Slider

EBOLA: SIERRA LEONE YAPIGA MARUFUKU MIKUSANYIKO
Global News

SERIKALI YA SIERRA LEONE imetangaza siku tatu za marufuku Kaskazini mwa taifa hilo, ili kuruhusu jitihada za kukabiliana na kuenea zaidi kwa ugonjwa hatari wa Ebola. Msemaji wa Serikali amesema kuwa maduka na masoko yatafungwa na hakuna magari ya abiria au pikipiki zitakazokubaliwa kupita kwenye barabara za eneo hilo. Sherehe Makanisa kuadhimisha sherehe za siku ya Krismasi pia zimepigwa...

Like
272
0
Thursday, 25 December 2014
PAPA FRANCIS AWATAKA WAKRISTU DUNIANI KUMRUHUSU MUNGU KUINGIA KATIKA MAISHA YAO
Global News

KIONGOZI WA KANISA Katoliki Duniani Papa FRANCIS, amewataka Wakristu duniani kumruhusu Mungu kuingia katika maisha yao kusaidia kupambana na giza na rushwa. Papa FRANCIS ametoa wito huo wakati akiongoza Ibada ya Mkesha wa Krismas, iliohudhuriwa na Maelfu ya Waumini katika kanisa la mtakatifu Petero mjini Rome. Hiyo ni Krismas ya pili kwa Papa FRANCIS , aliechaguliwa mwaka uliyopita na raia wa kwanza asiyetoka Bara la Ulaya katika kipindi cha Miaka 1,300...

Like
243
0
Thursday, 25 December 2014
WASICHANA ZAIDI YA 100 WAPOKELEWA KATIKA KITUO CHA SERENGETI TUNAWEZA
Local News

WASICHANA zaidi ya 100 wamepokelewa katika kituo cha Mpango Serengeti Tunaweza Bila Ukatili wa Kijinsia,HIV Aids na Ukeketaji. Mratibu wa Mpango huo RHOBI SAMWEL amethibitisha hilo kwa njia ya Simu wakati akiongea na EFM Wilayani Serengeti mkoani Mara. Amesema Wasichana hao wamepokelewa kuanzia Desember 6 mwaka huu ambapo wamekimbia kukwepa msimu wa Ukeketaji ambao hufanyika kila...

Like
279
0
Thursday, 25 December 2014
VIONGOZI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA USHIRIKIANO NA KUACHA ITIKADI ZA KISIASA
Local News

 VIONGOZI nchini wametakiwa kufanya kazi kwa ushirikiano na kuacha Itikadi za Kisiasa kwani wananchi wanahitaji kuona viongozi wanatatua kero zinazowakabili katika maeneo yao. Akizungumza na EFM leo Mwenyekiti mpya wa Mtaa wa Mtambani Kata ya Vingunguti kupitia Chama Cha Wananchi -CUF MOHAMED MTUTUMA amesema kuwa kumekuwa na tabia ya baadhi ya viongozi kutoshirikiana na viongozi wa vyama vingine na kujisahau kuwa wanapaswa kuwatumikia wananchi pasipo kuangalia Itikadi...

Like
260
0
Thursday, 25 December 2014
FAMILIA YA 93.7 EFM INAWATAKIA HERI YA KRISMAS
Slider

          Hawa ni baadhi ya wafanyakazi wa 93.7 efm kwa pamoja tunakutakia heri ya Krismas, Asante kwa kuendelea kusikiliza efm kwetu muziki...

Like
612
0
Thursday, 25 December 2014
GIANFRANCO ZOLA ATEULIWA KUWA KOCHA MPYA WA CAGLIARI
Slider

Mchezaji wa zamani wa klabu ya Chelsea na timu ya taifa ya Italy, Gianfranco Zola ameteuliwa kuwa kocha mpya wa klabu ya Cagliari kwa kuchukua nafasi ya Zdenek Zeman. Uongozi wa Cagliari umefikia maamuzi hayo baada ya kuona matokeo mabovu chini ya kocha Zeman aliyewaacha katika nafasi ya 17 ndani ya ligi kuu nchini Italy (Serie A). Zola aliyewahi kuvinoa vikosi mbalimbali kama West Ham na watford anataraji kuanza kukinoa kikosi cha Cagliari mnamo siku ya jumapili ya tarehe 28...

Like
435
0
Thursday, 25 December 2014
DONDOO ZA MCHEZO WA CRICKET
Slider

Nahodha wa timu ya taifa ya Cricket, Micahel Clark amepata matumaini mapya ya kurudi uwanjani mapema kabla ya michuano ya kombe la dunia baada ya madaktari kumfanyia upasuaji wa misuli. Clark aliumia katika mchezo dhidi ya timu ya taifa ya India huko Adelade kwa timu ya taifa ya Australia kuibuka na ushindi wa rani 48 kwac sifuri. Australia itaanda michuano ya kombe la dunia kwa kushirikian na taifa la New Zealand kuanzia tarehe 14 mwezi wa pili mwaka 2015. Micahel...

Like
351
0
Thursday, 25 December 2014
DRC: WATU KADHAA WANAHOFIWA KUFA BAADA YA BOTI KUZAMA
Global News

Maafisa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamesema watu kadhaa wanahofiwa kufariki baada ya boti kuzama kwenye Mto Kongo. HUBERT MOLISO waziri katika Mkoa wa Kaskazini wa Orientale, amesema kuwa abiria walikuwa wamelala wakati ajali hiyo imetokea karibu na mji wa Lombolombo. Watu wasiopungua 100 wamenusurika kifo huku watu Wanne wamefariki...

Like
318
0
Wednesday, 24 December 2014
IS YAANGUSHA NDEGE YA KIJESHI SYRIA
Global News

Kundi linalojiita Dola la Kiislamu Islamic State-IS, limeiangusha ndege ya kivita katika anga ya Syria ambayo, kwa mujibu wa shirika la kuchunguza Haki za Binadamu nchini humo, ni ya Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani. Shirika hilo lenye makao nchini Uingereza limesema IS imeidungua ndege hiyo karibu na mji wa Raqqa ulipo Kaskazini Mashariki mwa Syria, kwa kutumia kombora la kudungulia ndege. Taarifa zaidi kutoka shirika hilo zimeeleza kuwa rubani wa ndege hiyo amekamatwa.  ...

Like
450
0
Wednesday, 24 December 2014
TRL YASITISHA SAFARI ZA TRENI YA UBUNGO
Local News

SHIRIKA la Reli la Tanzania TRL limetoa tamko la kuwajulisha abiria wote wanaotumia treni ya mjini ubungo kuwa treni hiyo imesisitisha huduma za usafiri kuanzia jana tarehe 23-29 december mwaka huu kutokana na matatizo yaliyojitokeza kwenye moja ya injini ya treni hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Afisa uhusiano wa Shirika la Reli la Tanzania TRL MOHAMED MAPONDELA amesema wanaweza kutoa huduma ya usafiri kwa injini moja ila wameona bora wazifanyie matengenezo ili warejeshe huduma yao...

Like
385
0
Wednesday, 24 December 2014
ESCROW: SHIRIKISHO LA WANAFUNZI ELIM YA JUU LAMPONGEZA JK
Local News

SHIRIKISHO la wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini limempongeza Rais JAKAYA KIKWETE kwa hotuba nzuri maamuzi sahihi aliyoyachukuwa dhidi ya watuhumiwa wa ukwapuaji wa mabilioni ya pesa kupitia akaunti ya Tegeta Escrow. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam Katibu Mtendaji Mkuu wa Shirikisho hilo CHRISTOPHER NGUBIAGAI amesema Hotuba ya Rais pamoja na maamuzi yake vimelenga kuamsha fikra kwa vijana na wasomi kutambua maadili ya viongozi na nini kiongozi anapaswa kufanya kwa jamii. NGUBIAGAI amesema...

Like
433
0
Wednesday, 24 December 2014