ndani ya Stade Pierre Mauroy Mjini Lille huko France, Slovakia wameitandika Urusi 2-1 katika Mechi ya Kundi B la EURO 2016 na hizi ni Mechi za Pili kwa kila Timu. Slovakia waliongoza 2-0 hadi Mapumziko kwa mabao ya Vladimir Weiss katika Dakika ya 32 alipotengenezewa na Kiungo wa Napolo Marek Hamsik na goli la Pili dakika ya 45. Russia, ambao wana kitanzi shingoni baada ya kuhukumiwa na UEFA adhabu iliyositishwa ya kutupwa nje ya EURO 2016, kutokana na fujo...

Like
368
0
Thursday, 16 June 2016
MWILI WA MTOTO ALIYENYAKULIWA NA MAMBA WAPATIKANA
Local News

Maafisa wa polisi waliokuwa wakiutafuta mwili wa mtoto wa miaka 2 aliyenyakuliwa na mamba katika bustani ya shirika la Walt Disney World mjini Florida wameupata mwili wake. Waogeleaji waliupata mwili huo ambao ulikuwa hauna majeraha yoyote na wanaamini ni ule wa mvulana huyo wa miaka miwili ambaye alinyakulwia na mamba na kuingizwa ndani ya maji siku ya Jumanne jioni mbele ya familia yake. Mkuu wa kaunty ya Orange Jerry Demings amesema kuwa jina la mvulana aliyetoweka na mamba huyo ni...

Like
334
0
Thursday, 16 June 2016
PICHA ILIYOGUSA HISIA ZA MAMILIONI YA WATU ULIMWENGUNI
Global News

Mtoto aliyezaliwa mwezi mmoja baada ya baba yake kufariki amegusa hisia za mamilioni ya watu ulimwenguni katika mitandao ya kijamii kupitia picha inayomuonyesha mtoto huyo akitabasamu akiwa amekumbatiwa na gloves za marehemu baba yake na pembeni yake amewekewa kofia ambavyo vyote vilikuwa vikitumiwa na baba wa mtoto huyo kujikinga wakati anaendesha pikipiki katika enzi za chai wake. Katika chapisho la Facebook lilitolewa na mpiga picha Kim Stone limeelezea jinsi ambavyo baba wa mtoto huyo alivokuwa na mapenzi makubwa ya kuendesha...

Like
402
0
Wednesday, 15 June 2016