MIKAKATI YA DIWANI MANJI 2016  KWA WAKAZI WA KATA YA MBAGALA KUU

MIKAKATI YA DIWANI MANJI 2016 KWA WAKAZI WA KATA YA MBAGALA KUU

Like
604
0
Friday, 01 January 2016
Local News

DIWANI WA KATA YA MBAGALA KUU YUSUPH MANJI DECEMBER 31 2015 AMEITUMIA KUWASHUKURU WANANCHI NA WAPIGA KURA WA KATA YA MBAGALA KUU KWA USHINDI ALIOUPATA
MANJI AMBAYE KWENYE MIPANGO YAKE YA MWAKA 2016 ILIYOANZA  LEO JANUARY 01  AMESEMA ATABANDIKA NA KUSAMBAZA RATIBAYAKE  YA KUTEMBELEA KILA MTAA MARA MOJA KWA MWEZI ILI KUFUATILIA  UTENDAJI WA AHADI ZAKE NA KUTOA NAFASI KWA  KILA MWANANCHI WA KATA YAKE AWEZE KUONGEA NAE ANA KWA ANA NA  KUWAELEZA KILA JAMBO KUBWA LA MAENDELEO LITAKALOKUWA LINAJITOKEZA.

IMG-20160101-WA0018

IMG-20160101-WA0037
KWENYE MKUTANO HUO MANJI AMESEMA ANATAKA KUITWA JINA LAKE LA YUSUF PINDI ANAPOKUTANA NA MWANANCHI YOYOTE NA  SI KUMUITA MHESHIMIWA AU KWA CHEO CHOCHOTE PAMOJA NA KAMA UTAONA NI VIGUMU BASI AMEOMBWA KUITWA NDUGU.
.
DIWANI MANJI AMEONGEZA KWA KUSEMA NI AIBU KWETU KAMA NCHI KUTAKA SERIKALI KUU ITATUE SWALA LA FOLENI BADALA YA KUJENGA BARABARA KATIKA SEHEMU NYINGINE ZA NCHI,MAHALA AMBAPO MAMA ZETU WENGI WANAJIFUNGUIA BARABARANI  NA KUSEMA KWANINI WAO KAMA VIONGOZI WA DAR ES SALAAM WASIJE NA MAPENDEKEZO NA WAZIRI MKUU AKAGUE DART ILI IANZE KAZI? MANJI AMESEMA TUNAWEZA KUJENGA BARABARA ZA JUU “FLY OVERS” NA TUKACHAJI KUPITA ILI ZIJILIPE.

IMG-20160101-WA0014

IMG-20160101-WA0039

IMG-20160101-WA0035

MKUTANO HUO ULISINDIKIZWA NA BAADHI YA WASANII WA BONGO FLEVA AKIWEMO SHILOLE,MR.BLUE,TEMBA NA CHEGE,MADEE,TUNDA MAN,YOUNG DEE NA WENGINE WENGI

IMG-20160101-WA0043

IMG-20160101-WA0036

IMG-20160101-WA0029

IMG-20160101-WA0033

Maelfu ya wakazi wa Mbagala waliohudhuria mkutano huo

IMG-20160101-WA0019

Chege na Temba

IMG-20160101-WA0024

Mr Blue

IMG-20160101-WA0006

Madee na Tunda

IMG-20160101-WA0005

Shilole kwenye jukwaa

IMG-20160101-WA0009

IMG-20160101-WA0008

Msami

IMG-20160101-WA0031

IMG-20160101-WA0030

IMG-20160101-WA0011

IMG-20160101-WA0041

Deejay’s team

 

Comments are closed.