Mashabiki wa Soka Waipokea Timu ya Ufaransa Kifalme

Mashabiki wa Soka Waipokea Timu ya Ufaransa Kifalme

Like
537
0
Tuesday, 17 July 2018
Local News

MASHABIKI wa soka walijipanga katika mtaa mashuhuri jijini Paris uitwao Champs-Elysees jana na kuipokea kifalme timu ya soka ya nchi hiyo iliyobeba Kombe la Dunia nchini Urusi baada ya kuishinda timu ya  Croatia.

Mapokezi hayo yaliyokuwa ya kifalme yalipambwa na kina aina ya shamra akiwemo rais Emmanuel Macron na mkewe.  Miongoni mwa taswira kubwa zaidi ilikuwa ni rangi za taifa hilo ambazo zilionekana kutawala macho ya kila mtu — nyeupe, bluu na nyekundu.

Paul Pogba holds the Jules Rimet trophy aloft with France's first lady Brigitte Macron amid the French celebrations in Paris

Paul Pogba akiwa na Kombe la Dunia lijulukanalo kama Jules Rimet, akiwa na Brigitte Macron, mke wa Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa jijini Paris.

(L-R) Kylian Mbappe, FFF president Noel Le Graet, assistant coach Guy Stephan and head coach Didier Deschamps wave

French President Emmanuel Macron (centre) in the middle of the celebrations as France celebrate at the presidential palace

The France squad soak up the party atmosphere atop the team bus as they paraded down the Champs-Elysees avenue

Red, white and blue flares are set off in the crowd as the French national team bus heads down the Champs-Elysees

A plume of red, blue and white smoke is left by Patrouille de France jets as they fly over the Champs-Elysees in Paris

Ndege ‘zikimwaga’ rangi nyekundu, nyeupe na bluu ambazo ndizo rangi ya bendera ya Ufaransa.

France's squad celebrated at the French presidential palace as they toasted their World Cup success back on home soil

Timu ikiwa Ikulu ya Ufaransa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *