MASWALI NA MAJIBU YA MATONYA KWENYE KABALI

MASWALI NA MAJIBU YA MATONYA KWENYE KABALI

Like
329
0
Friday, 27 November 2015
Entertanment
  1. kuhusu kuandikiwa ngoma na Tunda

Matonya:  Tunda ni mdogo wangu nimemfundisha muziki

  1. Kuhusu ulevi wa kupindukia

Matonya: Mimi ni mlevi ila sio wa kutupwa na kwa sasa nimeacha baada ya kusemwa sana na mama yangu pamoja na watu wangu wa karibu.

  1. Kuhusu kufulia kimaisha

Matonya: Mungu ni mwema Ghorofa moja gari tano maneno ya mtaani acha yapite

  1. Kuhusu kulelewa na Jimama:

Matonya: anaenilea ni mama yangu mzazi hao wa mjini hawana nafasi kwangu

  1. Kuhusu kusafirisha unga nje

Ndio sembe napeleka nje ila sio huo unga wa dawa za kulevya kazi zinaenda

Comments are closed.