Slider

RAIS WA MISRI AYATAKA MAJESHI YA MUUNGANO WA JUMUIYA YA KIARABU KUSHIRIKI VITA DHIDI YA UGAIDI
Global News

RAIS wa Misri Abdel Fattah al-Sisi amesema kuna haja majeshi ya muungano wa jumuiya ya kiarabu ya Pan-Arab kutoa majeshi yao ili kukabiliana na ugaidi. Amesema kuwa mataifa kadhaa yametoa majeshi yao kukabiliana na kundi la wapiganaji wa Kiislam wa Islamic State tangu kuuawa kwa Wakristu huko nchini Libya. Mpaka sasa, Mataifa yaliyotoa misaada ya kifedha na kijeshi ni Jordan,Falme za Kiarabu na Marekani kwa lengo la kuangamiza kundi hilo Syria na Iraq....

Like
261
0
Monday, 23 February 2015
WAKULIMA MBEYA WAKABIDHIWA MASHINE ZA KUPANDIA MPUNGA KUKUZA KILIMO
Local News

WAKULIMA Wilayani Ileje Mkoani Mbeya wamepokea Mashine Sita za kupandia Mpunga zenye thamani ya zaidi ya Shilingi Milioni 60 kwa ajili ya kuwezesha Kulima kwa kutumia Teknolojia bora ili kuongeza uzalishaji wa zao hilo. Akikabidhi Mashine hizo kwa baadhi ya Vikundi vya wakulima katibu tawala FRANSIS MBEGILE amewataka wakulima hao kuzitumia vizuri na kuzitunza kwani watapata maelekezo ya namna ya kuzitumia Kwa upande wake Kaimu afisa Kilimo mkoani humo HERMAN NJEJE amesema hatua hiyo imefikiwa ikiwa ni utekelezaji wa mpango...

Like
812
0
Monday, 23 February 2015
ESCROW: BARAZA LA MAADILI KUWAHOJI VIGOGO LEO
Local News

VIGOGO wanaodaiwa kuhusika katika Akaunti ya Tegeta ESCROW leo waananza kuhojiwa na Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma. Habari za kuaminika zimeeleza kuwa vikao vya Baraza hilo ambavyo vitawahoji viongozi mbalimbali wakiwemo Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi na Mameya vitaanza leo na vitadumu kwa wiki tatu. Hata hivyo macho na Masikio ya Watanzania wengi yapo kwa Vigogo wanaotajwa kupata mgawo wa fedha za ESCROW kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya VIP Engineering and Marketing Ltd, JAMES...

Like
327
0
Monday, 23 February 2015
MHARIRI MKUU WA EFM ALIPOTEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA NGORONGORO
Entertanment

Mhariri mkuu wa Efm radio scholarstica mazula alipotembelea hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro kwa mwaliko wa hifadhi hiyo pamoja na wahariri wengine kutoka vyombo mbalimbali vya...

Like
561
0
Monday, 23 February 2015
AFCON: TUNISIA YAKATA RUFAA KUPINGA KUFUNGIWA MICHUANO YA 2017
Slider

Tunisia imekata rufaa katika mahakama ya usuluhishi wa masuala ya michezo kufuatia kitindo cha waandaji wa michuano ya AFCON – kombe la mataifa ya Afrika kuwaondoa kwenye mashindano yatakayofanyika mwaka 2017. Tunisia itashiriki kwenye michuano hiyo iwapo tu watakanusha madai ya rais wa shirikisho la mpira wa miguu nchini humo kufuatia kuondolewa kwao kuwa kumetawaliwa na mkanganyiko kati ya Tunisia na waliokuwa wenyeji wa michuano hiyo Equatorial Guinea. Wadie Jary alisababisha hukumu hiyo kupitishwa kufuatia kauli yake ya Mbwea hao...

Like
309
0
Friday, 20 February 2015
ZLATAN IBRAHIMOVIC AFUNGIWA MECHI MBILI NA KAMATI YA MAADILI UFARANSA
Slider

Mshambuliaji wa klabu ya Paris Saint-Germain Zlatan Ibrahimovic amefungiwa michezo miwili katika mashindano ya ndani ya ligi ya Ufaransa (LFP). Mshambuliaji huyo ambae ni raia wa Sweden amepewa adhabu hiyo  na kamati ya maadili ilpokutana kujadili hatima yake na kukutwa na hatia ya kufanya madhambi Kutokana na adhabu hiyo Ibrahimovic ataikosa mechi na Monaco siku jumapili ya tarehe moja mwezi wa tatu kwenye robo fainali ya michuano ya ligi nchini Ufaransa. Adhabu hiyo huenda ikaleta madhara kwa klabu ya PSG...

Like
292
0
Friday, 20 February 2015
WAZIRI WA MAMBO YA NCHI ZA NJE WA UJERUMANI AWASILI DRC
Local News

WAZIRI wa Mambo ya nchi za Nje wa Ujerumani FRANK-WALTER STEINMEIER amewasili Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,Kituo cha kwanza cha ziara yake ya siku nne barani Afrika. Kabla ya ziara hiyo kuanza,Mwanasiasa huyo kutoka Chama Cha Social Democratic amesema, uhusiano wa siku za mbele pamoja na Bara la Afrika amesema utatuwama katika juhudi za kuepusha Mizozo,Ushirikiano katika masuala jumla na Ushirikiano wa kiuchumi. Mbali na Jamhuri Kidemokrasia ya Kongo,Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Ujerumani amepanga kuzitembelea pia...

Like
222
0
Thursday, 19 February 2015
UKRAINE: PANDE MBILI ZINAZOPIGANA ZAJUTIA KUTOSITISHA MAPIGANO
Global News

OFISI ya Rais nchini Ufaransa imesema Viongozi wa Urusi,Ukraine, Ufaransa na Ujerumani wamekemea ukiukwaji wa makubaliano ya kusitisha mapigano Mashariki mwa Ukraine . Baada ya Mazungumzo ya simu kati ya Viongozi wanne wa Nchi hizo,wametoa wito wa utekelezwaji wa makubaliano yaliyowekwa mjini Minsk Juma lililopita, ikiwemo kuacha kabisa mapigano. Waangalizi wa Kimataifa wanaofuatilia utekelezaji wa makubaliano hayo nchini Ukraine wamesema pande zote mbili zinajutia kushindwa kutekeleza makubaliano...

Like
219
0
Thursday, 19 February 2015
HALI YA SOKO LA BUGURUNI NI TETE
Local News

HALI ya Miundombinu katika Soko la Buguruni jijini Dar es salaam imeendelea kuwa mbaya kutokana na mahitaji ya Wananchi kuongezeka pasipo Soko kupanuliwa. EFM imefika katika soko hilo na kujionea mrundikano wa bidhaa na msongamano wa watu katika soko hilo na kulifanya lionekane kuelemewa kutokana na wafanyabiashara wengine kuuza bidhaa...

Like
232
0
Thursday, 19 February 2015
SERIKALI IMETAKIWA KUTOA RATIBA SAHIHI YA MFUMO WA UANDIKISHAJI WA BVR
Local News

 MTANDAO wa Asasi za Kiraia wa kuangalia Chaguzi Tanzania -TACCEO unaoratibiwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu umeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kutoa ratiba sahihi ya jinsi zoezi la Uandikishaji wa wapiga Kura kwa Mfumo wa BVR litakaloendeshwa nchi nzima linatarajiwa kukamilika lini ili kuondoa sintofahamu kwa wananchi. Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Mwenyekiti wa Mtandao huo MARTINA KABISAMA amesema kuwa mtandao huo ambao unatarajia kutuma waangalizi Zaidi ya 100 nchi nzima kwa...

Like
339
0
Thursday, 19 February 2015
WIZ KHALIFA APANGA KUTUMIA USHAHIDI WA PICHA KUMSHITAKI AMBER ROSE
Entertanment

Wiz Khalifa  ametangaza kuitumia picha kama ushahidi atakaposimama mahakamani kudai kupewa mamlaka ya kukabidhiwa mwanae ili aweze kuishi nae, picha hiyo inaonyesha sehemu ya nyumba ya Amber rose ambae ni mama wa motto huyo mwenye mwaka mmoja anaishi na mototo. Wiz na Amber wamekuwa katika vita ya maneno kwa muda sasa toka watangaze kuachana huku kila mmoja akimtupia lawama mwenzake wakati Amber rose anadai wamefikia maamuzi hayo kutokana na kile alichodai Wiz amekuwa akimsaliti wakati anapotoka kwenda kwenye safari za...

Like
433
0
Thursday, 19 February 2015