Slider

WAJERUMANI 550 KUJIUNGA NA WANAMGAMBO WENYE ITIKADI KALI SYRIA NA IRAQ
Global News

MKUU WA SHIRIKA la kitaifa la ujasusi nchini Ujerumani HANS GEORGE MAASSEN amesema Maafisa wa Usalama nchini humo wanawafahamu watu 550 kutoka Ujerumani ambao wamesafiri kuelekea Syria na Iraq kujiunga na makundi ya wanamgambo wenye itikadi kali na kiasi cha watu sitini kati yao wameshakufa. Akihojiwa na gazeti linalochapishwa kila Jumapili la Welt am Sontag, Bwana MAASSEN amesema watu hao Sitini wameuawa au kujitoa Muhanga katika mashambulizi. Maafisa wa usalama Ujerumani na nchi nyingine za bara la Ulaya wamekuwa na...

Like
561
0
Monday, 24 November 2014
WANANCHI WA TUNISIA KUFANYA MAAMUZI MAGUMU LEO
Global News

WANANCHI wa Tunisia leo wanapiga kura katika uchaguzi wa kwanza wa Rais tangu kutokea vuguvugu la mapinduzi mwaka 2011. Mapinduzi hayo yalisababisha vuguvugu hilo la mabadiliko katika nchi nyingine za Kiarabu. Miongoni mwa wagombea katika kinyang’anyoro hicho ni mwanasiasa mkongwe Beji Essabsi, aliyewahi kushika nafasi muhimu wakati wa utawala kabla ya kutokea mapinduzi. Bwana Beji anayepewa nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi huo ameahidi kurejesha kiwango cha juu cha utulivu wa kisiasa na kiuchumi....

Like
347
0
Monday, 24 November 2014
MANISPAA YA MOSHI YAHITAJI MAABARA 13
Local News

VYUMBA 13 vya Maabara ya Masomo ya Sayansi, Vinahitajika katika Shule za Sekondary kwenye Halmashauri ya Manispaa Moshi, mkoani Kilimanjaro. Akizungumza na Waandishi wa Habari Ofisini kwake Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Moshi SHAABAN NTARAMBE ameeleza kuwa vyumba hivyo vya Maabara vitakamilika na kufikisha idadi ya Maabara 42 zinazohitajika katika Manispaa hiyo. Amebainisha kuwa kwa sasa ni Maabara 29 zimekamilika hivyo kufanya upungufu wa maabara...

Like
814
0
Monday, 24 November 2014
WAKAZI WA NGARENARO WAMO HATARINI KUPATA MAGONJWA
Local News

utupaji watoto Wachanga umekithiri katika mto Ngarenaro jijini Arusha hali inayohatarisha magonjwa kwa watumiaji wa Maji yanayotoka katika Mto huo. Kutokana na hali hiyo wakazi waliopo karibu na mto huo wamelazimika kufanya usafi wa mazingira mara kwa mara. Mkazi wa eneo la Kambi ya Fisi ambako pia mto huo unapita MWAJUMA MBAGA amesema wanalazimika kila mtu kuwa mlinzi wa mwenzake katika kuulinda mto huo. Kazi ya kuusafisha mto huo inafanywa na wakazi wa eneo hilo kwa kushirikiana na Jumuiya ya...

Like
318
0
Monday, 24 November 2014
POLISI KENYA WALINDA BARABARA MOMBASA
Global News

POLISI waliojihami wanaendelea kushika doria katika barabara za mji wa Mombasa Pwani ya Kenya hata baada ya maombi ya Ijumaa Hii ni baada ya vurugu kati ya polisi hao na vijana baada ya kufanya msako katika baadhi ya misikiti mjini humo. Misikiti ambayo ilifanyiwa msako ambako inaaminika mafunzo ya itikadi kali za kidini inafanyika, ni Swafaa na Minaa. Polisi wanadai kuwa misikiti hiyo hutoa mafunzo ya itikadi kali ikilenga kuwaunga mkono wapiganaji wa kiisilamu nchini Somalia Al Shabaab....

Like
285
0
Friday, 21 November 2014
11 WAFARIKI KWA KUKANYAGANA ZIMBABWE
Global News

WATU 11 wamefariki katika mkanyagano nchini Zimbabwe baada ya ibada ya kidini kufanyika katika uwanja wa soka. Polisi wanasema kuwa watu wanne wamefariki katika uwanja huo ulio mjini Kwekwe wakati wengine saba wakifariki hospitalini. Mkanyagano huo ulitokea wakati maelfu ya waumini wakikimbilia kuondoka uwanjani humo baada ya ibada iliyoongozwa na mhubiri wa kipentekoste Walter Magaya...

Like
349
0
Friday, 21 November 2014
MACHALI AITAKA SERIKALI KUHESHIMU MISINGI YA UTAWALA BORA
Local News

KAMBI RASMI ya Upinzani Bungeni imeishauri serikali kuwashirikisha kikamilifu wananchi masuala mbalimbali muhimu ili wawe na uelewa wa kutosha kuhusu masuala hayo kabla ya kuyaridhia moja kwa moja. Ushauri huo umetolewa leo Bungeni mjini Dodoma na msemaji wa kambi ya upinzani kupitia wizara ya uchukuzi mheshimiwa MOSES MACHALI wakati akichangia muswada wa azimio la bunge kuridhia itifaki ya kuzuia vitendo vya uharamia dhidi ya miundombinu ya kudumu iliyojengwa chini ya bahari ya mwambao wa bara ya mwaka 1988 iliyowasilishwa na...

Like
384
0
Friday, 21 November 2014
TACAIDS KUADHIMISHA SIKU YA UKIMWI NJOMBE
Local News

  TUME ya kudhibiti Ukimwi-TACAIDS inatarajia kuadhimisha siku ya Ukimwi duniani ambapo mwaka huu maadhimisho hayo Kitaifa yatafanyika Mkoani Njombe. Maadhimisho hayo yatakayoanza Novemba 24 hadi Disemba Mosi mwaka huu, yamebeba kauli mbiu isemayo Tanzania bila maambukizo , ubaguzi na Unyanyapaa inawezekana. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Mkurugenzi wa Sera, Mipango ya utafiti wa Tume hiyo Dokta Raphael Kalinga, amesema asilimia 99 ya watanzania wamesikia kuhusu Ukimwi na kati yao asilimia 60 tu ndiyo wanaelewa....

Like
327
0
Friday, 21 November 2014
ALICHOKISEMA SSEBO KWENYE MTANDAO WA TWITTER
Slider

Ssebo ambae ni mtangazaji wa kipindi cha JOTO LA ASUBUHI KUPITIA 93.7 EFM kipindi kinachoruka kila jumatatu hadi ijumaa saa kumi na mbili kamili hadi saa tatu asubuhi “I love Africa, in Nigeria the police stopped parliament from debating on a serious issue, In Tanzania just last month a parliamentary committe ordered the arrest of TPDC officials, and now the Bunge is saying they shouldn’t honour a court order! RIP separation of...

Like
405
0
Friday, 21 November 2014
KERRY KUWAKILISHA MAREKANI KUZUNGUMZIA NYUKLIA IRAN
Global News

WAZIRI WA MAMBO ya Nje wa Marekani, JOHN KERRY, amewasili mjini Vienna, Austria, kushiriki Kongamano la Mataifa Sita yenye nguvu Duniani na Iran juu ya mpango wa nyuklia wa Iran. Msemaji wa Wizara hiyo, JENIFFER PSAKI, amesema bado haijafahamika lini Waziri huyo ataondoka Vienna kurejea Washington, huku timu za wapatanishi zikipigania kupatikana kwa makubaliano na Iran kabla ya muda wa mwisho siku ya Jumatatu ijayo. Taarifa zaidi zimeleeza kuwa ikiwa makubaliano hayo yatafikiwa, mkwamo wa Miaka 12 kwenye mpango wa...

Like
309
0
Friday, 21 November 2014
REPUBLICAN YATISHIA KUCHUKUA HATUA DHIDI YA OBAMA
Global News

RAIS BARACK OBAMA amelihutubia taifa kueleza mageuzi makubwa katika mfumo wa uhamiaji wa Marekani. Amesema atachukua hatua za kikatiba kutoa ruhusa ya muda kisheria kwa takriban wahamiaji haramu Milioni Tano. OBAMA amesema nchi hiyo imejengwa kwa uhamiaji na ameshutumu wanachama wa Republican kwa kuzuia mageuzi hayo pia Wanachama hao wametishia kuchukua hatua. Amebainisha kuwa watakaohalalishwa watalazimika kulipa kodi na wasiwe na rekodi ya uhalifu hata hivyo amesema urejeshwaji makwao kwa watu wenye makosa utaharakishwa....

Like
290
0
Friday, 21 November 2014