Slider

UBELGIJI YAFANYA OPERESHENI KUSAKA MAGAIDI
Global News

  SERIKALI ya Ubelgiji imefanya operesheni kali ya ugaidi ikiwasaka watuhumiwa wanaodaiwa ni wapiganaji wa kiislamu waliorejea kutoka Syria. Watuhumiwa wawili wa ugaidi wameuawa na mmoja anashikiliwa na vyombo vya usalama katika mji wa Vere viee , baada ya Watu hao kuwashambulia polisi kwa bomu. Meya wa mji huo anasema sasa hali ni shwari na inaelezwa kuwa Polisi iliwashuku kuwa watu hao walikua na mipango ya kutekeleza shambulio la kigaidi dhidi ya maafisa wa polisi na kwenye vituo vya Polisi....

Like
288
0
Friday, 16 January 2015
ZANA HARAMU MARUFUKU KUVUA SAMAKI
Local News

WAVUVI mkoani Kigoma wametakiwa kuacha tabia ya kuvua Samaki na Dagaa kwa kutumia zana haramu. Rai hiyo imetolewa na Waziri wa Maendeleo ya Uvuvi na Mifugo Dokta TITUS KAMANI wakati wa ziara yake ya kutembelea Mialo ya kuhifadhia Samaki na Dagaa iliyopo Kibilizi Wilayani Uvinza mkoani Kigoma. Kwa mujibu wa Dr. Kamani, wavuvi wengi wanatabia ya kuvua samaki kwa kutumia taa zenye mwanga mkali nakusababisha samaki wengi kupofuka macho na...

Like
407
0
Friday, 16 January 2015
MRADI WA MAJI WAMI-CHALINZE KUANZA MWEZI MACHI
Local News

WIZARA ya Maji Mjini Kibaha inatarajia kuanza mradi wa Maji wa Wami-Chalinze awamu ya tatu ifikapo mwezi Machi mwaka huu. Wizara hiyo imesema mradi huo unatarajia kugharimu shilingi Bilioni 60 mpaka utakapokamilika. Meneja wa Mamlaka ya Maji Chalinze (CHALIWASA), Christer Mchomba, amesema awamu hiyo itaongeza mitandao ya maji kwenye vitongoji 210 kutoka kwenye vijiji 47....

Like
279
0
Friday, 16 January 2015
DAVID GINOLA ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS FIFA
Slider

Mchezaji wa zamani wa Ufaransa David Ginola amesema kuwa atasimama dhidi ya Sepp Blatter kuwania Urais wa shirikisho la kandanda duniani,Fifa. Lakini richa ya kuwa imetangazwa hivyo hakuna uhakika kama Ginola ataendelea na nia yake. Hali hii inakuja kwakuzingatia vigezo ambapo mgombea anahitajika kuungwa mkono na vyama vitano vya soka na kigezo kingine anapaswa kuwa amejihusisha na soka kwa miaka miwili kati ya mitano iliyopita Mchezaji huyo mwenye miaka 47 , aliichezea Ufaransa, pia club ya nchi hiyo Paris St...

Like
372
0
Friday, 16 January 2015
TAMEKA FOSTER AMTAKIA KILA LA KHERI USHER KWENYE NDOA YAKE
Entertanment

Aliewahi kuwa mke wa Usher Raymond Tameka Foster amempongeza Usher lakini pia ametoa ruhusa kwa watoto wake kuhudhuria kwenye harusi atakayoifunga na meneja wake Grace Miguel na kuwatakia kila la kheri kwenye mwanzo mpya wa maisha yao. Usher na Tamika kwa muda mrefu wamekuwa na migogoro ya hapa na pale kuhusu watoto wao lakini huenda Tameka ameamua kumliza tofauti zao huku akishuhudia mwanamke alikuwa akimtuhumu kutoka kimapenzi na mumewe wakati watoto wakiwa na miezi mitatu...

Like
576
0
Friday, 16 January 2015
MAKALA YA UCHAMBUZI KUELEKEKEA AFCON 2015 TAIFA LA EQUTORIAL GUINEA
Slider

Miezi michache iliyopita Shirikisho la soka barani afrika CAF linalo ongozwa na raisi wake Issa Hayatou lilikuwa katika wakati mgumu kutokana na taarifa iliyotolewa na walio kuwa waandaaji wa michuano hiyo mwaka huu MOROCO kujivua uwenyeji muda mchache kuelekea kuanza kwa michuano hiyo kwa kuogopa ugonjwa wa Ebola. Shirikisho hilo kwa wakati tofauti likachagua mataifa ya GHANA,SOUTHAFRIKA na NIGERIA kuandaa michuano hiyo nayo yakatolea njee ombi hilo na kuibuka hali ya sintofahamu. Mashabiki wengi walitahamaki kuona Raisi wa EQUTORIAL GUINEA...

Like
449
0
Thursday, 15 January 2015
NEW VIDEO: MWANA FA FT ALI KIBA – KIBOKO YANGU
Entertanment

...

3
4840
0
Thursday, 15 January 2015
PAPA FRANCIS AWASILI UFILIPINO
Global News

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani Papa FRANCIS, amewasili nchini Ufilipino kwa ziara ya siku tano katika taifa la tatu kwa kuwa na idadi kubwa zaidi ya waumini wa Kikatoliki duniani. Maelfu ya Wafilipino wamemiminika barabarani katika mji mkuu Manila kumlaki Papa FRANCIS huku ulinzi ukiwa...

Like
428
0
Thursday, 15 January 2015
SENEGAL YAPIGA MARUFUKU USAMBAZAJI WA GAZETI LA CHARLIE HEBDO
Global News

GAZETI MOJA nchini Kenya, la The Star limeomba radhi kwa kuchapisha ukurasa wa kwanza wa jarida la Charlie Hebdo uliokuwa na kibonzo kinachomkejeli Mtume MUHAMMAD S.A W. Wahariri wa gazeti hilo wamesema kuwa wanaomba radhi ikiwa wamekera mtu yoyote kwa kuchapisha ukurasa huo. Taarifa zaidi zimebainisha kuwa Malalamiko kutoka kwa viongozi wa Kiisilamu yamepelekea Wahariri wa gazeti hilo kuomba radhi, pia nchini Senegal imepiga marufuku usambazaji wa jarida hilo nchini...

Like
262
0
Thursday, 15 January 2015
SERIKALI YASHAURIWA KUANDAA SHERIA YA MIRATHI KWA KUZINGATIA SHERIA ZA DINI, MILA NA DESTURI
Local News

SERIKALI imeshauriwa kuandaa Sheria ya Mirathi kwa kuzingatia na kupitia Sheria za Dini, Mila na Desturi za Watanzania badala ya kuendelea kutumia Sheria namba 36 ya mwaka 1963 ya nchini India ambayo haikidhi Mahitaji ya Watanzania. Akizungumza na EFM Wakili wa Kampuni ya Uwakili ya MEGA PAUL KALOMO amesema kuwa Tanzania haina sheria yake ya Mirathi hali inayopelekea kuwepo na mikanganyiko katika suala la mirathi ambapo imekuwepo ya Dini na Mila ambayo inamkandamiza...

Like
317
0
Thursday, 15 January 2015
WAZIRI NYALANDU AWAKARIBISHA WATALII KUTOKA SAUDI ARABIA KUWEKEZA NCHINI
Local News

  WAZIRI wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa LAZARO NYALANDU amewakaribisha wafanyabiashara kutoka Saudi Arabia kuwekeza katika sekta ya Utalii nchini ambayo ina fursa nyingi za uwekezaji. Mheshimiwa NYALANDU ametoa wito huo kufuatia mazungumzo yake na Mwenyekiti wa Chemba ya Wafanyabiashara ya Saudi Arabia Dokta ABDULRAHMAN AL-ZAMIL yaliyofanyika Riyadh, Saudi...

Like
293
0
Thursday, 15 January 2015