MTOTO MWENYE UMRI WA MWAKA MMOJA AFARIKI BAADA YA KUNYWESHWA POMBE

MTOTO MWENYE UMRI WA MWAKA MMOJA AFARIKI BAADA YA KUNYWESHWA POMBE

Like
458
0
Tuesday, 13 January 2015
Local News

MTOTO mwenye umri wa mwaka Mmoja JAPHET MTUI mkazi wa Kijiji cha Msule Wilayani Ikungi amekufa kutokana kunyweshwa Pombe.

polisi wachunguza kulipuka kwa BOMU SINGIDA - TBC January 3 2015

Kamanda wa Polisi Mkoani Singida THOBIASI SEDOYEKA amethibitisha kutokea kwa kifo hicho baada ya Mtoto huyo kupewa Pombe ya Kienyeji aina ya Mtukuru akiwa na Mama yake MAGDALENA MUNA

Comments are closed.