MAKONDA NA MKEWE WAPATA MTOTO WA KIUME

MAKONDA NA MKEWE WAPATA MTOTO WA KIUME

Like
664
0
Tuesday, 17 July 2018
Local News

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda na mkewe wamefanikiwa kupata Mtoto wa kiume, ambaye wamempa jina la Keagan.

 

Kupitia katika Ukurasa wake wa Instagram, Makonda amemshukuru Mungu kwa zawadi hiyo ya pekee na kuandika “Mungu wewe ni waajabu tena unatenda kwa wakati wako. Asante kwa zawadi ya mtoto wa kiume, Keagan P Makonda.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *