Slider

HILLARY CLINTON AKATAA KUSHIRIKI MDAHALO DHIDI YA SANDERS
Local News

MGOMBEA urais wa Marekani anayeongoza katika kinyang’anyiro cha kumteua mgombea wa chama cha Democratic Hillary Clinton amekataa kushiriki mdahalo wa nne dhidi ya mpinzani wake Bernie Sanders. Maafisa wake wa kampeni wamesema, Bi Clinton ameamua kuwa ni vyema kutoshiriki mdahalo huo na badala yake akabiliane na mgombea mtarajiwa wa chama cha Republican Donald Trump. Awali Bi. Clinton alikuwa amekubali kushiriki mdahalo wa mwisho kabla ya mchujo muhimu katika jimbo la California na katika majimbo mengine matano wiki mbili...

Like
278
0
Tuesday, 24 May 2016
WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI WATAKIWA KUSHIRIKIANA VYEMA
Local News

WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wametakiwa kushirikiana vyema ili kuunda nguvu ya pamoja itakayosaidia kuharakisha maendeleo ya nchi kwa ufanisi zaidi.   Wito huo umetolewa na Chama cha Mapinduzi Zanzibar na kusema kuwa utendaji mzuri wa viongozi hao ndani ya Baraza hilo ndiyo utakaoweza kukirahisishia kazi Chama hicho katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.   Akifafanua suala hilo, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai amesema ushirikiano baina yao pia utaongeza ufanisi wa kusimamia vyema shughuli za baraza kulingana na...

Like
279
0
Tuesday, 24 May 2016
CHAWATA SERIKALI KUSIMAMIA SHERIA NA KANUNI ZA USALAMA BARABARANI
Local News

CHAMA cha Walemavu Tanzania-CHAWATA-kimeitaka Serikali kupitia kikosi cha usalama barabarani kusimamia sheria na kanuni za usalama barabarani ili kunusuru vijana wanaopata ulemavu kupitia ajali zinazotokana na usafiri wa bodaboda.   Akizungumza na EFM Mweyekiti wa CHAWATA John Mlabu amesema tangu kuanza kwa biashara ya usafiri wa bodaboda Nchini kumekuwa na ongezeko kubwa la watu wenye ulemavu ambao baadae wanakuwa tegemezi kwa Taifa badala ya kuwa ni wazalishaji.   Aidha amewataka madereva wa magari pamoja na wa bodaboda kufuata...

Like
432
0
Tuesday, 24 May 2016
FIFA YAMTIMUA NAIBU KATIBU
Slider

Shirikisho la soka duniani Fifa limemtimua naibu katibu wake Markus Kattner kwa kujihusisha na ukiukwaji wa matumizi ya siri ya mamilioni ya dola. Kattnet raia wa Ujerumani mwenye umri wa miaka 45 alikua akiitumikia nafasi hiyo baada ya aliyekua katibu Jerome Valcke kutimuliwa kazi kutokana na kashfa za rushwa. Kufutwa kazi kwa kiongozi huyu kulikuja mara moja baada ya bodi ya uchuguzi ya ndani ya Fifa kugundua kulikua na ukiukwaji na uvunjaji wa majukumu yake. Kulikuwa na ushahidi wa kutosha...

Like
310
0
Tuesday, 24 May 2016
KIBOKO ALIYETISHIA MAISHA YA WATU AULIWA KIJIJI CHA MAGUNGA, IRINGA
Local News

Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela aliongoza kikosi cha wananchi na maafisa wa wanyama pori kumsaka Kiboko aliyevamia mazao ya wananchi na kutishia maisha ya wananchi hao wa kijiji cha Magunga tarafa ya Kiponzelo. Kiboko huyo alijificha kwenye eneo ambapo wananchi wa kijiji hicho waliogopa kutembea kufanya shughuli za kilimo. mnamo saa 10 na nusu jioni kiboko huyo alipatikana na kuuawa na baadae wananchi kugawiwa nyama yake. Ilikuwa kazi ngumu kumtoa kwenye dimbwi alilo angukia baada ya kuuawa kwa...

Like
510
0
Tuesday, 24 May 2016
MANCHESTER UNITED YAMFUTA KAZI VAN GAAL
Slider

Mkufunzi wa kilabu ya Manchester United Louis van Gaal amefutwa kazi kama mkufunzi wa klabu ya Manchester United ,huku aliyekuwa mkufunzi wa Chelsea Jose Mourinho akitarajiwa kuchukua mahala pake. Raia huyo wa Uholanzi anaondoka baada ya kukamilisha miaka miwili ya kandarasi yake kati ya mitatu.Kitengo cha habari za michezo cha BBC Sport kiliripoti siku ya Jumamosi kwamba ushindi wa United wa kombe la FA dhidi ya Crystal palace utakuwa mechi yake ya mwisho akiwa mkufunzi. Uteuzi wa Mourinho unatarajiwa kuthibitishwa baada...

Like
291
0
Monday, 23 May 2016
IRAQ YATANGAZA VITA KUKOMBOA FALLUJAH
Global News

WAZIRI Mkuu wa Iraq Haider al-Abadi ametangaza operesheni kubwa ya kijeshi ya kuukomboa mji wa Fallujah kutoka kwa wapiganaji wa Islamic State. Kundi hilo liliuteka mji huo miaka miwili iliyopita. Akiwa ameandamana na maafisa wakuu wa jeshi, Bwana al-Abadi ametoa tangazo hilo moja kwa moja kupitia televisheni na kusema bendera ya Iraq karibuni itapepea katika mji huo ambao upo takjriban kilomita 50 magharibi mwa mji wa...

Like
308
0
Monday, 23 May 2016
MUUNGANO WA VYAMA UPINZANI KENYA WATANGAZA KUENDELEA NA MAANDAMANO
Global News

MUUNGANO wa vyama vya upinzani nchini Kenya-CORD, umetangaza kuendelea na maandamano ya upinzani leo Jumatatu, kama ilivyopangwa ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kutaka kutupiliwa mbali kwa tume ya uchaguzi nchini humo, IEBC, kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Maandamano kama hayo yaliyofanyika Juma liliopita, yaliambatana na ghasia ambapo polisi walishutumiwa kwa vitendo vya...

Like
260
0
Monday, 23 May 2016
TANGA: WAJASIRIAMALI WADOGO WAIOMBA OSHA KUTOA SEMINA YA MAFUNZO KILA MARA
Local News

WAJASIRIAMALI Wadogo Jijini Tanga wameiomba wakala wa afya na usalama pahala pa kazi (OSHA) kutoa semina ya mafuzo kila mara hapa Nchini.   Wakizungumza na EFM RADIO baada ya kumalizika semina hiyo jana atika ukumbi wa mkuu wa mkoa, baadhi ya wajasiriamali hao wameishukuru OSHA kwa kutoa mafunzo hayo ambayo yatasaidia kwa kiasi kikubwa kuweza kujikinga na madhara yanayoweza kuzuilika atika jamii.   Kwa upande wake AKWILINA KATUMBA ambaye ni mtendaji mkuu wa wakala wa afya na usalama pahala pa kazi, amesema kuwa madhumuni makubwa...

Like
380
0
Monday, 23 May 2016
DOKTA MAKONGORO MAHANGA ASIKITISHWA NA TAARIFA YA KUZUSHIWA KIFO
Local News

ALIYEKUWA Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana,katika serikali ya awamu ya nne, Dokta  Makongoro Mahanga, amesema amesikitishwa na uvumi wa taarifa kuwa amefariki dunia. Akizungumza kwa njia ya simu na Efm Habari, Dokta Mahanga amesema hata yeye hajui ni nani ametoa taarifa hizo ambazo siyo za kweli na amewaomba watanzania kuitumia vyema mitandao badala ya kuibuka na taarifa ambazo hazina...

Like
329
0
Monday, 23 May 2016
WAJUMBE 5000 KUKUTANA COPENHAGEN KUHUDHURIA MKUTANO WA MASUALA YA WANAWAKE
Global News

ZAIDI  ya wajumbe 5,000 kutoka nchi 150 wamewasili mjini Copenhagen, Denmark kuhudhuria mkutano wa wiki nzima kuhusu masuala ya wanawake. Mkutano huo unoatajwa kuwa mkubwa zaidi kuwahi kuandaliwa katika kipindi cha muongo mmoja kujadili masuala ya wanawake kama afya, haki na maslahi ya wanawake na wasichana umeandaliwa na shirika la kimataifa la kutetea maslahi ya wanawake la Wellbeing. Mkutano huo unaanza leo hadi Alhamisi wiki hii na  Miongoni mwa ajenda za mkutano huo ni kuhusu jinsi ya kupunguza vifo vya...

Like
331
0
Monday, 16 May 2016