Nini kinabaini umri wa mvulana kubaleghe

Nini kinabaini umri wa mvulana kubaleghe

Like
586
0
Friday, 12 October 2018
Global News

Umri wa vijana kubaleghe unalinganishwa na wakati mama zao walipo vunja ungo, utafiti unaonyesha.

Akina mama ambao walivunja ungo mapema kuliko wasichana wenzao wanaishiwa kuwa na watoto wa kiume ambao wana:

• wana nywele za kwapani miezi miwili na nusu mapema zaidi

• wanatokwa na chunusi na sauti kubadilika miezi miwili mapema zaidi.

Kwa upande mwingine mabinti zao, huota maziwa miezi sita mapema zaidi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *