NETANYAHU AKOSOA JUHUDI ZA BARACK OBAMA

NETANYAHU AKOSOA JUHUDI ZA BARACK OBAMA

Like
276
0
Wednesday, 04 March 2015
Global News

WAZIRI Mkuu wa Israel BENJAMIN NETANYAHU amelionya Bunge la Marekani kwamba mkataba na Iran uliopendekezwa hautazuia wala kupunguza uwezo wake wa kutengeneza mabomu ya nyuklia.

Akilihutubia bunge hilo Bwana  NETANYAHU amezikosoa juhudi za Rais wa Marekani BARACK OBAMA kutafuta makubaliano na Iran kuhusu mpango wake wa nyuklia wenye utata.

Bwana NETANYAHU ameonya kwamba utawala wa Bwana OBAMA unaifungulia mlango Iran kuelekea kutengeneza bomu la nyuklia.

 

 

Comments are closed.