Slider

PAUL SCHOLES AKIFUNGUKIA KIKOSI CHA MANCHESTER UNTD
Slider

Kiungo wa zamami wa Manchester United Paul Scholes hali ya uchezaji wa klabu hiyo kwa sasa ni duni kutokana na kushindwa kushambulia kwakufuata misingi ya ushambulizi iliyokuwa ikitumika enzi zao. Aliongeza kuwa ili umshinde mpinzani wako unatakiwa kushambulia na pia ili ushambulie unahitaji kuikabili hatari iliyopo mbele yako, Scholes alisema kwamba kwenye kikosi hicho cha sasa ni wachezaji wachache wenye uthubutu wakuikabili hali ya hatari ili waweze kuibuka na ushindi Paul amedai kwa sasa hafuraishwi na mwenendo wa kikosi hicho...

Like
368
0
Friday, 13 February 2015
WEWE NDIO MCHIZI WANGU.
Entertanment

  Kila mwaka,tarehe 14 Februari,watu duniani kote huadhimisha siku ya wapendanao duniani. Kama ilivyo ada,wengi wetu tumezoea kuadhimisha siku hiyo na aidha mume,mke au mpenzi. Ila kituo cha redio cha 93.7 EFM, kinawapa nafasi ya kipekee wasikilizaji wao kuchagua mtu ambao wao ndio wanamuona kama mchizi wao. Meneja Uhusiano wa 93.7 EFM,Kanky Mwaigomole,amesema mchizi wako sio lazima awe mpenzi wako,bali anaweza kuwa kaka,dada,jirani,bosi wako au hata mama mkwe wako,wote hao wanaweza kuwa mchizi wako. “Sio lazima kila mwaka tufanye mambo...

Like
892
0
Friday, 13 February 2015
DRC: TUME YA UCHAGUZI YAFURAHISHA WAPINZANI
Global News

UPINZANI nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umepokea kwa furaha hatua ya tume ya uchaguzi ya nchi hiyo kutangaza tarehe ya uchaguzi. Hapo jana Tume ya Uchaguzi nchini humo ilitangaza uchaguzi mkuu wa rais na wabunge utafanyika Novemba 27 mwaka 2016 na kutanguliwa na uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu. Kutangazwa kwa tarehe hiyo ya uchaguzi mkuu kunakuja wiki chache baada ya ghasia zilizotokea katika miji kadhaa nchini humo kupinga sheria ya uchaguzi mbayo ingesogeza mbele tarehe uchaguzi....

Like
258
0
Friday, 13 February 2015
BUNGE LA AFRIKA KUSINI LAGEUKA UWANJA WA MAPAMBANO
Global News

BUNGE la Afrika kusini liligeuka kuwa uwanja wa vita ambapo wabunge wa upinzani ilifikia hatua ya kuvutana mashati na maafisa wa usalama na kufanya wabunge wa upinzani wa chama cha Economic Freedom Fighters (EFF) wakiongozwa na Julias Malema kutolewa nje ya ukumbi wa bunge kwa nguvu na baadae wabunge wengine wa upinzani nao wakatoka nje ya ukumbi. Sakata hilo lilizuka wakati Rais wa nchi hiyo Jacob Zuma alipokuwa akilihutubia taifa na kuulizwa maswali na wabunge wa chama cha EFF kinachoongozwa...

Like
238
0
Friday, 13 February 2015
TAMWA: NDOA ZA UMRI MDOGO NI UBAGUZI WA KIJINSIA
Local News

CHAMA cha wanawake wanahabari Tanzania -TAMWA kimesema ndoa za umri mdogo ni aina ya ubaguzi wa kijinsia ambao unawagusa wasichana wadogo na hivyo kupelekea kukatisha masomo yao. Akizungumza na EFM kaimu Mkurugenzi wa TAMWA GLADNESS MUNUO amesema kuwa ubaguzi huo unawafanya wawe waathirika kwa kuambukizwa virusi vya ukimwi kwa urahisi wakilinganishwa na wenzao ambao hawajaolewa. Amesema kuwa ndoa za umri mdogo ni swala la afya pamoja na ukiukwaji wa haki za binadamu lakini wasichana wengi walioolewa kwa umri mdogo wana...

Like
269
0
Friday, 13 February 2015
CHAMA CHA WANANCHI CUF CHASITISHA MAANDAMANO
Local News

CHAMA cha Wananchi CUF, kimetangaza kusitisha Maandamano yaliyokuwa yafanyike leo ambayo yaliandaliwa na Umoja wa Vijana wa chama cha wananchi- Cuf- JUVICUF. JUVICUF iliandaa maandamano hayo kwa lengo la kufikisha ujumbe wao kwa waziri wa mambo ya ndani juu ya vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na jeshi la Polisi pamoja na kuitaka tume ya taifa ya uchaguzi kuongeza siku za uandikishaji wa daftari la kudumu la wapika kura kutoka siku saba za sasa na hadi siku 14....

Like
257
0
Friday, 13 February 2015
AUDIO: MASWALI NA MAJIBU KWA BAKARI IDDI KWENYE MAKAO MAKUU YA MICHEZO
Slider

BAKARI IDD-MCHEZAJI WA ZAMANI WA BDF XI BAKARI IDD kaanza kwa kujitambulisha pamoja na kutueleza alivyofika katika klabu ya bdf xi. BAKARI je unakumbuka ni mchezo gani ulikuwa mgumu katika kipindi chote ulichokuwa na klabu hiyo na ni timu gani mlicheza nayo. kunamchezaji yoyote mliekuwa nae kipindi hicho na sasa nikiongozi wa BDF XI. Je hakuna kiongozi yoyote wa BDF XI ambaye umewasiliana nae katika kuelekea mchezo huo na mliongea nini. Kunautofauti gani wa hali ya hewa ya Gaborone na...

Like
558
0
Friday, 13 February 2015
AUDIO: MASWALI NA MAJIBU KWA ROSE NDAUKA KWENYE KABALI YA JOTO LA ASUBUHI
Entertanment

Kutana na Ssebo pamoja na Rachel katika Joto la asubuhi,  kipindi kinachoruka kupitia hapahapa  93.7efm kila siku ya jumatatu hadi ijumaa kuanzia saa kumi na mbili asubuhi hadi saa tatu...

Like
689
0
Friday, 13 February 2015
MAREKANI KUCHUNGUZA MAUAJI YA WANAFUNZI WATATU WA KIISLAMU
Global News

POLISI nchini Marekani inachunguza iwapo mauaji ya wanafunzi watatu wa Kiislamu siku ya Jumanne yalichochewa na chuki dhidi za kidini, wakati ambapo miito inazidi kutolewa kwa mauaji hayo kuchukuliwa kama kosa la chuki. Mtu aliefanya mauaji hayo Craig Stephen Hicks mwenye umri wa miaka 46, ameshtakiwa kwa makosa matatu ya mauaji ya daraja la kwanza, baada ya mauaji hayo katika mji wa Chapel Hill, kusababisha ghadhabu miongoni mwa Waislamu duniani kote. Polisi imesisitiza kuwa uchunguzi wa awali ulionyesha mgogoro kati...

Like
239
0
Thursday, 12 February 2015
RAIS WA UKRAINE ASISITIZA USITISHAJI WA MAPIGANO BILA MASHARTI
Global News

MAZUNGUMZO tete ya amani mjini Minsk kati ya viongozi wa Ukraine, Urusi, Ujerumani na Ufaransa yemendelea hadi leo, wakijadili mpango wa kukomesha mapigano ya miezi 10 nchini Ukraine. Mwanzoni mwa mazungumzo hayo marefu, rais wa Ukraine Petro Poroshenko amesisitiza juu ya usitishaji mapigano usio na masharti yoyote. Chanzo kilicho karibu na mazungumzo hayo kilisema viongozi hao walipanga kusaini taarifa ya pamoja inayotoa mwito wa kutekelezwa kwa mpango wa amani wa awali uliyosainiwa kati ya serikali ya Kiev na waasi mwezi...

Like
208
0
Thursday, 12 February 2015
WANANCHI WA JIMBO LA MTAMA MKOANI LINDI WAMTIKISA MEMBE
Local News

WANANCHI wa jimbo la Mtama mkoani Lindi wamemtaka mbunge wa jimbo hilo Bernald Membe anayemaliza muda wake kutokujishughulisha kwa namna yoyote kuwatafutia mrithi wa nafasi ya ubunge kwani kwa kufanya hivyo hawata mchagua. Wakizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam wamesema kitendo chochote cha kupingana na chaguo la wananchi kitasababisha Jimbo la Mtama kuwa na wakati mgumu na kwamba wanahitaji mbunge mwenye uchungu na jimbo kwa kuwa jimbo hilo lipo nyuma kwa Nyanja zote za Kielimu, Afya...

Like
365
0
Thursday, 12 February 2015