Slider

OSCAR TAVERAS AFARIKI DUNIA KWA AJARI YA GARI
Slider

Oscar mwenye umri wa miaka 22 ambae ni nyota iliyokuwa ikichukia kwa kasi kwenye ulimwengu wa Baseball mzaliwa wa Dominican Republic, amaefariki yeye pamoja na mpenzi wake  Edilia Arvelo, mwenye umri wa miaka 18. kwa mujibu wa msemaji wa timu ambayo Oscar alikluwa akiichezea enzi za uhai wake amesema ajari hiyo imetokea mara baada ya gari alilokuwa akieendesha mchezaji huyo kuacha njia na kupoteza uelekeo                       kupitia mtandao wa twitter moja ya...

Like
544
0
Monday, 27 October 2014
MADEREVA WA BODABODA WAIOMBA SERIKALI KUWATENGEA MAENEO MAALUMU
Local News

MADEREVA wa Pikipiki maarufu Bodaboda, wameilalamikia Serikali kwa kutowatengea maeneo maalumu ya kupaki pikipiki zao katika kituo kipya cha mabasi cha Ubungo kilichopo Kata ya Sinza C. Wakizungumza na Efm Jijini Dar es salaam Madereva hao wamesema kuwa ujio wa kituo hicho imekuwa ni kero kwani hawana sehemu maalumu ya kupaki na wamekuwa wakiondolewa na vijana wa Ulinzi Shirikishi na kutozwa pesa isio kuwa na kiwango na watu wasiojulikana. Wamebainisha kuwa inapaswa Serikali iwatambue na kuwajali kuwa nao wana mchango...

Like
357
0
Monday, 27 October 2014
BOKO HARAM LATEKA NYARA WATOTO
Local News

WATOTO 30 wametekwa nyara na watu wanaodhaniwa kuwa wapiganaji wa Boko Haram. Watoto hao wametekwa nyara kaskazini mashariki mwa Nigeria. Tukio hili linakuja siku chache baada ya kundi hilo kuwateka wanawake na wasichana kaskazini mashariki mwa nchi hiyo. Hadi sasa wasichana wa shule 200 waliotekwa na wanamgambo hao miezi tisa iliyopita bado hawajulikani walipo....

Like
374
0
Monday, 27 October 2014
NEC KUTUMIA TEKNOLOJIA MPYA KWENYE MABORESHO YA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Local News

KUFUATIA Tume ya Taifa ya Uchaguzi -NEC-kutangaza kuanza kwa Maboresho ya Daftari la Kudumu la Wapiga kura kwa Kutumia Tekinolojia mpya, Mbunge wa Mchinga kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi -CCM SAID MTANDA amesisitizia Tume kuzingatia vigezo sahihi katika maboresho ya daftari hilo. Akizungumza na EFM kwa njia ya simu amesema umuhimu wa kuboresha Daftari hilo haupo tu katika kuongeza idadi ya wapiga kura bali pia kuondoa watu ambao wamepoteza sifa za kupiga kura kama waliofariki na watu ambao wanatumikia...

Like
365
0
Monday, 27 October 2014
SIKILIZA MAJIBU YA BABU TALE KUFUATIA TUHUMA ZA DIAMOND KUVAA SARE ZA JESHI
Entertanment

Baada ya diamond na meneja wake babu tale kufanyiwa mahojiano na jeshi la polisi katika kituo cha  Oystersbay haya ndio majibu ya babu tale wakati anahojiwa katika kipindi cha joto la asubuhi kwenye kipengere cha KABALI kinachoruka kila ijumaa kipindi hiki kinaongozwa na Sebo pamoja na Kanki...

Like
655
0
Friday, 24 October 2014
DONDOO ZA LIGI KUU YA UINGEREZA
Slider

Katika ligi kuu ya England mechi 12 zimechezwa usiku wa kuamkia leo ambapo Tottenham wamewabamiza bila huruma Asteras Tripolis kwa magoli 5 -1. Ilikuwa ni hat-trick ya Harry Kane ambayo imeisaidia Tottenham kuwabamiza wagiriki hao. Wakati Evarton imewatunishia misuli Wafaransa, Mpaka dakika ya 90, si Lilli wala Everton aliyechezea nyavu za mwenzie. Mchezo huo uliotanguliwa na mapambano kati ya Polisi na Mashabiki wa Evarton ukaisha bila bila. Divock Okoth Origi mchezaji kinda ameonyesha mchezo mzuri katika mechi hiyo, Divock aliyezaliwa mwaka...

Like
416
0
Friday, 24 October 2014
HOFU YATANDA MAREKANI BAADA YA EBOLA KUINGIA NEWYORK
Global News

Daktari wa Marekani aliyekuwa akiwahudumia wagonjwa wa Ebola Nchini Guinea amepimwa na kukutwa na virusi vya ugonjwa huko katika hospitali  ya Bellevue mjini Newyork. Dr Craig Spencer ambaye ni mmoja kati ya madaktari wasio na mipaka alianza kujisikia maumivu na homa siku chache tu baada ya kurejea Marekani akitokea Afrika Magharibi. Siku ya Alhamisi wiki hii Craig alipelekwa hospitali kwaajili ya vipimo na kisha akatengwa kwa uchunguzi zaidi wa afya yake. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari Meya wa mji...

Like
342
0
Friday, 24 October 2014
CHRIS BROWN AZIDI KUWEKWA KIKAANGONI KWENYE KESI YA RIHANA
Entertanment

    Richa ya ya kesi nyingine alizonazo Cris Brown ambae kwa hivi sasa kumekuwa na malalamiko kwamba akionekana sehemu na kundi lake basi lazima itokee fujo kama si kuumizana katiaka eneo hilo. kufuataia hali hiyo mtandao wa Tmz ulilipoti kwamba mama wa msanii huyo anahofu huenda akampoteza mwanae kufuatia kujihusisha na makundi ya wahuni kitendo ambacho kilimkasilisha saana Cris Brown. lakini siku ya jumatano msanii huyo alifikishwa tena mahakamani na kuongezewa muda wa kufanya shughuri za kijamii kama sehemu...

Like
527
0
Friday, 24 October 2014
TANZANIA KUUKABILI UMASIKINI VIJIJINI
Local News

WAKATI Taarifa ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa inaonyesha ongezeko la watu wanaoishi katika umaskini  Kusini mwa Jangwa la Sahara Afrika, Tanzania imetaka utekelezaji wa Malengo Mapya ya Maendeleo Endelevu baada ya mwaka 2015 ujielekeze katika kuukabili Umasikini wa Vijijini. Muwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi TUVAKO MANONGI, ameeleza hayo wakati akichangia majadiliano ya Taarifa ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu utekelezaji wa mwongo wa Pili wa utokomezaji Umaskini mwaka – 2008-2017. Katika...

Like
316
0
Thursday, 23 October 2014
WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AZINDUA JARIDA LA KIMATAIFA LA FIRST
Local News

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA amezindua jarida la Kimataifa la FIRST ambalo limesheheni taarifa za kuitangaza Tanzania kwa wadau wa nchi mbalimbali duniani huku likielezea hatua mbalimbali za ustawi kwa miaka 50 tangu nchi ipate uhuru. Uzindusi huo umefanyika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania jijini London, Uingereza ambako pia Waziri Mkuu amekabidhiwa nakala ya kwanza ya toleo la sasa ambayo imewekwa kwenye jalada. Akizungumza katika uzinduzi huo, Waziri Mkuu amebainisha kuwa, Serikali ya Tanzania imepata fursa ya kujinadi kwa watu maarufu...

Like
387
0
Thursday, 23 October 2014
IGGY AZALEA NA BOYFRIEND WAKE NICK YOUNG KUTUMIKA KWENYE TANGAZO JIPYA
Entertanment

Mbali na drama za rapa huyu wa kike Iggy Azalea mwenye asili ya Australia bado ana kila sababu ya kutabasamu kufuatia headlines za mafanikio anazoziweka kwenye tasnia ya burudani. Hivi karibuni Iggy azale na mpenzi wake Nick Young wamepitishwa kutumika kwenye picha ya tangazo la kampeni ya Forever 21‘s holiday . Akiongea na watu mara baada ya kupiga picha hizo Nick Young ambae ni mchezaji wa mpira wa kikapu katika ligi ya Nba huko marekani ameelezea furaha yake kupiga picha hizo...

Like
306
0
Thursday, 23 October 2014