JESHI LA ZIMA MOTO LAAJIRI WAFANYAKAZI 400

JESHI LA ZIMA MOTO LAAJIRI WAFANYAKAZI 400

Like
385
0
Wednesday, 12 November 2014
Local News

Katika kupambana na tatizo la upungufu wa Wafanyakazi unaolikabili Jeshi la Zima Moto na Uokoaji nchini, Serikali imeajiri zaidi ya Wafanyakazi 400 wanaotarajia kumaliza kozi Maalum ya Jeshi na kusambazwa vituoni Novemba 14.

Akizungumza na EFM leo ofisini kwake Kamishna Msaidizi wa Jeshi hilo upande wa Elimu kwa Umma MIRAJI KILLO amesema jeshi limekuwa na changamoto nyingi zinazolifanya lishindwe kufanya kazi kwa ufanisi ikiwemo changamoto ya wafanyakazi ambayo Serikali imeanza kuifanyia kazi kwa kuajiri wafanyakazi wapya

Comments are closed.