Slider

WIMBI LA VIJANA WASIOKUWA NA AJIRA NI TATIZO LA DUNIA NZIMA
Local News

WIMBI la kuwa na vijana wasiokuwa na kazi limeelezwa kuwa tatizo duniani kote na Serikali zinatakiwa kuliangalia hilo kwa undani na kulitatua. Kauli hiyo imetolewa na Mratibu wa Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini na Mwakilishi wa shirika la maendeleo la Umoja wa Mataifa –UNDP, ALVARO...

Like
330
0
Tuesday, 13 January 2015
WABUNGE WARUMBANA DRC
Global News

mvutano umetokea katika Bunge la Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya wabunge wa upinzani kupinga sheria mpya ambayo ina kipengele kinachotaka uchaguzi wa Rais na wabunge ufanyike baada ya sensa kufanyika. Wapinzani wamesema hatua hiyo haikubaliki kwani hatua hiyo itamfanya Rais wa nchi hiya JOSEPH KABILA kubakia Madarakani hadi mwaka 2016 ambao ni mwaka wa...

Like
267
0
Tuesday, 13 January 2015
GAZETI LA VIBONZO LINATARAJIWA KUCHAPISHA KIBONZO KESHO
Global News

GAZETI la kila Wiki la Vibonzo la CHARLIE HEBDO la Ufaransa toleo la January 14 linatarajiwa kuchapisha Kibonzo cha MTUME MOHAMED S.A.W katika ukurasa wake wa mbele chenye kichwa cha habari kisemacho“YOTE YAMESHASAMEHEWA” Taarifa zaidi zimeeleza kuwa Walioona kibonzo hicho wamesema MTUME MOHAMMAD S.A.W ataonekana ameshikilia bango lililoandikwa “JE SUIS CHARLIE” maneno yenye tafsiri “mimi ni Charlie, yaliyotumika kuonyesha mshikamano, baada ya shambulizi katika ofisi za gazeti hilo Jumatano wiki iliyopita ambapo...

Like
303
0
Tuesday, 13 January 2015
MTOTO MWENYE UMRI WA MWAKA MMOJA AFARIKI BAADA YA KUNYWESHWA POMBE
Local News

MTOTO mwenye umri wa mwaka Mmoja JAPHET MTUI mkazi wa Kijiji cha Msule Wilayani Ikungi amekufa kutokana kunyweshwa Pombe. Kamanda wa Polisi Mkoani Singida THOBIASI SEDOYEKA amethibitisha kutokea kwa kifo hicho baada ya Mtoto huyo kupewa Pombe ya Kienyeji aina ya Mtukuru akiwa na Mama yake MAGDALENA...

Like
460
0
Tuesday, 13 January 2015
MKUU WA WILAYA YA MANYALA ATOA MIEZI MINNE KUKAMILISHA UJENZI WA MAABARA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI
Local News

 MKUU WA MKOA wa Manyara JOEL BENDERA  ametoa miezi Minne kwa Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi na Watendaji wa Halmashauri kuhakikisha wanasimamia ujenzi wa Maabara katika shule za Sekondary. BENDERA ametoa agizo hilo alipofanya ziara ya siku moja kukagua Ujenzi wa Maabara katika Wilaya za Simanjiro na Kiteto na kuzungumza na Wenyeviti wa Vijiji,Madiwani na Watumishi wa Wilaya hizo....

Like
406
0
Tuesday, 13 January 2015
MGONJWA MWENYE SIKU 7 ZA KUISHI AOMBA KUKUTANA NA EMINEM
Entertanment

  Eminem richa ya kuwa na itikadi za kuonyesha hali za ukali na utata kwenye maisha yake lakini pia kwa upande mwingine huenda Eminem ni mtu mwenye huruma pia. Katika kulithibitisha hili rapa huyu alifanya matembezi kwa mmoja wa mashabiki zake ambae anamatatizo ya kansa ya mifupa  Gage Garmo mwenye umri wa miaka 17 ambae kwa mujibu wa madaktari waliokuwa wakimfanyia matibabu wamemueleza kuwa ana wiki moja tu ya kuishi kutokana na matatizo aliyokuwa nayo kiafya  Kama siku tatu zilizopita...

Like
661
0
Tuesday, 13 January 2015
NEW VIDEO: MASIA SANDAKALAWE
Entertanment

Audio imetayarishwa na Dupy pamoja na Fraga katika studio za Uprise music Artist Masia...

Like
546
0
Tuesday, 13 January 2015
PAPA FRANCIS KUWASILI SRI LANKA KESHO
Global News

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Papa FRANCIS anatarajiwa kuwasili nchini Sri Lanka kesho, wiki moja baada ya Rais aliyekuwapo madarakani kwa muda mrefu nchini humo kushindwa katika uchaguzi. Jamii ndogo ya waumini wa madhehebu ya Katoliki nchini humo inatarajia kwamba Papa FRANCIS anaweza kusaidia kuponya majeraha ya vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa miaka 25 nchini...

Like
282
0
Monday, 12 January 2015
JOHN KERRY ANATARAJIWA KWENDA PARIS KWENYE MAZUNGUMZO JUU YA MAKUNDI YENYE ITIKADI KALI
Global News

WAZIRI wa Mambo ya Kigeni wa Marekani JOHN KERRY amesema anatarajia kwenda mjini Paris wiki hii kwa mazungumzo ya kupambana na makundi   yenye itikadi kali yanayotumia nguvu. Bwana KERRY atakuwa nchini Ufaransa siku ya Alhamis na...

Like
363
0
Monday, 12 January 2015
KOVA: ONGEZEKO LA AJALI DAR ZINASABABISHWA NA PIKIPIKI
Local News

ongezeko la ajali za barabarani jiji la Dar es salaam  zinasababishwa na madereva wa Pikipiki kwa kutozingatia Sheria na taratibu za usalama barabarani. Kamanda KOVA amesema ongezeko hilo la ajali ni kithibitisho kuwa madereva hao hawana mafunzo ya uendeshaji wa vyombo...

Like
253
0
Monday, 12 January 2015
DK. SHEIN AONGOZA MAELFU YA WATANZANIA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MAPINDUZI
Local News

 RAIS WA ZANZIBAR na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dokta ALLY MOHAMMED SHEIN leo amewaongoza maelfu ya Watanzania na Viongozi mbalimbali akiwemo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta JAKAYA MRISHO KIKWETE katika Maadhimisho ya Miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Katika Maadhimisho hayo ambayo yamefanyika Uwanja wa Amani mjini Zanzibar Dokta SHEIN amezungumzia mafanikio yaliyopatikana nchini humo katika kipindi cha miaka minne ikiwa ni pamoja na Ukuaji wa Uchumi, Ongezeko la Wataalamu wa Afya na kukua kwa kiwango...

Like
252
0
Monday, 12 January 2015